Search results

  1. T

    Nimekuwa na tatizo la Mmba mgongoni kwa muda mrefu

    Nimekuwa na tatizo la Mmba mgongoni kwa muda mrefu, zilianza kama mabaka niliyapata nikiwa nafanya mazoezi, benchi nililokuwa nalalia kwenye mazoezi lilinikwangua likaacha michubuko baadae ikageuka kuwa mmba. nimetumia vidonge kwa mwezi mzima, zikaisha, lakini zikarudi tena, nikatumia tena...
  2. T

    Naomba msaada wa kupata nyimbo hizi

    Nahitaji nyimbo za mobb deep, KRS One, Immortal technique, EPMD, Wutang, Mossdef, Talib kweli, canibus, Pac, big, tribe called quest, Guru Ganstrar, Rakim, na wengineo lkn old sch hip hop anayeweza nisaidia anicheki PM. Thanks
  3. T

    Nimestaajabu ushauri wa dakitari

    Nimeweka kijiti cha kuzuia mimba, nikaambiwa ntakutana kimwili na mpenzi wangu baada ya 24 hrs. nikafuata ushauri huo. lakini baada ya mwezi na nusu nikagundua na mimba, ikabidi niende private hospital kupata ushauri, dakitari akasema hukutakiwa kukaa 24 hrs, bali ulitakiwa ukae 10 days, bila...
  4. T

    Hivi inawezekana mwanamke akakonda kisa tendo la ndoa

    Napata tabu kidogo, nasikia wanasema mkeo anakonda yawezekana tendo la ndoa halijamkubali, au manii yako hayajamkubali ndio maana anakonda, yangemkubali ungenenepa balaa. kisayansi hii kitu inaukweli kwa kiwango gani?
  5. T

    Kiwanja kinauzwa-mwanza (mkolani- buhongwa) -ngwangaranga

    Kiwanja kipo maeneo ya mkolani buhongwa -ngwangaranga, kikubwa sana (robo tatu ya heka) je ungepeeenda kukiona, hebu ni pm, bei ni tshs 12,000,000/- bei ya hasara kabisa.
  6. T

    Dhamana ni haki ya kikatiba

    Kuna mfumo mpya umeanzishwa na vyombo vya usalama na sheria ( mahakama na polisi) nadhani unaweza kuja shika mizizi kama usipopigiwa kelele mapema. kumezuka tabia ya kukamata viongozi hasa wa kisiasa na dini aitha wawe wanamakosa au hawana, kutengenewa kesi ambazo mlengo wake ni kawanyima...
  7. T

    Ana mtoto wa miezi mitatu, pia anaujauzito wa wiki tatu

    Wana Jf, Naomba kila mmoja ajaribu kuvaa huu uhusika, kisha nipe ushauri.. Mke ana mtoto wa miezi mitatu lakini kapata ujauzito na sasa wiki tatu, utafanya nini wewe kama baba au mama? Ushauri gani unafaa ana mambo gani inabidi kuzingatiwa katika wakati kama huu?
  8. T

    JWTZ

    Heshima mbele, kuna tetesi zisizo rasmi kwamba JWTZ wanataka kuajiri watu wenye taaluma ndani ya jeshi hilo, kwa nafasi za maofisa mbalimbali. Wana JF mliondani ya system, hebu tupeni nyepesi ili tujipange mapema na kazi za ujenzi wa taifa kupitia nyanja hiyo.( maandalizi ya mazoezi ya viungo)...
  9. T

    kunyonyesha na ujauzito

    doctors napenda kuelimishwa, inakuwaje mama anayenyonyesha haingii kwenye siku zake(bleed) lakini akifanya mapenzi anapata ujauzito? sayansi ya ujauzito inasemaje doctors?
  10. T

    nahitaji fundi

    jamani kama kuna mtu anamfamu fundi mzuri wa desk top computer hapa mwanza anijulishe, nina sony computer original nilinunua japan, sasa iliharibika na nimejaribu kupeleka kwa mafundi naona wamechemka, wananiambia soft ware zake hakuna nowdays...naipenda sana na sitaki niipoteza. hebu saidia
  11. T

    Is it mandatory kuwa na best man/woman kwenye harusi?

    wakuu mi nataka kujua kabla sijachukua maamuzi magumu pia sitaki nionekana kitofauti na jamii inayonizunguka, nataka jua kama huwa na lazima uwe na best man/woman kwenye harusi hasa ukumbini....
  12. T

    mapenzi ya mtoto

    'upendo wa mtoto kwa mzazi unategemea malezi ya mzazi kwa mtoto, usitarajie mapenzi ya mtoto wakati kwenye malezi yake hukuhusika' tafakari mzazi
  13. T

    Hivi vyeo

    Member, junior member, senior member, jf senior exp member, jf premium member, qualifications za hivi vyeo zikoje.....hebu elekeza mimi
  14. T

    uadimu wa mwanaume aliyekamilika

    katika ulimwengu huu wa sasa mwanaume aliyekamilika amekuwa ni bidhaa adimu sana kupatikana, wewe mtoto wa kike umejiandaaje na ushindani huu ili kuhakikisha unaipata bidhaa hii adimu sana, hasa katika ulimwengu huu wa haki sawa kwa wote' jipande'
  15. T

    Ndoa ndoa ndoa

    wanajamii napenda kuwaambia tu member mwenzenu natarajia kuoa mungu akipenda mwezi wa sita, ndani ya Jiji la Mwanza...nahitaji na napokea mchango kuanzia elfu kumi na kuendelea...tigo pesa tuma hapa 0713-242788 m-pesa tuma hapa 0758-405940...
  16. T

    Tanzania na siasa

    Tanzania yangu ya kesho sielewi itakuwa vipi, kama ya leo inautupu wa mwongozo, siasa imepewa asilimia 80 kama ndio mfumo wa kuongoza na kuendesha nchi, mfumo wa sheria, uwajibikaji na utawala bora umemezwa na wanasiasa, ya jana sio ya leo wala ya leo sio ya kesho, je barabara hii ya siasa...
  17. T

    nahitaji kufanya biashara naombeni mwongozo

    mimi sijasoma biashara ila nataka sana kufanya biashara lakini nimeshindwa nifanye biashara ipi sina mtaji mkubwa ni kama one milion, nategemea eneo la biashara liwe MWANZA kwani mi ni mkazi wa hapa..naombeni ushauri wa mawazo kwa wazoefu wa biashara...
  18. T

    Mbinu mbadala ni ipi?

    Kama sijaridhika na matokeo ya raisi mwaka huu, lakini nikayakubali, uchaguzi ujao wakachakachua tena sikuridhika lakni bado nikakubali, mwaka huu sijaridhika, na sitaki kuyakubali nifanye nini ili kufikisha ujumbe wangu kwa taifa, nipigane, nisimtambue raisi au niamue kukubali tena na nizidi...
  19. T

    Bet awards cypher gsan na mistari ya kiswahili

    Oyii hiphop juu.. Mmemuona mwana wa x-plastaz gsan anadondosha mistari ya kiswahili kwenye bet free stlye, pembeni machizi kibao tu wanafurahi, krs one anafurahia sana... Dah. Niliona kama niko mbele vile..big up sana. Hiphop for real.
  20. T

    Waziri mwinyi kijiuzulu hakukwepeki

    Mimi kama Mtanzania nimeshidwa kuvumilia na mwendendo wa viongozi wa Serikali yangu yangu ya Tanzania kwa kutokuwa makini na kutoelewa nini maana ya uongozi, Maslahi ya mtu binafsi yamewekwa mbele kuliko Utanzania na kubebana bila kuwajibishana ndio suala lililopewa kipaumbele katika Serikali ya...
Back
Top Bottom