Search results

  1. W

    Frederick Mpendazoe atimkia CCJ...

    Mpendazoe hakuhamia ccj kwa maslahi ya watanzania wenzake, bali ni kwa ajili ya matakwa yake binafsi, na kwa kutegemea maslahi binafsi kutoka CCJ. Hakunas mtanzania yeyote mwenye akili timamu anayeweza kushawishiwa na maoni ya mbunge huyo, kwamba amehamia huko kwa ajili ya kuwakomboa watanzania...
  2. W

    Makamba adai ana miaka minne ya kuishi ambao afe kwa amani, azikwe kwa heshima

    Kiongozi bora na imara haombi kufa mapema na kuacha migogoro. Hivyo mh. Makamba nakusihi uombe sala ya kumaliza migogoro inayokuhusu kabla ya kifo chako na si kuomba ufe haraka kama kinga ya kukwepa migogoro.
  3. W

    Umaarufu wa Kikwete upo juu

    Ukweli utabaki palepale kwamba, umaarufu wa Kikwete bado upo juu. Kwa wananchi ambao tuko mawilayani, hatuwezi kupotoshwa na baadhi ya vyombo vya habari, au baadhi ya watu wanaomponda Rais wetu KIKWETE! Yeye ni mtu wa watu na mwenye nia safi kwa Watanzania wote, labda tu baadhi ya ya watendakazi...
  4. W

    TBC1: Now available on DSTV

    Hivi TBC1 kama television ya Taifa, kwa nini isitoe wazi ratiba ya vipindi vyake kila siku ktk mtandao ili tuweze kuvifuatilia kwa makini? Tofauti na hapo naomba nifahamishwe iwapo labda kuna gazeti lolote la Tanzania linalotoa ratiba ya matangazo ya TBC1 kila siku.
Back
Top Bottom