Search results

  1. Shakazulu

    Kwanini Amiri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu hakuvaa sare za Jeshi wakati akiwatunuku kamisheni wanajeshi?

    Marais wote waliopita hawakuwahi kuvaa magwanda kwenye shughuli kama hizo, ina maana hawakuwahi kuwa amiri jeshi mkuu? Kwani magwanda ndio yanakufanya kuwa amiri jeshi mkuu?
  2. Shakazulu

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    As long as Klopp has faith in him, hizo zingine ni kelele tu. Team inapata matokeo and that is all that matters Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Shakazulu

    China yazindua rasmi utafiti na maendeleo ya 6G

    Acha kudanganya watu, hapa UK sisi wateja wa mtandao wa EE tayari tunatumia 5G. Just Google it ili uongeze uelewa wako.
  4. Shakazulu

    Uandikishaji Wapiga Kura 2019: Baadhi ya hoja za wasio tayari kujiandikisha ni hizi...

    Haki inayopotea ni yangu, wewe inakuuma nini? Ndio demokrasia hiyo
  5. Shakazulu

    Hii ndoa inanivunja moyo, najuta kwanini nilimuoa huyu mwanamke

    Next time hicho kisu atakuvizia ukiwa umelala. Huyo ndio tabia yake wala usifikiri atabadilika.
  6. Shakazulu

    Tujiulize kuhusu majaribio ya tren ya umeme SGR...

    Kwani magari ya kisasa ya umeme yanafanyaje kazi?
  7. Shakazulu

    ARUSHA: Watu 2 wafariki papo hapo... Ni katika Mashindano ya magari

    Muro hawezi kukwepa lawama katika hili. Ingekuwa vyama vya upinzani vinapanga kufanya mkutano, yeye na kamati yake ya ulinzi na usalama wangeshapata taarifa na kuzuia ila kwa haya mashindano haramu hawakuweza kupata taarifa
  8. Shakazulu

    Vibao vya 50km\hr vinachelewesha uwajibikaji, vinakera na ni sheria ya kizamani.

    Hata huko yanakotengenezwa hayo magari kuna speed limit nyingi tu. Motorway za Uingereza speed limiti ni 70 miles per hour. Barabara za Tanzania hazina ubora wa kuweza kuruhusu magari yaende kwa mwendo mkubwa hasa kwa vile magari yanapishana bila ya kuwa na ukingo katikati ya barabara jambo...
  9. Shakazulu

    Dreamliner Boeing 787 yaanza safari za nje, yapeleka nyama ya mbuzi Dubai

    Dreamliner haijaanza safari za kwenda Dubai. Kilichofanyika hapo ni kusafirisha mzigo to Dar then Emirates wakapeleka mzigo Dubai.
  10. Shakazulu

    Wazungu huwa wanajisifu wamefanya / wameleta Maendeleo gani katika Jamii zao ila Waswahili / Watanzania tunajisifu kusoma Vitabu

    Oh Kumbe ni utashi wako tu. I thought you had facts or figures! Ungekuwa msomaji mzuru wa vitabu basi hiyo idadi isingekuwa tatizo kuamini.
  11. Shakazulu

    Kama hii tweet ni kweli basi Air Tanzania ni ya kuhurumiwa

    Unaweza kutuambia hiyo ndege ilikuwa ya shirika gani? Bado wanaendelea kutoa huduma from Dar to Cairo?
  12. Shakazulu

    Ni afadhali Rais Magufuli tunaziona hata ndege

    Concorde! Wonders shall never end.
  13. Shakazulu

    Kwanini Ureno (Portugal) ni masikini?

    Mnaweza kuingia hapa ili mpate kuona ranking za GDP per capita then muendelee na mjadala vizuri GDP per capita (current US$) | Data
  14. Shakazulu

    Nafungua Akaunti Za Bank Uingereza

    Unaweza kututajia majina ya bank husika?
Back
Top Bottom