Search results

  1. Guus

    Wakenya msione aibu, leteni Harambee Stars kwa Mkapa

    Leo tarehe 17 mwezi wa 9, Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limekataa kuuidhinisha uwanja wa soka wa Kasarani kutumika katika mchezo baina ya timu ya taifa ya Kenya (Harambee Stars) na Mali wa kufuzu fainali za kombe la Dunia. CAF wamegoma kuuidhinisha uwanja huo, katika mchezo unaotarajiwa...
  2. Guus

    Ujenzi wa Ofisi za Serikali: Nazo tuchangishane!!!

    Wiki iliyopita nilikuwa Dodoma (Dodoma Mjini kabisa). Jioni moja nikachanganya makongoro kwenda kumsabahi rafiki wa muda mrefu mitaa fulani anayoishi, panafahamika kama Iringa Road. Muda wa kutoka, tutoke na jamaa, shemeji akamkumbusha kuhusu tangazo lililotolewa la uwepo wa mkutano wa mtaa...
  3. Guus

    Hatimaye waandamanaji Nigeria wafanikiwa kuivunja SARS

    Baada ya siku kadhaa za maandamano ya kutaka kuvunjwa kwa kilichokuwa Kikosi Maalumu cha Kuzuia Wizi (Special Anti-Robbery Squad maarufu kama SARS) nchini Nigeria, IGP wa Polisi jana Jumapili ametangaza rasmi kuvunjwa kwa kikosi hiko. SARS, ambacho kilikuwa kitengo maalumu chini ya jeshi la...
  4. Guus

    Zaidi ya wanafunzi 200 waliokuwa China waanza safari ya kurejea nchini kwa usafiri wa ATCL

    Kutokana na kupanda kwa nauli za ndege kulikotokana na janga la Corona, ubalozi wa Tanzania nchini China kwa kushirikiana na Shirikisho la Watanzania waishio nchini humo (TASAFIC) wamefanikiwa kuandaa usafiri kwa wanafunzi na Watanzania wengine waliokuwa China kupitia Shirika la Ndege la...
  5. Guus

    External Hard Drive yangu inaniletea ujumbe 'Please format' naomba kufahamishwa cha kufanya ili niokoe nyaraka zangu

    Wakuu habarini. Nina "external hard drive" ambayo nimekuwa naitumia kwa muda mrefu sasa, na imehifadhi nyaraka zangu muhimu sana. Ajabu sasa hivi kila ninapoichomeka kwenye PC haifunguki, lakini kuna pop-up text inatokea kwamba niformat kwanza. Naomba kufahamishwa kama kuna namna yeyote naweza...
  6. Guus

    Msaada Tutani Tafadhali!!

    Mwenzenu huwa namshikia kidedea kijana wangu awe anajisomea kipindi hiki wako nyumbani. Sasa nimemuona leo kashika kitabu cha Kiingereza. Nilishakitazama hiki kitabu kina swali ambalo najua lazima atakuja kuniuliza, nami hakika sitoweza kulijibu. Swali liko hivi "John went to school without...
  7. Guus

    Fedha "za ndani" zinazojenga miradi ni hizi hizi Bil. 700?

    Wakuu habarini, Nipo najiuliza maswali mawili matatu, lakini sioni kama halmashauri ya ubongo inanipa majibu ya kueleweka. Naona ni heri niweke hapa jukwaani naweza kupata machache ya kuniongoza kupata majibu. Ni kuwa: nilikuwa nafuatilia ripoti ya kamati ya wizara ya fedha bungeni. Katika...
  8. Guus

    Kwa wataalamu wa security (IT) naomba ufafanuzi kuhusu suala la kudukuliwa

    Nimekuwa nikiona mara nyingi sana inapotokea kurasa ya mtandao wa kijamii kama "Facebook" ya mtu ikawa na kitu chenye taharuki, wahusika hukimbilia kusema wamedukuliwa. Huwa napata kigugumizi sana kuuamini huu udukuzi, hasa wa nywila za hii mitandao ya kijamii. Wataalamu wa "IT Security"...
  9. Guus

    Huduma murua kwa wanandoa wa Mikoa ya Dar, Morogoro na Dodoma

    Kwa wale wanaoishi mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma, tunawaletea huduma mpya! Ewe ndugu uliye katika ndoa (mume ama mke) tunakupa huduma ya kuja kukukamata mbele ya mwenzi wako siku ya Ijumaa na kukuachia siku ya Jtatu. Usiogope, tunakuja tukiwa na uniform full na defender yetu...
  10. Guus

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hii si haki kabisa!

    Leo nimejikuta nacheka kama vile ni mazuri, kiasi kwamba nikamkwaza muhusika aliyekuwa anasimulia. Iko hivi: Kuna jamaa yangu ofisini aliomba "admission" chuo kikuu cha Dar es Salaam ili aanze masomo ya Uzamivu mwaka huu wa masomo (2018/19). Ametuambia kuwa utaratibu wa UDSM ni kuwa maombi yote...
  11. Guus

    Je, hii dhana ya “Usawa wa Kijinsia” tumeielewa kweli?

    Binafsi huwa natatizika sana kila ninapoitafari dhana ya Usawa wa Kijinsia. Sijawahi kuipinga na wala sitokuja kuipinga kama inamlengo wa kufikisha usawa katika upatikanaji wa huduma za kijamii na kiuchumi kwa makundi haya mawili (Ke na Me). Na kwa vile taswira kubwa (kama sio yote) iliyo ndani...
  12. Guus

    Kwa nini tunawatendea watoto hivi!!

    Salamu kwenu nyote. Nadhani wengi tumekuwa tukishuhudia "video clips" zinazowaonesha watoto wanapokuwa wamekosea katika namna ambayo si ya kufundisha (mara nyingi zikiwa na mlengo wa kufurahisha/kuchekesha watazamaji). Mimi nimekuwa najiuliza, ni nani anawapa mamlaka hawa watu kurekodi na...
  13. Guus

    Kuongea na Simu wakati wa kuendesha Gari ni Ufahari?

    Habarini Wanajamvi? Pamoja na hilo swali katika kichwa cha habari, pia niulize "Je, ipo sheria ya usalama barabarani inayokataza matumizi ya simu wakati wa kuendesha gari hapa Bongo"? Leo nimeona niulize hili swali maana naona hii tabia imeshamiri sana. Sijui kama ni macho yangu...
  14. Guus

    Msaada tutani

    Wanajamvi, kwanza niwasalimu nyote. Ninashida na "firm" inayotengeneza unga wa ndizi inaitwa Kishenga Entreprises ipo Dar es Salaam. Kwa yeyote mwenye taarifa nayo, hasa kwa mawasiliano, ningeomba anisaidie (pm). Nimeiona hii "firm" youtube. Njia nyingine mbadala ni kwa mtu anayefahamu ilipo...
  15. Guus

    Nina wasiwasi na "uwaminifu" wa w/kazi wa tigopesa

    Hivi wanajamvi kuna mtu amewahi kukosea kutuma pesa kwa wakala wa tigopesa (akamtumia wakala mwingine) halafu akapiga simu tigo na kufanikiwa kurudishiwa?? Mimi hawa jamaa wamenichosha kwa kweli!! Kuna rafiki yangu ambaye ni wakala wa tigopesa, Mpesa na Airtel-money nilimuomba anitumie elfu...
  16. Guus

    Kutokwa jasho usiku

    Wana JF, Kama nilivyoandika katika "Heading", nina kama miezi mitano nimekuwa na shida ya kutoka jasho usiku nikiwa usingizini. Muda wote wa mchana na hadi pale ninapoenda kulala huwa sijisikii shida wala tatizo lolote. Lakini nikiwa usingizini basi ni kuhesabu masaa 3 hadi 4 lazima nishtuke...
  17. Guus

    Dar es Salaam can only dream of Harare’s slum levels!

    70% of the city's population lives in informal settlements. Kuna jamaa humu JF alitumia neno "stoo"!! [Mimi simo, nimeweka link hapo chini] Which is the poorest city in the world? | Cities | The Guardian
  18. Guus

    Msaada wa Export and Import Data

    Habari zenu wana jukwaa, Natambua kuwa mwaka 2000 Tanzania tulijitoa COMESA, lakini pia najua ya kuwa pamoja na kujitoa huko hakumaanishi hakuna kinachonunuliwa au kuuzwa kutoka au kwenda nchi za COMESA. Na natambua kuwa ni mwaka huohuo tuliunda EAC, lakini pia haimaanishi hatukuwa na...
  19. Guus

    Nini chanzo cha huu msemo

    Habari zenu wadau, Kuna msemo kuwa "when in Rome, do as the Romans do". Shida yangu ni kujua nini chanzo cha huu msemo kuifanya Rome kutumika; kwa nini Rome? Naamini kuna watakaouliza "kwa nini iwe nchi nyingine?" Watakuwa sawa kuhoji, lakini kwa kuwa inayotumika ni Rome, mimi ningependa kujua...
  20. Guus

    Hapa tunahistoria nako! Wewe wakumbuka nini?

    Hili jengo si ajabu likawa limeingia katika vitabu vya historia vinavyotumika mashuleni, loh!
Back
Top Bottom