Atumie akili ya kazi, amfate boss amawambie kwenye hizo pesa anazodai kama boss atazitoa yeye atampa kiasi flan amtangazie dau nono tu, then boss atauvagaa huo mtego akilipa, nae apige kimya
Umewahi fungiwa acc yako na pesa zote kuchotwa kwa maelekezo toka juu, hakuna mtu atarudia ujinginga huo wa kuweka pesa bank, pesa saivi inageuzwa kuwa asset
Hizo engine ndogo ndogo achana na tabia ya kufanya overhaul nunua tu ingine japo unaweza ukanunua ingine nayo inaweza kuwa inakula oil, cha muhimu unanunua wapi.
Kuna engine za kufanya overhaul mfano za fuso kupanda huko unakuta engine mpya 16mil na overhaul 5mil sasa engine ya 1.2m overhaul ya...
Unakuta ni watu kadhaa kila mmoja amekamatwa na gram kadhaa kwenye utangazaji maredioni wanatangaza total iliyokamatwa, wanatangaza general catch akili za kuambiwa changanya na zako
Dhahabu ni biashara kama biashara zingine tu, tatizo watu wanadhani ukiingia kwenye dhahabu sasa hivi unakuwa kama achimwene which is wrong.
Pia fanya slow slow usiwe na hasira nayo ,kuna mtu alitegemea kupata gram 500 ellution akaishia kupata gram 31 na nyuma ana madeni kibao[emoji1][emoji1]...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.