Search results

  1. M

    Makonda: Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania wala Mwenyekiti wa CCM

    Dogo anazingua sana. Na tutaendelea kumsuta. Ndo uzuri wa mitandao
  2. M

    Paul Makonda: Lowassa angekuwa Rais ningekuwa jela muda huu

    Oooh, ndo kawaida yenu kupeleka JELA wanaowapinga?
  3. M

    Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi alazwa kwa maradhi ya kifua

    Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi amepelekwa hospitali akiugua maradhi ya kifua. Anaendelea kupata matibabu chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari. Kutokana na ushauri wa madaktari wake, familia imeona ni vyema apate faragha akiwa...
  4. M

    Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

    Marehemu Rev. Mtikila alikuwa member wa JF. Kuna mengi aliyajua na kifo chake bado naamini kilikuwa engineered Kigali. Sijui authorities za Tanzania intelijensia ikoje. Kuna maswali mengi kuliko majibu. Tahadhari tu: Simu atakayoenda nayo Samia akirudi asiitumie tena wala simcard yake...
  5. M

    Undugu wa Jackline Mengi na mke wa Kagame na madai ya U-honey trap

    Na hapa kuna jambo la kueleza uhusika wa huyu binti na Kifo cha Mengi kupitia agents wa Kagame
  6. M

    BAHIMA Empire na uchaguzi butu 2020

    Narejea kwako mkuu Mshana Jr
  7. M

    The power of the Bahima Empire

    Nitarejea hapa soon
  8. M

    Musiba azidi kukaliwa kooni, Mahakama yafuta utetezi wake na kuamuru shauri kusikilizwa upande mmoja

    Tarehe 04 Mei, 2021 ilikua siku ambayo ilipangwa kwa amri ya Mahakama ya tarehe 01 Desemba, 2020 kuwa Mkutano wa kwanza wa kimahakama kuangalia mwenendo wa shauri namba 220 la mwaka 2018 (First Pre- Trial Conference and Scheduling) la Benard Kamilius Membe dhidi ya Cyprian Majura Musiba na...
  9. M

    Kinana kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa?

    Wakuu, Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa ni nafasi kubwa ndani ya chama hicho na kimsingi ndiye mchora ramani ya mwelekeo wa chama hicho. Mzee Mangula (Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa wa sasa) yupo katika siku zake za mwisho katika nafasi hiyo. Kumekuwa na utamaduni ndani ya CCM kwa...
  10. M

    Uongozi, madaraka ni mapambo ya muda - usijisahau

    Kiongozi si lazima awe mtu aliye katika nafasi ya mamlaka au mwenye cheo. Kimsingi, dhana nzima ya nafasi na vyeo ni mpangilio wa muda, ambao wakati mwingine hukuzwa mno na kutiwa nakshi isiyo sahihi. Kwa bahati mbaya, wengi wakishapata vyeo/madaraka ‘hupoteza fahamu’ waziwazi! Tumewaona...
  11. M

    Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

    Naam wakuu, Leo ni Jumapili nyingine. Nimezoea kukutana na mnakasha humu JF au kukutana na mabandiko katika makundi sogozi ya WhatsApp yakiambatana na picha yakionyesha Rais alikoshiriki ibada. Mara nyingine hata akipewa nafasi kutoa neno kanisani. Yupo Dar bado? Leo Machi 7, 2021 amesali...
  12. M

    Neno la Leo: "Apandacho mtu ndicho atakachovuna"

    Muda utaamua. Ni suala la muda tu!
  13. M

    Ni nani Rodrick Mpogolo? Anatajwa kuwa Katibu Mkuu mtarajiwa wa CCM baada ya Bashiru

    Nimekutana na hii habari, ikabidi nitake kumjua kwa undani huyu jamaa. Ametokea wapi hasa hadi kufika alipo? Ni kweli ndo atakuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM baada ya Bashiru? Tutarajie nini baadae? Mwenye kuwa na wasifu wake na historia ya utumishi wake atushirikishe.
Back
Top Bottom