Search results

  1. G

    10 signs that tell you are dating a quality man

    Ninayepost uzi huu ni mwanaume, napenda kueleweshwa kwenye namba 4 hapo chini:- Society and media often portray the perfect man in a bow tie who brings flowers and prepares a candle-light dinner. As perfect as that is for a teenage fantasy, when a woman steps into her twenties, she starts to...
  2. G

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Tena? hii sasa sifaa, na leo amepika nyama!!!!
  3. G

    Sijui nichague wapi

    Tateeee, Wahiwahi kule kwenye pm wengine wameshtukia dili walishaanza usumbufu ila roho mtakavitu amekuangukia wewe
  4. G

    89% Hamtatazama wala kuona mkufu

    Nimeangalia bei ni ndogo sana, kumbe ni 50,000 pamoja na mishauo yote hiyo. Ni vema angerudi kutangaza kipindi cha watoto RadioOne
  5. G

    Sijui nichague wapi

    Njoo kwangu hata ukiomba milioni namwaga, wananiita young bilionea huku kitaa. Usitake shida mtoto mzuri kama wewe
  6. G

    Kurukaruka Ziachie Popkoni - Au vipi

    Yere…yere masela inakuwa nini pale kati? Kwani kuna problemu? Kitaa hii ni mpeto wanangu hakuna kusebenza kozi hapa vumbi tu. Ukifuata nyayo tunatembea na fagio tunazifuta. Kitaa hiyo kwa fasi ya Roki Siti barida? Kama vipi mzuka tu makiksi wangu. Wanangu deizi zinakrosi kama hazina...
  7. G

    Unapomkamata mpenzi wako na mchepuko nani wa kum-face?

    Kuna kila haja ya kujua mienendo ya mtu unayempenda ila kuna kila haja ya kutoruhusu hasira ikutawale. Ukishamkamata na kimeo chake waache waendeleze yao nawe shika jembe kalime. Dawa ya mpumbavu ni kuachana nae, ukishindana na mpumbavu unakuwa unampa kichwa na atajiona wa thamani sana wakti...
  8. G

    Mwanamke zingatia haya wakati wa kuomba hela kwa mwanaume

    Hivi ni papuchi tu ndo huwa inatumika ama hata mshedede unatumika wakati wa majambo. Mbona shaft haipewi thamani?? Wote tunatumiana, km papuchi italipiwa kwa kutumika basi shaft nayo ilipwe kwa kutumika na papuchi. Km ni kuchafuka wote tunachafuana iweje mwingine aweke kitega uchumi huko???
  9. G

    Hongera BRN huyu nae atafaulu, ni moja ya CSEE 2014

    It smell the like of Makonda!!!
  10. G

    Ipi ilikuvutia enzi hizo?

    Kulikuwa na ile ya Tarzan katika picha za kihindi. Kuna mama mmoja aliwahi kuuliza wale wanaoonyesha video kijijini "mbona siku hizi hamumletiTarzan, ama ameshkufa?"
  11. G

    Msaada namna ya kushare mawasiliano na mpenzi wangu bila yeye kujua

    Ni vema usijue kuliko kujua mkuu. Kuna mtu alijinyonga kwa sababu kama hiyo. Kama umeoa changudoa bila kujua inabidi uvunge ni mwema ili uishi kwa raha. Kama humuamini na unaona uko salama ni vema ukaanza kuachia ngazi taraatiibu ili ya presha kupanda na kushuka yasikukute.
  12. G

    Kuna utani unaweza kuvunja ndoa

    Pamoja na kuwa na siku yenye changamoto nyingi kwa leo nmejikuta kuja huku kunaamshafuraha isiyo kifani, nadhani ofisini wameniona km nimerukwa kwa jinsi nilivyocheka. Km nilikuwepo vile
  13. G

    Makosa makuu 5 ambayo Mwanamke anayafanya wakati wa kula tunda na Mpenzi wake

    Mimi apa mwalimu njoo upate darasa, nakuahidi utakuwa umefuzu na kupata shahada ya uzamivu ndani ya mwezi mmoja kwa masomo ya jioni tu. Ni pm tuanzie hapo NB: Hakuna ada na masomo yana prakitiko nyiiingi
  14. G

    Research ya wasichana wa Tanzania

    Inaitwa flat bottomed flask!!
  15. G

    Mabadiliko ya binadamu...

    Sijui kwenye hizo stage umefikia ipi mkuu. Mi ni zao la creation
  16. G

    Maumivu na raha ya kukataliwa

    Ukibigwa kibuti we hangaika na maisha, watakuja wenyewe. Hata kina Beyoncé utawatumbua tu, if you really want to.
  17. G

    Huu udadisi ni tabu tupu!

    Kwa nini usijiulize ni nini kinawafundisha mbwa, paka, kuku, samba, ng'ombe na hayawani wengine unaowajua wewe. Hata mimea inayo njia ya kugegedana ndo maana inachanua kwa majira na nyakati.
  18. G

    Wanaume wenzangu, uongo ambao wanawake wanatudanganya huu hapa

    Kwani bebi nilishakudanganya?? Najifanya sijui wakati nilishakuona ukiwa na mwanamme mwingine na nilipokupigia simu ukaniambia uko nyumbani.
  19. G

    Maumivu na raha ya kukataliwa

    Wakati huo hakuna simu za mkononi ilikuwa ni barua kwa kwenda mbele. Kuna dada mmoja nilimpenda tangu tukiwa watoto na alikuwa nyuma yangu darasa moja (shule ya msingi) baada ya kumaliza masomo mimi nilifaulu lakini yeye hakubahatika kwa hiyo akabaki nyumbani. Akiwa nyumbani na mimi wakti huo...
Back
Top Bottom