Search results

  1. qwest

    #COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

    Vipi habari za Rais Magufuli? Hali yake iko vipi? Rumors ati ametuacha :(
  2. qwest

    Corruption Scandals in Kenya: Hundreds march against It in Nairobi

    Na maandamano yali achieve nini So many new taxes are being implemented and we know all that money is being stolen Then the electoral commission circus. Ni michezo na sarakasi bure kabisaaaa.
  3. qwest

    It's Winter season in Kenya

    Hiyo cold season ni mpaka which month?
  4. qwest

    Corruption Scandals in Kenya: Hundreds march against It in Nairobi

    Kenya inaenda backwards, nchi zingine zikisonga mbele.
  5. qwest

    US debt load ballooning, set to outpace some African countries in 5yrs – IMF

    hahaha. yaani watashuka wawe developing nation. salaaaaaleeee
  6. qwest

    Educated TZ Immigrants in US in tough Situation

    Basi sasa ni February 2012 hili swala na maisha yamebadilika vipi? Maisha ugenini yanazidi kuwa..... Hebu semeni misimamo yenu imebadilika ama ni ile ile, na kama kuna mmoja wenu amehit jackpot basi hebu tugawie
  7. qwest

    Apple founder Steve Jobs dies

    kifo, kifo, kifo hakina huruma. may he rip.
  8. qwest

    Meli ya MV Spice Islander, yazama ikelekea Pemba; wengi wahofiwa kupoteza maisha

    wote tunawatumia risala za rambi rambi. Mungu alaze roho zao mahali pema peponi. hizi habari zote zilinikumbusha wimbo huu wa visiwa http://likembe.net/Sounds/Marashi Ya Pemba - IOSS (Duku Duku).mp3
  9. qwest

    kaka ama dada asiye na kazi huku majuu

    Koba kusema kweli njama si kumfukuza mwenzangu. huku marekani umeona wageni wangapi wamepoteza muda wakingoja mambo yawe sawa na yanazidi kuwa complicated?????????? wakati mwingine ni heri utafute haki yako kwingine............... kuna watu ambao bahati yao ni kwingine. na kusema kweli watu...
  10. qwest

    kaka ama dada asiye na kazi huku majuu

    RAJ PATEL JR shida hana papers. mwenzangu anasema hawezi kuondoka bila papers. sasa anapoteza wakati bila kazi na mwishowe pengine atapata kazi not the degree studied. sitaki kumwongezea stress, lakini kusema kweli nimechoka! :confused2: hata nilimwambia bahati ya kila mtu si marekani...
  11. qwest

    kaka ama dada asiye na kazi huku majuu

    tuko Marekani................ uchumi umekua mgumu nimempa mawaidha yenu halafu mwezi ujao ni atapambana mwenyewe.
  12. qwest

    kaka ama dada asiye na kazi huku majuu

    kipilipili, tutajaribu............ inaonekana kuondoka AFrica ni harusi............kurudi ni matanga kwa wengine.......... tutajaribu
  13. qwest

    kaka ama dada asiye na kazi huku majuu

    sylver asante. shida hachukui serious kutafuta kazi kwingine. si state nyingine, si nchi nyingine. kwangu naona mtu akikosa mahali comfortable pa kulala, pa kuwatch tv, pa kusurf internet, pa kurelax, atajilazimisha kuSINK or SWIM. ndio sababu lazima nimhamishe. ana cheti cha masters pia...
  14. qwest

    Enraged wife stabs husband to death after finding X-rated porno DVD in apartment

    the link says - **********The husband went to the kitchen, grabbed a knife and threatened to cut his wife. Police said she picked up a pair of scissors........ ************ inaonekana there was some self defense in this story too. it is TERRIBLE THOUGH. No one deserves to die.
  15. qwest

    kaka ama dada asiye na kazi huku majuu

    wenzangu ninatafuta suluhisho. sisi tuko huku ugenini pekee yetu, mzazi peke yake nyumbani africa. kaka kapoteza kazi lay off. miezi minne sasa ameishi na mimi. ameishiwa heli, gari imechukuliwa. Twaishi in the South. unemployment imezidisha. mie nimechoka kumweka kwangu. hana senti hana...
  16. qwest

    Reginald MENGI

    Jana niliona story juu ya huyu jamaa on PBS. Alikuwa anahojiwa na Andrew Young. Kipindi kilikuwa juu ya Tanzania na maendelo. Hebu nipe his stori zaidi.................. hasa juu ya how he made his millions. Alisema alizaliwa fukara lakini kwa kutumia jitihada na biashara amejiinua sawa...
  17. qwest

    Educated TZ Immigrants in US in tough Situation

    good question, nashangaa kama hali ya economy ime-affect mindset za watu.:rolleyes: hii economy imewaumiza wengi.
Back
Top Bottom