Search results

  1. wigo

    TV4Sale BNL Electronics: Smart TVs, LED Tvs for sale!

    Mkuu., upo vizuri kweli kwenye sound system. Check bose, wapo vizuri sana.
  2. wigo

    Unawakumbuka nguli hawa wa soka?

    Deo mkuki. Raphael paul. Mohamed mwameja. Duwa said. George masatu. Hussein masha. Hamis gaga. John makelele. Damian Kimti. Selestine sikinde mbunga. Nico njohole. Twaha hamidu. Kichochi lemba.
  3. wigo

    Asilimia 15 ya Bodi ya Mikopo kuanza kukatwa kwenye mshahara ghafi(basic) kuanzia mwezi Januari

    Hao ndio wabunge wenu wa ccm, wenye kujali maslahi yao binafsi.
  4. wigo

    Jinsi wanausalama wa mtandaoni wanavyowapata watu

    Id mbalimbali wakati simu ni moja?
  5. wigo

    Magufuli kweli ni Rais wa wazawa!

    Kanda maalum.
  6. wigo

    Rais Magufuli: Magazeti yanayoandika kuna njaa yamenunuliwa na wanasiasa na wafanyabiashara

    Kwani wale waloficha sukari ilikula kwao? Wewe ndio ilikula kwako ukanunu sukari kilo 3500. Kwa haya mahindi, itakula kwako tena maana bei ya kilo ya unga inapanda.
  7. wigo

    Rais Magufuli: Magazeti yanayoandika kuna njaa yamenunuliwa na wanasiasa na wafanyabiashara

    Tutamkumbuka kwa tukununulia ndege za mapangaboi wakati sera ya viwanda kwanza imeachiwa tamisemi.
  8. wigo

    Rais Magufuli: Magazeti yanayoandika kuna njaa yamenunuliwa na wanasiasa na wafanyabiashara

    Issue za nchi hii lazima asingiziwe mtu. Picture this- ZEE la ulabu kunywa pombe hadi kulewa na kuwafanyia fujo majirani zake, lawama anawapa wapinzani kwa kumchafulia jina lake. Bwana yule anadikiri kusema njaa wameletwa na wapinzani, lawama wanapewa wapinzani. Magufuli awejibike...
  9. wigo

    Sifa kuu ya Kiongozi yoyote ni Hekima na Busara

    Yule ni Janga kuu.
  10. wigo

    Picha: Siku ambayo Rais Magufuli alipata PHD yake akiwa waziri

    PhD ya maganda ya korosho.
  11. wigo

    Bakhresa Group washusha Meli mpya

    Vituko vya bwana yule.
  12. wigo

    Mzee wa Upako, CHADEMA hawana muda wa kukuchafua, Mungu ameamua kuanika tabia yako

    Hapo ndipo ili kauli ya "Watanzania na akili za kufanyia mtihani" inapo jidhihirisha.
Back
Top Bottom