Search results

  1. Ficus

    Nina $ 23,000 ila sijui biashara gani inanifaa

    Hivi una habari kwamba "Asilia" ni trademark ya kampuni ya utalii?!
  2. Ficus

    Kazi ngumu sana lakini nasave laki kwa mwezi

    Binafsi nimependa ukweli na uwazi wako hujaona aibu kuandika yaliyo moyoni mwako, kwa hili itakusaidia kusonga mbele maana tunasonga mbele kwa kujifunza. Nirudi kwemye mada, nakushauru uendelee kufanya kazi hapo na uendelee kusave as much as possible hata kwa kushindia mihogo. Nina uhakika...
  3. Ficus

    Naombeni ushauri kwa hili lililonikuta

    Asante naomba tuishie hapa.
  4. Ficus

    Naombeni ushauri kwa hili lililonikuta

    Kilicho ndani ya moyo wake kinaweza kuwa ndiyo jibu sahihi ya kile Mungu alichomuandalia na vile vile kinaweza kuwa siyo sahihi. Ili awe na uhakika sasa ndiyo anatakiwa kumuomba Mungu yeye ndiye mwenye majibu yote. Kuhusu suala la wazazi wake sijaona pahala alipoandika amegombana nao, ila wao...
  5. Ficus

    Naombeni ushauri kwa hili lililonikuta

    Fanya kilicho ndani ya moyo wako, ushakuwa mtu mzima sasa hutakiwi kuyumbishwa na mawazo ya wazazi/ndugu hatma ya maisha yako iko mikononi mwa Mungu na wewe mwenyewe. Nafasi waliyo nayo wazazi/ndugu zako ni kukushauri tu na kukuonyesha njia sahihi katika maisha. Muombe sana Mungu yeye ndiye...
  6. Ficus

    Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

    Hili ni janga lingine chini ya jua, yaani mtu kukopa unaomba tena kwa kubembeleza halafu kulipa hutaki tena maksudi kabisa. Si ajabu mtu huyu anamuomba Mungu abariki maisha yake wakati yeye anabomoa ya wengine. Ndugu ni vyema ukalipa tu deni lako ni ishara ya uungwana na ustaarabu katika...
  7. Ficus

    Kweli usije ukamjaribu mtu ktk kitu kinachoitwa pesa

    Inabidi ujitathimini mwenyewe, waswahili wana mseme wao " ndege wafananao huruka pamoja". Ukiona marafiki/watu unao waamini wana chembe za kutokuwa wa aminifu kwenye pesa jiangalie sana na wewe yawezekana uko hivo hivo. Wapo watu wengi tu waaminifu kwenye pesa, sasa kwasababu haujakutana nao...
  8. Ficus

    Sitahamisha tena pesa kutoka Tigopesa kwenda Bank!

    Ni kweli makato ya kufanya hii miamala yamekuwa makubwa mno, juzi nimetoa pesa kwa wakala M pesa yaani 350,000/= nakatwa shilingi 6000/= kama service charge. Kwa kweli ilinitia uchungu. Kuna haja ya hii mitandao ya simu kupitia upya gharama za huduma zao. Maana kwa mwendo huu tutashindwa hata...
  9. Ficus

    Tangazo: Kwa yeyote atakaye fanikisha kuipata laptop hii kuna zawadi taslimu ya tsh 5,000,000 Ahsanteni

    Pole muheshimiwa, kama ni picha jaribu kuingia iclod kama uliset mac yako kwenye auto upload to iCloud.
  10. Ficus

    Kuna mliofanya harusi za gharama kubwa na sasa mnajutia?

    Umeweza vyema harusi si tukio la muhimu sana ila ndoa ndiyo tukio la muhimu sana. Unaweza ukafunga ndoa halali na ukapata baraka zote kutoka kwa Mungu, pia unaweza ukafanya harusi kubwa sana na usipate baraka zozote toka kwa Mungu. Nachotaka kusema hapa ni kuwa ndoa ni mpango wa Mungu na harusi...
  11. Ficus

    Kuna mliofanya harusi za gharama kubwa na sasa mnajutia?

    Kamati ya harusi itahoji pasi shaka.
  12. Ficus

    Nahitaji mkopo wa 2m

    Safi umejitahidi, endelea kumalizia mdogo mdogo na boom lako.
  13. Ficus

    PSSSF ni majambazi wa kizazi kipya

    Kwako wewe muanzisha uzi ni wazi umekwazika sana, kama ndiyo umestaafu nikupe pole sana. Unaweza ukazitukana sana hizo taasisi za umma na hata serikali kadri uwezavyo lakini mwisho wa siku hautakuwa umesaidia chochote zaidi ya kudhihirisha upumbavu wako. Kwanza ulitakiwa kujua sababu ya...
  14. Ficus

    PSSSF ni majambazi wa kizazi kipya

    What kind of divine intervention are you talking about?
  15. Ficus

    HALI YA KIFEDHA IMEKUWA MBAYA NAONA BORA NIUZE NOTEBOOK YANGU

    Ndugu kuwa muungwana, kama huna pesa ya kununua pita kimya tu.
  16. Ficus

    Mwenyekiti Halmashauri ya Iramba ashauri Uchangudoa uhalalishwe kuongeza mapato

    Naomba kwa mwenye CV za huyu mtu atusaidie kuweka hapa, itapendeza zaidi ukiweka na picha yake ili tumfahamu vizuri. Ahaante.
  17. Ficus

    Mac book pro inauzwa

    Inakaa na charge kwa mda gani?
  18. Ficus

    Rombo: Mwili wa Kijana Godwin Massawe wakutwa msituni ukiwa hautoi harufu. Wakutwa ukiwa na Rozari na Biblia

    Asante ndugu, nilikuwa nashangaa tu kumbe ni kitabu cha Yoshua na sio Sira. Makosa kama haya kwenye uandishi husababisha habari nzima kupuuzwa na kuonekana ni ya uongo. Ni vyema kabla huja post kitu chochote kwenye hii mitandao ukapitia upya kile ulicho andika ili kuondoa makosa kama haya.
  19. Ficus

    Rombo: Mwili wa Kijana Godwin Massawe wakutwa msituni ukiwa hautoi harufu. Wakutwa ukiwa na Rozari na Biblia

    Mimi naomba kujua hicho kitabu cha SIRA ndiyo kipi? Kipo kwenye Biblia ipi, agano la kale au agano jipya? Sijawahi sikia wala kukiona kabisa aina hii ya kitabu, naomba kueleweshwa tafadhali kwa mwenye ufahamu na kitabu hiki. Waziri wa Kaskazini
  20. Ficus

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Heri kukaa kimya kuliko kuandika vitu usivyokuwa na uelewa navyo wa kutosha. Mambo ya Mungu sio siasa mzee.
Back
Top Bottom