Search results

  1. M

    Rostam nimekubali wewe ni king maker

    Kuna mtikisiko wa kisiasa toka mdogo wake Rostam akamatwe na Kaka alipokuja kuonana na mkuu baadae Akraham akaachiwa na baada ya hapo Rostam akarudi kwenye anga za Tanzania na akaanza kuonekana tena, baada ya kuonekana tumeanza kuona vishindo vyake 1. Kumrudisha Lowassa CCM, itakumbukwa Mzee...
  2. M

    Puma Petrol station ya Mbezi beach Africana acheni wizi wa mafuta

    Hiki kituo ukiweka mafuta usiku imekuwa kwako, wajirekebishe wawaulize Oilcom Mbezi chini wanalia baada ya GBP kufunguliwa, Oilcom walizoe kuwaibia Wateja sasa hivi wanabembeleza watu warudi ila ndio hivyo watu wakishaamua imekuwa kwao
  3. M

    ATCL biashara inaelekea kuwashinda

    ATCL tumewaunga mkono lakini biashara inaelekea kuwashinda Leo abiria waliotakiwa kuondoka Saa 11 jioni wa Dar - Mwanza mpaka sasa SAA tatu na robo usiku bado wako airport. Na kumbuka mlisema reporting time ni kuanzia SAA Tisa mchana INA maana wanaokaa mbali waliondoka SAA sita majumbani ili...
  4. M

    Hii mikataba ya wazungu ya kinyonyaji tuungane kuikataa, Tumewakatalia A. Mashariki wameenda SADC

    EU-Southern Africa Economic Partnership Agreement Takes Effect A long-awaited Economic Partnership Agreement (EPA) between the EU and select southern African countries came provisionally into effect this week, officials confirmed on Monday 10 October. The EPA was signed in June by the EU and...
  5. M

    Naanza kuona dalili ya serikali ya mseto

    Kutokana na vuguvugu la siasa nchini naanza kuona dalili za serikali ya mseto na itakuwa either rais magufuli waziri mkuu mbowe au rais lowassa waziri mkuu magufuli. Hii naamini inaweza ikawa serikali inayoweza kuwatumikia wananchi kuliko serikali zote zilizopita. Naomba mungu tusifike hapo kwa...
  6. M

    Vijana, ni wakati wa kubadili siasa za nchi yetu

    Nimetafakari na kuona sisi vijana tuna wajibu wa kuingia na kubadili mwenendo wa siasa za nchi yetu. Ukiangalia wagombea wote wanaojitokeza kuomba ridhaa ya chama cha CCM hawana jipya zaidi ya siasa za majigambo, siasa za rushwa na ufisadi, siasa za kulindana, siasa za kuonyeshana nani ana...
  7. M

    ATM za CRDB hovyo sana

    Nikiwa mteja wa CRDB nalazimika kusema ukweli kuhusu hii benki yetu yaani kwa huduma hasa za CRDB siku hizi hasa week hii ziko slow na leo jumapili zote toka asubuhi azifanyi kazi kazi nimeanzia millennium tower, shamo complex, shamo tower, engen petrol station mbezi na sasa niko kibo complex...
  8. M

    TANESCO ya sasa na mgao wa umeme tutamkumbuka Muhongo

    Kwa muda sasa toka Muhongo atoke madarakani nimeanza ku-experience mgao wa umeme wa mara Kwa mara na kukatika ovyo Kwa umeme bila taarifa yoyote Kwa maeneo yetu huku mbezi (sijui maeneo mengine kukoje) . Nimemkumbuka Prof. Muhongo enzi zake haya mambo tulianza kusahau ila baada ya kutoka na...
  9. M

    Maumivu kwenye shingo

    Jamani naombeni msaada ninajisikia maumivu kwenye shingo sasa ni wiki ya tatu bado hayajaisha. Mwanzoni nilidhani labda kulala na mto nikaacha ila bado maumivu yakaendelea nikaenda kucheck malaria wakaniambia nina malaria nikanywa dawa nikamaliza ila bado nasikia maumivu. Sasa hivi kuna jamaa...
  10. M

    Nyumba ya kupanga inahitajika

    Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya mbezi beach, tegeta, mwenge, survey na kijitonyama. kwa yeyote aliye na nyumba maeneo hayo ni pm
  11. M

    Angalia wenzetu wanavyofaidika na natural gas

    nimesoma hii habari leo nikajiuliza kwa nini kwetu imeshindikana na nadhani tukifanya kama wenzetu ndio itakuwa ni suluhisho la tatizo kwenye maeneo yenye natural gas kwa habari zaidi soma hii link Billions in gas drilling royalties transform lives - Yahoo! News
  12. M

    Mwekezaji anatafuta viwanja vya kuwekeza maeneo ya Masaki, oysterbay and ADA estate

    kuna mwekezaji anatafuta viwanja kwa ajili ya kuwekeza either lease au joint venture maeneo ya masaki, oysterbay na ADA estate. kama una plot au unamjua mtu anayetafuta mwekezaji nipigie namba 0719338511
  13. M

    Kupata vibali vya ujenzi manispaa ya Kinondoni ni rushwa tupu

    Jamani, nimejaribu kufuata utaratibu wa kupata kibali cha ujenzi wa nyumba kutoka manispaa ya Kinondoni ila sasa ni mwaka mmoja tangu niombe ila ni usumbufu na rushwa imejaa mpaka sasa sijapata kibali. Nikifuatilia mwanzoni walikuwa wanasema kikao bado hakijakaa kupitisha vibali na na...
  14. M

    Sitta alijua mwisho wa mafisadi?

    Nakumbuka katika sherehe za kuchangia kwaya moja Sita alitamka kuwa nchi inayumbishwa na mafisadi wasiozidi kumi ila akaonya kuwa mwisho wao itakuwa kabla ya 2012. Je alijua hatua za zitakazochukuliwa na chama kwenye kikao cha wiki iliyopita? Kama alijua basi nasema uamuzi wa CCM ni ushindi wa...
Back
Top Bottom