Mfumo wa kijeshi amiri jeshi mkuu Yuko katika utaratibu wa vyeo katika jeshi letu ambalo ndio chombo kikuu cha kijeshi na ndio utaratibu wa uniform na alama za amiri jeshi mkuu zipo, majeshi mengine yako chini ya jeshi kuu la nchi, majeshi ya polisi na magereza ni majeshi ya chini ambayo hayana...
Asikudanganye mtu Russia hakuna kitu itafanya Kwa Africa, huu sio mkutano WA kwanza wa Russia na viongozi wa Africa zaidi hapo ni Putin anataka kuonyesha propaganda za kushindana na USA kuhusu Africa
Nadhani hii ziara ilikuwa ndefu Sana nadhani wandaaji wamejifunza kitu Kwa binadamu yeyote kusafiri Kwa muda wote huo lazima mwili uchoke ongezea na hotuba za chuma kwenye maeneo aliyopita lazima angechoka tu, nadhani kilichotokea ni uchovu wa safari ndefu ya ziara
Kanda ya ziwa ina majiniasi kuliko sehemu yoyote labda nikipe takwimu kidogo Nyerere, kadinari WA kwanza Africa Rugambwa, Prof. Rweyemamu aliyefundisha mpaka havard na ndio mwalimu WA uchumi WA akina Lipumba, Kikwete, Ndulu.
Kagera ndio inaongoza Kwa vichwa nchi hii nenda kule usikie idadi ya...
Mwalimu alifanya yote haya ndani ya miaka 24 sasa hivi Marais wanakaa miaka 10 Tu ni muda mdogo sana,mpeni JPM miaka 20 aendelee na Kasi hii hii uone kama hatayafanya, nadhani katika yote haya muhimu rais anapokuwa madarakani na akianza na mipango mizuri asije akaanza kupotea njia hapo ndio huwa...
Uwezo wa akili wa Membe ni mdogo sana, katika siasa alibebwa na ndugu yake JK zaidi ya hapo Hana uwezo wowote wa kiutendaji na Hana maarifa ya mbinu za kisiasa, abaki tu kuwa kachero
Waambie hao vijana akina Kikwete arudishe hela yetu ya escrow, huyo Membe arudishe pesa ya Libya, ndio uje hapa nastori zako za vijana wa mwalimu, Leo mwalimu alifufuka na akajua haya madhambi Yao bado atawaita vijana wake? Vijana wamezeeka wakawa wezi wakubwa halafu unatuletea stori za miaka ya...
Hizi shahada zenyewe zinashabihiana Sana ni Sawa na masomo kwenye shahada moja kila somo aliamua apate degree yake.
Kama yeye ni genius asome doctor wa binadamu degree, electrical engineering degree, taaluma ya mimea, architecture tuone kama angeweza kutoboa
Ulimsikiliza rais vizuri lakini au unaleta siasa? Alisema masharti ya sasa hayakubaliki lakini wakija na terms nzuri zinazokubalika tutakaa tuongee nao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.