Katika hali ya kushangaza, Bwana francis ndunguru aliyekuwa raisi wa chuo, ameingia katika kashfs kubwa ya ufisadi wa zaidi ya shilingi 4.7million alioomba kutoka management kwa ajili ya kufanya uchaguzi mpya wa viongozi...kwa maelezo zaidi soma barua
hizi
Ndugu zangu hebu tusaidiane ..ni kweli rais wetu amedhamiria kuondoa ufisadi na mafisadi?? Kwann Chenge anapewa mamlaka hiyo licha ya kuwa na kashfa mbalimbali...
Karibuni tujadili
GOOD MONEY WITH LADY'S FINGER/OKRA OR BAMIA(ABELMOSCHUS ESCULENTUS)
Bamia is one of the popular vegetable in Tanzania. It is cultivated extensively all the year round for its immature fruits. Bamia fruits are used as a vegetable. The stem of the plant is used for the extraction of the fiber.The...
Chadema na wananchi wao wapi ao wananchi? Ccm haina wananch wa tanzania? Au ,...kama 80% ya watanzania wanaish vijijin it means wale wanakijiji sio watu? Na kama watu sio watanzania?
Ni chama kipo tayari kujivunja na kutengeneza chama kipya? Kama mmeshindwa na mna uchu wa madaraka better mka declare interest even by overthrowing the existing government ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.