Huu mradi nahisi kama vile uliwahishwa, haukupaswa kuwepo kwa sasa.. Labda kama ungeletwa na kuendeshwa na wenye akili zao.. Yaani abiria wanapata shida sana, na hivi sasa ruti ya Mbagala itaanza muda sio mrefu, mateso yatazidi kwa abiria aisee..
Imagine asilimia kubwa ya hayo mabasi ya...
Akumbuke kuna wanaoomboleza kwa kupotelewa na wawapendao, busara ilimtaka anyamaze tu, at least tusingepata ushahidi mwingine wa ukosefu wa akili, maono na busara kwenye fuvu lake la kichwa..
Mashabiki wa Yanga mnatoa lawama sasa hivi, lakini wakati ule uongozi ulipovunja pre season tour mlishangilia bila ya kujua athari ya kuzikosa mechi za kirafiki katika mazingira tofauti.
Mnacheza na Mbuni Fc mkitegemea kupata nini hapo..? Mnashinda katika mazingira yenye utata, badala ya...
Hivi kweli kabisa Waziri anaejiita Daktari wa uchumi, anaitisha press conference, kuja kuwasingizia wananchi ndo walioomba tozo..?
Tozo ni kodi iliopewa jina tofauti..
Mara nyingi misiba ya waislamu huwa wanatumia sheria za mirathi za kiislamu katika kugawa mali.. Sasa shida ni kwamba hakuna sheria za mirathi za wakristo.. wanatumia sheria za kiserikali ambazo zinakaribisha magomvi mengi..
Well, they say Karma's a bitch..
Alijisahau sana, although huu ni ubakwaji wa demokrasia, acha tu na yeye alipe.. Ameumiza, kuliza na kuwadhalilisha wengi..
Naamini hata huyo aliedhaniwa kwamba mhanga wa huo mchoro, kama anajua kuna mtu amewekwa ndani Polisi kwa kosa la kudhaniwa.
Polisi wanakera sana aisee.. Ndio maana Raia tunawashangilia akina Hamza, na kuwaona kama mashujaa waliosimama na kufanya kitu, katika kupambana na udhalimu wa Jeshi la...
Lile tukio ni la aibu kwa Jeshi la Polisi.. Video clips zote zilizorushwa kuhusiana na tukio lile, zilionyesha mapungufu makubwa ya askari Polisi.. Polisi walirusha risasi zaidi ya elfu, bila ya mlengwa kuguswa nazo.. Zile video clips zilionyesha Polisi waliokuwa wanarusha risasa ovyo, mpaka...
Tuna shida kubwa sana, pale Wanasiasa wanapotaka kutatua matatizo ya kiutendaji kwa njia ya siasa.. Sikutegemea kwa Makamba Jr. nae angekuja na kauli ya kisiasa kama hii.. Wanasiasa wanakwepa wajibu wao kwa kuwaaminisha watu ukatikaji wa umeme ni jambo la hujuma za makusudi.. Wakati ukweli ni...
Mkuu unamlaumu kocha kwa mechi zipi za majaribio ambazo timu ilicheza..? Mlishindwa kujiuliza kwanini timu imeenda Morocco na kukaa siku 3 tuu bila ya kucheza mechi yeyote ikarejea Tz..? Mkaaminishwa kwa propaganda za msukule kwamba mna timu.. GSM anafanya biashara zaidi Yanga kuliko kuwekeza...
Kama Hamza ni gaidi, je aliekuwa mkuu wa upelelezi wa makosa ya Jinai mkoa wa Dsm, Zombe na wale askari wake waliowaua wale wafanyabiashara, kuwanyang'anya fedha zao, na kisha kuwabambikia kesi ya ujambazi marehemu wale, utawaitaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.