Search results

  1. xir jyerphy

    Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Box la kwanza tupia opxn ya s (s) Box la pil tupia # ya shule ya 4m4 (0000) Box la tatu tupia # ako ya 4m4 (0000) Box ka mwsh tupia nwaka ulonalza 4m4 (2030) Then bofya sach
  2. xir jyerphy

    Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Luno G.... Me kama kurudisha,ntarudisha but under harsh conditions.. Wanipe kwanza 30'000 yangu..
  3. xir jyerphy

    Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Huyu mungu ni mungu wa majeshi (wafalme 5:7) Na wajeshi wenyewe ndio sisi (jkt),wale al shabaab si majeshi ni magaidi (watafute mungu wao) John 3:16 "For God so loved the world,that he gave us his only begotten son,that who ever shall believe in him shall have an everlasting life" "Leteni...
  4. xir jyerphy

    Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Thanx sis ashy... Acha tu yani nimevuta kila k2.. Walahi lazma ntafute tumbinu twa kuwanyea HESLB usoni...!!
  5. xir jyerphy

    Napendekeza: kipindi cha dini kingeondolewa mashuleni

    Sitaki kukoment chochote kuhusu huu uzi,najua nikifanya hivyo nitapata ban,hata ¼ mwaka sijatimiza.... Ndugu,chezea akili ya mtu lakini usichezee imani yake.... ANGALIZO... Futa huu uzi,umekaa kichochezi sana...wenye uelewa wameshanipata...
  6. xir jyerphy

    Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Jamani Eshy... Mungu si Athumani... Nimevuta manoti mengi mpaka naogopa..... EEH MUNGU NIPE MBINU ZA KUWAZULUMU OLAS MUDA WA MAREJESHO UKIFIKA....
  7. xir jyerphy

    ndo nimekosa mkopo au?

    Aseee vuta subira tu... Afu nikukumbushe petha ya boom,ndio hiyohyo ya accomodation... Asee presha yapanda pesha yasusa...
  8. xir jyerphy

    Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Wao imekaa vizuri hiyo... Acha tuone mambo yatakuwaje,mtandao ukisoma.... Once again HONGERA Eshy
  9. xir jyerphy

    Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Jamani Eshy.... Umevuta pesa ngapi... Hongera dadangu,sisi uku ni mwendo wa kupiz-piz tu...
  10. xir jyerphy

    Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Loh loh moyo wangu tulia.... Presha inapanda presha inashuka... I've already busted a nut,lots of semen..ni balaa
  11. xir jyerphy

    Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Mpendwa.... Umekula 100% ama....? Kozi gani mkuu...?? All in all hongera sana...!!
  12. xir jyerphy

    HESLB Kuachia majina waliopata mkopo Ijumaa tarehe13.

    Jamaa kacheza karata dume... Wanaodis wote midomo wazi...
  13. xir jyerphy

    Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Landcruiser.... Wewe umeshacheki yako..?? Mimi uku ni manyota tupu.. SERVER TIMED OUT...
  14. xir jyerphy

    Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Baada ya kuandika form 4 index number,kilichofuata ni manyota nyota tu... Yani page haifunguki...
  15. xir jyerphy

    Usilete swaga za nai-nai uka......!!!??

    Mweee chatts55... Kwenye swala zima la kitabu,huwa sichezi faulo aseee.... Shaka kwako dadangu
  16. xir jyerphy

    Shule hizi zimebaki majina tu

    Boyz hakuna div. 4 & 0..?? 2012 kuna zero pale,unakuja huku kudanganya umma.. Kwanini uzungumzie mwaka m1 tu (2011)afu unaisolate miaka mingine... Boyz sasa hivi imekua kama shule zingine wala haina haja ya kubishana Niambie; Kibaha Ilboru Mzumbe Kisimiri...nitakuelewa
  17. xir jyerphy

    Shule bora kwa ufaulu na kombi wanazoongoza

    Nimekusoma Landcruiser... Hujui mchezo uliochezwa hapa,hiyu mpigamsuli m.nge.se sana,kanichezea mchezo mchafu.... Yani ame-edit post yake baada ya mimi kutuma comment yangu..huyu mtoto mjinga sana...
  18. xir jyerphy

    Heslb yapeleka majina vyuoni

    Kwanini wasitupie mzigo kwenye web yao..../??? Hawa jamaa bhana,hivi zile 30000 tulizowarushia kwa Mpesa,wamezifanyia nini,kama hata kurusha majina kwenye web yao wanashindwa..
Back
Top Bottom