Search results

  1. E

    Kwa wale wa The new miono high school

    WASILIANA NA MWALIMU MMOJA ANAITWA KINDA 0788742254 ATAKUPA INFO ZOTE KWA KIFUPI NI KWAMBA UNIFORM NI DARK BLUE NA TAI ZAKE PAMOJA NA SURUALI LIGHT BLUE KWA ajili YA CHURCH NA MOSQUE GODORO ZIPO.
  2. E

    walio chaguliwa galanos

    Iko wap tuione au used ya mtu.
  3. E

    Msaada wa kuifahamu Shule ya sekondari Geita

    aliekwambia ile shule ni ya wasichana kwa a'level nani acha uongo a'level ni boys tu vishawish vya mgodi vya namna gan xaxa acha kuusingizia mgodi wew ni akili za mtu tu kujicontrol.
  4. E

    Msaada wa kuifahamu Shule ya sekondari Geita

    Shule mbaya kichz vyoo hakuna mpaka kulitokea fujo kali ambayo ilitulizwa kwa mabomu ya machoz na maji washa kwa sababu ya uongoz mbaya iliopelekea mpaka shule kufungwa kwa muda wa mwez mzima yaan wew kamwamishe kabisa pale wanatoka arts tu sana na mawani ya kutosha kwa arts na dv 4 za biashara.
  5. E

    Vyeti vya darasa la saba

    Wew kumbe ticha shda yako uongezewe mshahara si ungesema tu kona nying za nin.
  6. E

    New Miono high school

    Tutasoma 2.
  7. E

    Kwa wale wa The new miono high school

    Subiri watatuma posta
  8. E

    New Miono high school

    Kiroho safi.
  9. E

    Kwa wale wa The new miono high school

    Oyi fanya hzo pics kwa prfle ya Elixhadai kiroho safi.
  10. E

    New Miono high school

    Xa mbna Ally hujanichek kwa fb nisendie hizo pics kwa Name hii:Elixhadai Kiroho safi ili twende pamoja kijana.
  11. E

    New Miono high school

    28 july eveng ndo mpango mzima.
  12. E

    New Miono high school

    Fb mbna nipo nichek kwa jina Hili:Elixha Kiroho safi.
  13. E

    New Miono high school

    Pouwa pouwa kijana tutatokelezea kiroho safi tu kwan joining hawatoi hapo kiskul manake kama mimi nipo Mwanza if posible nijuze vp network full kwel?
  14. E

    New Miono high school

    Dah! Kumbe tupo pamoja vp join ushachukua?
  15. E

    Ni vipi vitabu vizur vya physics?

    We kma ndo unaanza hujapiga hata tuition pga Chand third edition bwana mdogo.
  16. E

    Vitabu vya geography

    Advance kubwa xi au xii.
  17. E

    New Miono high school

    Tunaokwenda Miono tufahamiane wapendwa katika bwana.
Back
Top Bottom