Hii inabidi uanze mara baada ya kuajiriwa na tena uwe na financial mentor (wa bure lkn[emoji3]) unayemsikiliza na kumheshimu hasa
Otherwise ile mihemuko ya kuanza kushika hela yako mwenyewe utataka ujaribu kila kitu, uwe kila mahali, ununue kila unachokifikiria kichwani hata kama hukihitaji...
Kumbuka hapa tunaongelea long term plans
Mambo vya miaka mitano au kumi huko mbele
Muajiriwa hiyo 10m au 20m anakuwa ameipata wapi in lumpsum apart from mkopo au kusevu kidogo kidogo
Na akishaipata anaweza akafanya biashara zipi akiwa kazini kwa watu huko
UTT ndo pa kuhifadhia sasa ili...
Well, You might be right
Lakini walau wamekuwa consistent
Mfuko ulianzishwa mwaka 2007, kipindi hicho sijui rais nani huko, bado miaka mitatu utimize 20 yrs
Naona kama hii serikali wanaiheshimu
Yan ulipwe 400k bado uongeze neno standard kwenye nyumba na self
Hichi kipindi unatafuta pa kujisitiri tu wakati unafocus malengo ya mbele zaidi, ambayo kama kila kitu kimeenda sawa, na ukafanikiwa kwenye ujasiriamali utaadjust accordingly
Kwa ajili ya kujifunza, mshahara ukianzia sh ngapi...
Mlioweka hela utt mlivomshambulia jamaaa sasa[emoji3]
Ukiweza kutofautisha hivi vi4 utagundua kila mtu anakuwa amefanya best decision kwake
1. Business vs investment
2. Active vs passive
3. Mtu mwenye muda na nafasi ya kuwa active kwenye biashara vs asiye na muda kabisa, probably kaajiriwa
Nyomi niliyoikuta hapo
Balaa na nusu
Yaani kama una kipato saivi na hausevu, hauwekezi jua tu unataka kutesa watu ukistaafu
Naongea na wewe uliyeajiriwa[emoji58]
Wafanyabiashara hawatakagi kusikia hizi mambo[emoji3], atakupa hesabu za china na namna anavoweza kuizalisha hiyo hela mara 7 kwa...
1. Badilisha routine yako
2. Weka malengo tena ya mbali
3. Waza siku ukipoteza hiyo kazi una pa kuanzia?
4. Tafakari, Kama hausevu saivi je utaweza ukishapata familia? (In case kama haujapata)
Utaweza kulipa ada za watoto bila kukopa?
Nilisahau, hapo juu namba 4
tuweke uwekezaji kwenye UTT endapo utashindwa hayo mengine yoote hapo juu
It better you invest with low return than risking your fund with high probability of loosing
1. Eneo la sadaka ni kwa kadri unavyoamini na ufahamu ulionao
2. Kuliko kuitoa huku unanungunika ni bora usitoe kabisa
3. Usipoweza kutoa na kumshukuru Mungu kwa kuwapa wahitaji or in any way katika kidogo ulichonacho sasa ivi hautaweza kutoa hata ukilipwa 10m
4. Hiyo hapo juu ni bajeti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.