Search results

  1. K

    Kwa yeyote aliemuona huyu tafadhari anijulishe

    Nimepotelewa na ndugu yangu Kabira ni mkurya Rangi ni mweusi kama chungu Ni mfupi kimo cha mbusi Hana jinsia yeyote Jina lake... Nyabhikwabhe Bharangambagamba chengisorichiraheta, mara ya mwisho arifaa Kabhuti nyeusi na surubhare ya ghichani na arikuwa ametokea vingunguti, Ukimuona pigha simu ...
  2. K

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Kama ukiniambia raisi alijibu kwa ufasaha kwanini watanzania ni masikini, jibu lake ni lipi? mie nafikiri jibu la umasikini ni kuuondosha na kubadilisha maisha ya wanaichi, tuache siasa tujadiri maisha halisi ya mtanzania, majibu ya raisi na waziri mkuu yamekaa kisiasa zaidi, lakini pia raisi...
  3. K

    Mama Vs Mtoto

    Mambo ya dogo janja hayo, lazima ukijua kuchakachua uje na kuchakachuliwa
  4. K

    Dr Slaa na Godbless Lema kuhutubia mkutano wa hadhara Kahama mjini leo

    Chadema mwendo mdundo, kina Rejao washmba tu hawana la kusema, wakati umefika sasa wananchi tunashika hatamu kwa kuwaondoa mafisadi, zama za kunyanyasana zimeisha sasa wamebaki wanatapatapa, subirini 2015 ndo mwisho wenu kina Rejao
  5. K

    Kesi ya Tundu Lissu Mahakama kuu Singida yaendelea

    Kila laheri T Lissu, mungu yupo pamoja nawe
  6. K

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Watanzania wenzangu wakati umefika tuangalie maisha yetu na ya watoto wetu pia, angalieni nchi ndogo kama vile Rwanda na Burundi Uganda na hata jirani zetu Kenya, mbona wao wanafanya vizuri, na hawako na resouces kama zetu, je sisi ni nini kimeturoga? wakati umefika sasa wananchi tushike hatamu...
  7. K

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    WHY TANZANIANS ARE VERY POOR? Tanzania the Country with full of Natural Resouces, and known to be the third richest Country in the world after DRC- Congo and Angola. Tanzania is full of Gold, Diamond, Green tomaline, Tanzanite, Gas and the big deposit of URANIUM in the world, From north of...
Back
Top Bottom