Raisi Obama amemteua Alfonso Lenhardt mwanajeshi mstaafu aliestaafu mwaka 1990 akiwa Meja Jenerali kuwa balozi wa Marekani nchini Tanzania...
Katika uteuzi huo unaoanza mwezi Julai 01 Rais Obama anaamini bwana Alfonso atasaidia katika kuleta uhusiano mwema kati ya Tanzania na Marekani....
Suala la kupima UKIMWI linasemwa sana.
Tunaambiwa Tanzania bila UKIMWI inawezekana, kwa kupima.
Inakuwa kama kujua afya yako ni jambo la maana sana.
Ukiangalia athari za kujua afya yako kulinganisha na faida, utaona jinsi ambavyo tendo hilo la kupima halina msaada mkubwa kama inavyosikika...
PUMU IMEPATA MKOHOZI
Mi nimekuelewa pasha maji moto,chovya taulo dogo nakuikanda kwa dakika 5, hii itaongeza mzunguko wa damu.
1.ivute mbele kwa sekunde 6
2.ivute kushoto " " "
3.ivute kulia " " "
4.ivute chini " " "
5.ivute juu " " "
Fanya zoezi hili mara 2 kwa siku kwa siku 10 haitasinya tena
How would the general feeling be if the touting was "Binti Temu apata buzi" or as the updated lingo seems to go, "Binti Temu apata ATM"?
UCHKZI HUO MI SIMO
Mahakama yasimamisha uuzaji samaki wa Magufuli
Na Mwandishi wetu
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, John Pombe Magufuli.
Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu, jijini Dar es Salaam, jana ilisimamisha zoezi la uuzaji wa tani 296 za samaki aina ya johari kutokana na...
Askari jeshi aliyempiga askari trafiki akiwa kazini atiwa rumande* Wenzake waendelea kusakwa
Exuper Kachenje
JESHI la Wananchi Tanzania (JWTZ) limesema limemkamata na kuwekwa mahabusu ya kijeshi wake mmoja mwenye cheo cha koplo kwa tuhumiwa za kushiriki kumpiga askari wa usalama barabarani...
Huko dubai alikuwa ashikiki...jamani...anya way kisa kimoja cha kusikitisha sikumoja walikuwaclub wakaenda ****** walipofika vyoo vilikuwa vimepakana na vya wanawake baadhi ya wafanyakaz wa kike wakasikia watu wanabishana naaanza mimi aaahh naanza mimi mwingine akatoa ndege itakuwa aiondoki...
masikini aluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
alikuwa ana auti nzuri kweli akiwa anawahudumia wateja wa ATCL nakumbuka alifukuzwa kwa sababu ya rubani mmoja alikuwa anaongoza kitengo chao akasikia rubani mwingine inasemekana alikuwa na mshine ya ajabu alikuwa anamchapa kule dubai watu...
Mkuu Bill with all due respect.Naomba tumtendee haki kwa kutoa taarifa sahihi kumhusu marehemu, pamoja na mapungufu yote aliyokuwa nayo.Just to put the record straight ni hivi:
1.Hakuwahi kuuza nyumba ya urithi.Nyumba aliyouza ni yake na alijenga mwenyewe.. akiwa mmoja wa wakazi wa mwanzo...
BARUA TOKA MWANA-CCM BUSANDA
"HII NI KURA YA MAONI"
Salaam!
Nikiwa ni mwanachama mwaminifu wa Chama cha Mapinduzi ninaamini uchaguzi uliopo mbele yetu ni uchaguzi ambao ni sawa kabisa na kura ya maoni juu ya mwelekeo wa jimbo letu na hasa hali ya uongozi katika jimbo hili. Ni kura inayohusu...
Mkuu, nimependa sana information zako. Unaweza kunisaidia email za namna hiyo hiyo za wale jamaa wa ACCESSBANK pale Kijitonyama? Natanguliza shukurani!
WATAFUNGA BANK JAMANI KWA FUKUZA FUKUZA...AM KID..
Hawa CRDB wababaishaji ,ATM Card zao zinaharibika mapema sana,card yangu iliharibika nikaipeleka wakaniambia njoo baada ya wiki 3 nilifuatilia kwa muda wa miezi 4 ndio nikaipata
__________________
HHHHHEEEE HHHHHEEE MKUU BELO MIE NILIPATA TATIZO KAMA LAKO ILASIKU MOJA NIKAONA MWENZAK\NGU...
Ladies and gentlemen can you stop lamenting and using unwisely JF bandwidth
hey dem r u the one wrote this...sikusoma vizuri..excuse masa change ur language
mbona umemshambulia hivi huyo jamaa ama kuna dadako kaguswa huko,....pole
tuangalie masilahi ya wananchi kwanza ya kuangalia masilahi binafsi
Masa
Masanilo is Alcoholic
JF Premium Member
Join Date: Tue Oct 2007
Location: Lahore
Posts: 2,465
Thanks: 612
Thanked 1,173 Times in 730 Posts
Rep Power: 66
Credits: 496,449,260
Re: Wafanyakazi wa CRDB Meru Branch Arusha wafundishwe adabu!
Ladies and gentlemen can you stop lamenting...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.