Search results

  1. Chimunguru

    CCM fainali uzeeni 2015

    Wadau heshima mbele! Kichwa cha habari kinajieleza chenyewe. Kutoka na mambo ambayo ccm na serikali yake wanayafanya kuteka na kutesa watu, kuwabambikia watu kesi kwa ushahidi wa kutunga! Na mengine mengi yatupasa kumuepuka huyu dudu mtu anayeitwa ccm. Mabadiriko huanzia kwa mimi na wewe...
  2. Chimunguru

    Hand position

    Mods futeni hii thread nimejitahidi ku upload picha imekataa
  3. Chimunguru

    Maandamano Makubwa Kufanyika Kesho Kupinga Mahakama kutumiwa kisiasa

    Tunaongeza list ya dhambi. CCM ni dhambi kubwa sana
  4. Chimunguru

    Forever Loving Jah!

    ..just like a tree planted, planted by the river of the water that bringeth forth fruit, bringeth forth fruit in due season, everything in life got its purpose, forever yeeeah!! Kweli Mungu huchukua kile kilicho kizuri mapema! RIP Bob Marley lkn nnaishi na wewe spiritually kupitia nyimbo zako...
  5. Chimunguru

    Picha ya Siku

    Kwa Nyuma kuna flat screen inamuonesha Job Ndugai kasimama bungeni. nadhani wakati anaruhusu mjadala wa kumhusu Jairo
  6. Chimunguru

    Nzaya Nzayadio Na seki zenge!!!!

    Matoba.. Kayembe yoyoo bongisa......... Nzaya Nzayadio, Ndukidi, Tonele, Mombasa vata, kiamangwana mateta, daaaaaaaaaaaaaaaaaaaah wimbo mtamu saaaaaaaaaaana huuuuuuuuu inanikumbusha nikiwa hata shule sijaanza nikiwa Sumbawanga miaka ya mwanzo ya themanini kaka zangu na rafiki zetu pale mtaani...
  7. Chimunguru

    Elections 2010 Nape! Ccm ni mzigo uliolowa maji, shida sana kuubeba!

    Ndugu yangu Nape! nimefurahi sana kukuona ndani ya JF ukijibu hoja mbali mbali humu, ingawa sina uhakika 100% kama ni wewe maana wajanja wengi wanaweza wakagushi ID na kujifanya ndio wewe. Kama unavyofahamu siasa zetu si ugomvi binafsi ni za kiitikadi zaidi na binafsi hatuchukiani, lakini...
  8. Chimunguru

    Naomi Mtoto wa Arusha

    Naomi baby! Mitaa ya SEKEI Arachuga hiyo 1999 mwezi wa saba nilikuwa pande hizo. Nlikuwa kwenye ki shop cha cosmetics cha bro wangu! Naomi alikuwa anapita hapo kila asubuhi ananisalimia bila nyodo! akirudi ataingia shop ataangalia mafuta ya nywele! kuna jamaa alikuwa anamsalandia mara nyingi...
  9. Chimunguru

    Mara moja ambayo ulitamani ijirudie Tena

    Wadau usiku huu nipo alone, mamsap kasafiri wiki ya tatu sasa, usingizi shida mno sababu ni mtu wangu wa karibu mnoo kweli nina mmiss vilivyo. Ukiwa peke yako mawazo na kumbukumbu nyingi zinakujia, nimekumbuka mwaka 1998 nilikuwa naishi na kaka yangu mitaa ya Sinza kwa Remmy, ilikuwa ni nyumba...
  10. Chimunguru

    Mama Tunu Pinda aunguruma kwenye uzinduzi meli ya utafiti wa mafuta na gesi katika Pwani ya Mtwara

    Wadau nimeipata kwenye hii mahali fulani. mama Pinda anazindua Meli ya Utafiti wa mafuta ambayo itajikita huko "NTWARA" kwa ajiri ya kusaka kiwese. Naomba kuuliza hii ni sahihi kwa Mke wa Waziri Mkuu kufanya kazi hii ambayo kwa uelewa wangu mdogo naona ni kazi ya Kiserikali zaidi? Pata Picha;
  11. Chimunguru

    Tanga kunani

    Wadau! hasa wale ndugu zangu wa TANGA hebu nihabarisheni, Tanga driving school bado ipo? jumba la sinema likiitwa Tanga Majestic Cinema bado lipo? sababu ya kuuliza ni kwamba kuna ndugu yetu tulikuwa tunaishi naye Sumbawanga miaka ya themanini mzazi wangu alimpeleka Tanga kusomea udereva huko...
  12. Chimunguru

    Beatification of Lowassa starts here

    kwa wale wenye access na emmanuel tv, chekini mh LOWASSA yupo live anapata neno la mungu kwa prophet TB JOSHUA.
  13. Chimunguru

    Kitanda Cha Ukweli

  14. Chimunguru

    Bodi ya mikopo imeoza

    Leo nilikwenda pale tirdo msasani kufuatilia mkopo wa mdogo wangu anasoma pale muccobis. jina lilitoka lkn hawajampa mkopo eti hakupeleka results slip za frm 4. nimekaa pale km 2hrs nasubiri jina la mgo wangu liitwe, hatimaye km saa sita na nusu likaitwa nikaingia ndani nikaongea na mhusika...
  15. Chimunguru

    Ccm

    <?xml:namespace prefix = v ns = "urn:schemas-microsoft-com:vml" /><v:shapetype id=_x0000_t75 stroked="f" filled="f" path="m@4@5l@4@11@9@11@9@5xe" o:preferrelative="t" o:spt="75" coordsize="21600,21600"><v:stroke joinstyle="miter"></v:stroke><v:formulas><v:f eqn="if lineDrawn pixelLineWidth...
  16. Chimunguru

    Elections 2010 Chadema call back ringtone

    Wadau km wewe ni mteja wa Voda tuma ujumbe unaosema BUY 772 kwenda 15577. utapata call back ringtone inayohimiza watu kuchagua chadema. Yaani mtu akikupigia wakati unasubiri upokelewe huo wimbo ndo unaimba. in tshs 400/- tuu
  17. Chimunguru

    Elections 2010 Soma ujumbe huu

    Kupitia e-mail yangu ya kazini nimetumiwa ujumbe huu Wakinge uwapendao na CCM vunja ukimya zungumza na mwenzio chagua CHADEMA, okoa Taifa lako na mafisadi badili mfumo kwa kura yako. CCM HAIKUBALIKI!!”
  18. Chimunguru

    Hii Mpya

    Haya akina mama wapelekeni husbands wenu hapo
  19. Chimunguru

    Ardhi Yetu

    Bahari | Ipi Ltd | Property Investments Specialists | UK Haya wadau oneni Ma Project hayo. Bei zake ni balaa, lazima uwe fisadi uweze kununua. No wonder kila mtu sasa hivi anajitahidi kuiba hela ndefu pale alipo akipata upenyo. http://www.ipiltd.com/bahari
Back
Top Bottom