Search results

  1. RUTAJUMBUKIRWA

    JK, mchunguze DC wa Kyerwa Kitenga

    DC wa Kyerwa Kagera Luteni Kanali Benedict Kitenga ni dhalimu sana. anatumiwa na wenye pesa. juzijuzi hapa watu wanaotaka maeneo ya kuchungia mifugo walimtumia kufanya dhuluma kubwa kwenye kijiji cha kibingo. Aliamuru mgambo, wenyeviti wa vitongoji na majambazi wengine wafyeke migomba na kubomoa...
  2. RUTAJUMBUKIRWA

    Rais Kikwete linda wananchi, mnyarwanda anadhalilisha wananchi wako kiasi hiki

    mwekezaji ni mwekezaji awe mchina, mzungu, mnyarwanda... mawazo mafinyo ya mleta mada... au hii ni decoy, anatumia jina la prof. mnyarwanda kuamsha hisia na kumbe mali ni ya mtu mwingine, hovyoooooooooo
  3. RUTAJUMBUKIRWA

    Pato la Wastani Rwanda $583, Tanzania $434

    takwimu ni shida Tanzania. Kipato halisi hakiwezi kujulikana wakati fedha nyingi hazipitii benki ili kukwepa kodi, watu maofisini wanalipwa kwa vocha kukwepa kodi na nssf, fedha zinapelekwa uswiss, nyingine zinaliwa na wachina na consultantsb wazungu. uchumi wa bongo ni mkubwa sana per capita...
  4. RUTAJUMBUKIRWA

    Hivi Kinana ni lini alikana uraia wa Somalia?

    This is personal attack, nothing less! Hivi kwanini JF inaruhusu wabaguzi kuweka mambo yao humu? nani kahakiki uraia wa Kinana? au awe anatembea na vielelezo ili asiandikwe JF? Uraia wa mtu na rangi au kabila yake ni vitu tofauti. makamu wa Rais wa Zambia ni Mzungu, etc. Sijui watu wengine...
  5. RUTAJUMBUKIRWA

    African Union decorates RDF peacekeepers in Darfur

    Hali sasa ni shwari kati ya majirani, Tanzania na Rwanda, na waliokuwa wanachochea vita kama gazeti la Mtanzania wanaona haya sasa. Jeneral Ignas Paul Meela, mkuu wa jeshi la Umoja wa Mataifa Darfur amelipongeza jeshi la Rwanda kwa weledi wao. An RDF peacekeeper (L) is decorated during the...
  6. RUTAJUMBUKIRWA

    Ivona Kamntu - Mtangazaji anayemiliki vyema kamera

    Jamii Forum, ni vizuri msiruhusu threads za kuwajadili watu wenye maisha binafsi, kwasababu watoa maoni hapa wanatumia fake names, hivyo wana license ya kutukana, kukashifu na hata kuharibu maisha ya mtu kwa kuweka udhalilishaji wa kudumu kwenye internet, kama walivyomfanya Manono yule hakimu na...
  7. RUTAJUMBUKIRWA

    ALI YUSUF MUGENZI ni MTUTSI?

    We mufirisi, kila anaesema mambo positive kuhusu watusi naye ni Mtusi. we mbona unawatetea wahutu we ni Mhutu? sema we ni hutu? Au wacongo. we unajichubua ni Mcongo? sema, inawezekana we ni pandikizi la kigeni
  8. RUTAJUMBUKIRWA

    ALI YUSUF MUGENZI ni MTUTSI?

    Mtu anaye discuss kabila la mwenzake ni mufirisi wa mawazo! ni bure! mtu huzaliwa huru, na hachagui azaliwe kabila gani, hayo ni mapenzi ya Mungu! Kabila ni zawadi ya Mungu, mtu mwingine, kama watoa maoni hapa, kuzungumzia ukabila na kushambulia watu kwa kabila lao, ni mfirisi, hovyo, na wana...
  9. RUTAJUMBUKIRWA

    ALI YUSUF MUGENZI ni MTUTSI?

    Mi nadhani jirani zetu watusi mnawaandama bure kwasababu ya ukabila tu. hawa jamaa hawana barbaric behavior kama kuua albino, kuchuna ngozi na kuua vikongwe
  10. RUTAJUMBUKIRWA

    Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

    JF naomba muiweke hii, mkipenda, nadhani ninyi ni moderators wa mijadala ya pande zote, sio ku promote agenda za upande mmoja. Leo nataka nizungumzie conduct ya mwandishi wetu Manyerere Jackton, mwandishi nguri, mkongwe ambaye alikuwa anaandikia gazeti la Rai. Siku hizi nadhani yupo gazeti jipya...
  11. RUTAJUMBUKIRWA

    Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

    Manyerere ameonyesha ubaguzi wa waziwazi dhidi ya watusi, siku moja atapelekwa mahakamani, na hii thread yake ipelekwe baraza la habari make amechochea vita na chuki dhidi ya watu. Sijawahi kusoma gazeti lake la Jamhuri ntafuatilia nione hiyo chuki zake
  12. RUTAJUMBUKIRWA

    Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

    Kweli raia wa congo wana haki ya kuishi, nani kawazuia kulinda nchi yao? Congo ina raia 55 million, wana askari 120,000, wana utitili wa utajiri, walinde mipaka yao basi, wasisubiri huruma za Manyerere. Katiba inasema jukumu la kulinda nchi ni la wananchi wake wenyewe, sasa kwanini wasijilinde...
  13. RUTAJUMBUKIRWA

    Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

    mtu akikutukana sharti urudishe tusi, m.e.n.de nadhani wewe
  14. RUTAJUMBUKIRWA

    Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

    Manyerere, Hivi kweli Rwanda hana maslahi Congo? Mnyonge mnyongeni haki yake mpe. Mwaka 1994 kulitokea genocide. We unawaonea huruma waliokufa kwenye ndege ya rais, na sio wanawake, watoto, nk. walliouwawa kikatili sana na wahutu wenye msimamo mkali, ambao baadae walienda Congo, ambako wapo...
  15. RUTAJUMBUKIRWA

    Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

    Manyerere, nilikuwa napenda sana kusoma makala yako Rai, na nilikuwa nakuona mwandishi mahiri sana, nilikupenda, ila leo ume-ni disappoint, najua hapa utapata kudos nyingi kwasababu ya aina ya watu wanaojadili mijadala hapa, lakini sikutegemea kuwa mwandishi wa hadhi yako achochee vita na nchi...
  16. RUTAJUMBUKIRWA

    Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

    Tumeanza kuwatambua Wahutu humu ndani, tuadili hoja tuache matusi
  17. RUTAJUMBUKIRWA

    Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

    Manyerere, Kweli una mawazo ya al-qiada. kweli kuna mfugaji ambaye amewahi kuchoma nyumba na mashamba? huu ni uchochezi kabisa, uliza mtu yeyote kutoka Kagera, hawa watu wanaishi kwa kuliwa. Wanaliwa na police, immigration, idara ya wanyamapori burigi, nk. Walikuja kwasababu kwao hakuna ardhi...
  18. RUTAJUMBUKIRWA

    Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

    Manyerere anazungumzia Dola ya Bahima wakati hajui hata hilo kabila ni akina nani! Masikini mwandishi mjinga. Hajui kuwa propagandists wa hii dola walikuwa wanamwingiza hata Baba wa Taifa Nyerere kuwa yeye ndo kinara anaowatumia vijana wake Museveni na Kagame, sasa na wewe unadandia treni...
  19. RUTAJUMBUKIRWA

    WANYARWANDA wamejaa Jeshini hadi Ikulu Tz...

    Ubungoubungo ye, hapa si eneo muafaka la kutoa hisia zako. Toa maoni yako ili yaingizwe kwenye katiba mpya, kuwepo na kipengele cha kuwabagua watu wenye asili ya ya rwanda hata kama ni raia wa Tanzania. kwasababu katiba ilivyo sasa hakuna kipengele, nadhani, kinachotaja kuwa watu wenye asili...
  20. RUTAJUMBUKIRWA

    Paul Kagame alikuwa afisa wa jeshi la Uganda chini ya Museveni

    London ulishiriki? jamani watu, empire whatever jenga hoja usilete upuuzi
Back
Top Bottom