Search results

  1. Turnkey

    Tuchague kwa busara, Mbwa watulinde au tuwalinde mbwa?

    Anaandika Askofu Bagonza Mbwa hubweka. Asiyebweka hata akipigwa jiwe ni “mdoli “ wa mbwa. Mbwa halisi ukimzuia kubweka, utabweka wewe. Mbwa akibweka usiku humwamsha mwenye nyumba toka usingizini ili aione hatari iliyopo. Asipobweka, mwenye nyumba huamka kumwangalia mbwa kwa nini habweki. Kwa...
  2. Turnkey

    Afro East ni balaa kubwa

    The first East Africa album trending in Nigeria for two months non stop by @harmonize_tz who recognized as the number one ☝ artist in East Africa right now ,what so special about this album, got the Africa sound, literally what is your favorite song from it? Wanaija wamekubali huu mziki, sasa...
  3. Turnkey

    Solo Thang alitabiri Corona 2001

    "Bila Upevu wa Fikra kung'amua Hii Homa ni Ndoto/ Madaktari , Waganga Wote Cha Mtoto/ Bado Wanaitafuta Pimajoto/ Kwani Dunia Ina Homa Kali Mithili ya Moto/ Wanasayansi Tumelala Maabara/ Tunaitafuta Tiba Kwani Homa ya Dunia Ishaleta Madhara Hakuna Masihara/ Vipofu Wameisikia Homa ya Dunia...
  4. Turnkey

    Yanga watumia GPS vest

    Amkeni amkeni..hatimaye Yanga wameanza kutumia GPS vest na kuwa klabu ya kwanza nchini na ukanda wote wa kusini mwa Jangwa la Sahara kuwahi kuzitumia.. GPS vest moja inagharimu milioni 24...habari mbaya sana kwa mikia maana hawana uhalali tena wa kusema Yanga ni masikini...Mara ya kwanza...
  5. Turnkey

    Kotei kutua Yanga kesho

    INAELEZWA kuwa Kiungo bora kwa msimu wa mwaka 2018/19 alipokuwa Simba, James Kotei yupo kwenye mazungumzo na Uongozi wa Yanga ili ajiunge na mabingwa hao wa kihistoria waliotwaa ubingwa mara 27. Habari zinaeleza kuwa, Kotei ambaye alisepa Simba msimu wa 2018/19 baada ya kandarasi yake kumeguka...
  6. Turnkey

    CECAFA:Tanzania bara vs Kenya

    1.Aishi Manula 2.Mwaita Gereza 3.Mohamed Hussein 4.Bakari Nondo Mwamnyeto 5.Kelvin Yondani 6.Jonas Mkude 7.Cleoface Mkandala 8.Mzamiru Yassin 9.Paul Nonga 10.Lukas Kikoti 11.Miraji Athuman SUB David Kisu ,Metacha Mnata Juma Abdul Nickson Kababage Gadiel Machiel Baraka Majogoro...
  7. Turnkey

    CAF Confederation: Kikosi cha Yanga imeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids, yafungwa 3 kwa 0

    Leo kuna mtanange wa kukata na shoka kwenye viunga vya Cairo..na hiki ndio kikosi cha Yanga kitakachoanza ====== Waarabu wa Misri Waibana Mbavu Yanga Kikosi cha Yanga jana kimeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids kwenye mchezo wa marudio wa Kombe la Shirikisho uliochezwa...
  8. Turnkey

    CAF yafuta matokeo ya fainali ya Club Bingwa Afrika

    Shirikisho la soka Afrika CAF baada ya kukaa kikao cha dharura Paris Ufaransa kimekuja na majibu ya kufuta matokeo ya michezo yote miwili ya fainali ya CAF Champions League kati ya Wydad Casablanca dhidi ya Esperance. Kutokana kufutwa kwa matokeo hayo club ya Esperance ya Tunisia italazimika...
  9. Turnkey

    Zahera aitwa TAKUKURU

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imewataka wadau wote wa michezo akiwemo Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera kuwasilisha malalamiko yao licha ya taasisi hiyo kuwatuma maofisa wake kufuatilia yanayoendelea kwenye Ligi Kuu Bara. Takukuru wametoa kauli hiyo kufuatia hivi...
  10. Turnkey

    Kumekucha Zahera amfukuza Cannavaro

    KOCHA wa Yanga Mwinyi Zahera amesema kuwa yeye ndiye alimtimua meneja wa timu hiyo, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ baada ya kuonekana kwenye ofisi ya Mwekezaji wa Simba, Mohamed Dewji Mo licha ya yeye kufafanua kuwa alikuwa na ishu zake. Lakini siyo hilo tu, Zahera amemhusisha staa huyo wa Zanzibar...
  11. Turnkey

    Kumekucha Zahera amfukuza Cannavaro

    KOCHA wa Yanga Mwinyi Zahera amesema kuwa yeye ndiye alimtimua meneja wa timu hiyo, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ baada ya kuonekana kwenye ofisi ya Mwekezaji wa Simba, Mohamed Dewji Mo licha ya yeye kufafanua kuwa alikuwa na ishu zake. Lakini siyo hilo tu, Zahera amemhusisha staa huyo wa Zanzibar...
  12. Turnkey

    Yahya Zayed achukuliwa na Ismailia ya Misri

    MSHAMBULIAJI chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Yahya Zayed anayechezea klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam ameomdoka jana mjini Dar es Salaam kwenda Misiri kujiunga na klabu ya Ismailia ya huko. Zayed mwenye umri wa miaka 20 aliondoka kwa ndege ya shirika la Ethiopia moja kwa moja kwenda Cairo...
  13. Turnkey

    TFF acheni kuwabeba Simba

    TFF imehairisha mechi ya Simba na Biashara iliyopangwa kuchezwa tarehe 27 September,pamoja na mechi ya Yanga na JKT Tanzania.Kutokana na klabu ya Simba kuandika barua kuomba mechi yao na Biashara kufutwa ili wapate muda wakujiandaa na mechi ya watani wa jadi September 30. TFF wamewakubalia bila...
  14. Turnkey

    Timu 50 bora za Afrika, Yanga SC ndani

    Mabingwa wa kihistoria Tanzania wametajwa katika orodha ya timu bora 50 kwa mwaka 2017. Yanga wameshika nafasi ya 43. Viongozi wetu mnapoingia mikataba na makapuni msifananishwe na wale wengine ambao hata 200 bora hawasomeki. Ni hatua nzuri kwa Klabu yetu ila msimu ujao tupigane kwenda mbele...
  15. Turnkey

    TFF:acheni kuwabeba wachezaji wa Kitanzania

    Baada ya mechi ya Mc Alger na Yanga kumalizika ,nimejiuliza maswali mengi sana.Kweli kwa aina ya wachezaji wa Kitanzania hata karne tatu zijazo hatuwezi kuchukua kombe lolote la Afrika.Cha kufanya TFF kuruhusu timu kusajili idadi yoyote ya wachezaji wa kigeni..hii itafanya wachezaji wetu...
  16. Turnkey

    Njia Nyeupe AFCON 2019

    Kwa mara ya kwanza Tanzania imepangwa kwenye kundi" jepesi" .Kwa maana ya Uganda, Cape Verde na Lesotho. Mara zote tulikuwa tukipangiwa vigogo wa soka Afrika.Tushindwe wenyewe. Njia nyeupe kwenda Cameroon hata Kwa best looser. Kila la heri Taifa stars.
  17. Turnkey

    Timu Zach VPL zianzishe timu za wanawake

    Kwanza naipongeza timu ya Tanzania Queens kwa kutwaa taji la challenge mjini Jinja Uganda. Ila ombi langu ni kwa vilabu vya VPL kuanzisha timu za soka la wanawake. Timu kama Yanga. Simba na Azam na nyingine zenye uwezo zinaweza kufanikisha ili zoezi. Ukitazama vilabu vya ligi kuu uingereza Wana...
  18. Turnkey

    Kifo cha hiphop ya bongo

    Nimefuatilia muziki wa hiphop toka unaingia bongo(kwa maana ya bongo hiphop)Media zimechangia kuuwa hiphop.wanasema hiphop ni controves kwa maana bila ya beef hakuna hiphop.Tukumbuke TMK vs East coast by that time hakuna mtu alikuwa anasikiliza wabana pua..beef za hiphop hazipewi kipaumbele...
  19. Turnkey

    Yanga wapata mchongo mpya wa vifaa vya michezo kutoka kampuni ya Macron ya Italia

    Yanga imepata deal ya vifaa vya michezo kutoka kampuni ya MACRON ya nchini Italia. Klabu kubwa kama Napoli. Bolton wanders . Crystal palace. Stoke city n.k kwa timu za Africa ni Zamalek pekee. Hivyo wa matopeni route inabadilika badala ya kwenda antalya (Turkey) tunabadirisha gear angani next...
  20. Turnkey

    Aibu nyingine Addis Ababa

    Mpira wa miguu umetushinda Tanzania.Inakuwaje timu ya Taifa inaingia uwanjani kucheza mechi huku Jezi waliyovaa ina tangazo la biashara (Kilimanjaro beer). Watangazaji wa DSTV walikuwa wanatucheka ni aibu. Viongozi wa mpira wawajibike.Raisi Magufuli kuna vilaza wanalitia aibu Taifa Kila kukicha...
Back
Top Bottom