Search results

  1. B

    Bus la Maning nice linanyanyasa abiria

    Mimi kama mpita njia nilijaribu kupiga picha tiketi ya huyo mwanafunzi na kuituma kwa trafiki kibaha na pia kutoa taarifa kwa afisa wa LATRA Morogoro 0738 000 054 Sent from my SM-N920S using JamiiForums mobile app
  2. B

    Bus la Maning nice linanyanyasa abiria

    Yaani wateja hawana mtetezi kiuhàlisia
  3. B

    Bus la Maning nice linanyanyasa abiria

    Duh kumbe ni tabia yao!! Taasisi husika itetee wasafiri jamani
  4. B

    Bus la Maning nice linanyanyasa abiria

    Uko sahihi. Naambiwa hapa tiketi hadi stendi ya Magufuli wanachaji elfu26 ila kama utashuka kituo kinachofuata unalipishwa elfu40 ambayo kwao no nauli ya Morogoro. Muhimu haki za mtejwa zilindwe jamani, khaa!!
  5. B

    Bus la Maning nice linanyanyasa abiria

    Leo nimeshuhudia mtafaruku kati ya watumishi wa BUS LA MANING NICE na abiria wa kike ambaye ni mwanafunzi aliyesafiri kutokea Lindi kuja Kibaha. Ameshuka na makondakta wakamshushia begi na godoro la futi 3, wakamdai alipie godoro elfu30. Mwanafunzi akapigwa butwaa kwani anadai godoro huwa...
  6. B

    Mexican Fisherman

    A boat docked in a tiny Mexican village. An American tourist complimented the Mexican fisherman on the quality of his fish and asked how long it took him to catch them. "Not very long," answered the Mexican. "But then, why didn't you stay out longer and catch more?" asked the tourist. The...
  7. B

    Baa Maarufu Mkoani Kilmanjaro Yauza Nyama ya Mbwa...

    nadhani inakatawa kuuzia watu nyama ambayo haijapimwa na kujulikana kama haina viambukizi vya magonjwa Bon Appetit
  8. B

    A reason why one visa for tourists is not an option for Tanzania

    wenzetu wakisonga mbele kwa kazi sisi tulilala, wajanja wamegawana tulivyorithi EAC ya enzi hizo halafu tunatafuta mchawi, duh! EAA si iligawanyika kila nci ikaambulia vindege kadhaa? Sasa kenya wameweza from vindege kadhaa kukuza hadi kuwa na "really" international airline! Sisi? Tulibakia...
  9. B

    National Health Insurance Fund (NHIF) - Kero za wananchi

    Cha kushangaza zaidi, madawa kibao na vipimo utaambiwa bima ya afya hailipii so inabidi ulipie mwenyewe, ila hushangai kusikia eti wamegharamia sijui semina elekezi za jk!!!!
  10. B

    Mgomo wa madaktari na kiburi cha watawala wetu, nani anaumia?

    Kuwaita wanaodai stahiki zao WAPUMBAVU is not so high either - with due respect!!!!
  11. B

    Mgomo wa madaktari na kiburi cha watawala wetu, nani anaumia?

    ****, **** **** - safisha masaburi yako kwa colgate ndo uongee mpuuzi mkubwa wewe!!!
  12. B

    Naunga mkono mgomo wa madaktari

    Muhimbili yenyewe iko juu ya mawe, haina kitu - si madawa ya dharura, mashine za kuuwa wadudu kwenye vifaa, oksijen etc, ukipelekwa Muhimbili ukapona ni Mungu wanko na sio hao madaktari makarani wanaoishia kuandika yaliyokusibu ilihali hawana vifaa vya kukuhudumia. Hapo ni hospital ya taifa, je...
  13. B

    Why communism failed

    An economics professor at a local college made a statement that he had never failed a single student before, but had recently failed an entire class. That class had insisted that Julius Malema's Nationalization worked and that no one would be poor and no one would be rich, a great...
  14. B

    Derevaaaaaaaaaaaaaa!!!!!

    Dereve mmoja kwa jina MIKE alikuwa anampeleka boss wake Airport. Njiani Boss alikumbuka kuwa amesahau document muhimu sana hivyo alimwamrisha Mike amrejeshe haraka nyumbani aifuate hiyo document. Walipofika nyumbani Boss alimkuta mkewe yuko bafuni anakoga na amejipaka sabuni usoni. Kwa...
  15. B

    Ogopa mgonjwa wako kutibiwa na madaktari waliopelekwa Muhimbili toka Wizara ya Afya

    Duh, ndugu yangu nimeshindwa kuelewa hapo kwenye RED! Nategemea comment yako hadi ukaiweka hapa itakuwa evidence-based! Labda tu nikuombe uweke evidence hapa tufahamu hizo data kwani sikuwa na habari kuwa doctors wa urusi na china wako "shallow mno" ukilinganisha na??????
  16. B

    Ushauri Kwa Wanaume Tu! Je Ushaisikia Tiba Hii?

    What happens when u don't have a wife!!{see attached foto evidence}
  17. B

    MOI hali tete kwa wagonjwa

    shika adabu zako wewe kobe, kwanini watu wakiandamana kwa amani kudai maisha bora wewe unawaita majambazi?
  18. B

    Katibu mkuu Wizara ya Afya aitwa Ikulu

    Tumbi imeshaunga mkono leo
  19. B

    Mgomo wa Madaktari (Leo): Kiburi cha Blandina Nyoni

    Jibu lako kalitoa KM PM jana, ila wacha kututania wewe utakuwa mlinzi wa geti kuu! Kama peanuts mnazozipokea kwa kuwa zamu 36hrs wewe unazishangilia, nakushauri uende mirembe kwa check up ya kichwa kabla hujalazwa moi kwa operesheni ya uvimbe wa kichwa. Nyie ndo masaburi mnaosababisha huu...
Back
Top Bottom