Search results

  1. Nyasirori

    Simba waliwakosea nini Yanga?

    Bora kuna wawili huko wenye akili. Hivi Rage aliondoa watu pale aliposema mashabiki wa upande huo ni mbumbumbu?
  2. Nyasirori

    Kuna Watu walivyo 'Washamba' kama wangeshinda Wao 6 kwa 0 wangeshangilia mpaka hata 'Kuukweka' hovyo Mitaani

    Hawa mashabiki mbumbumbu ndo wanashinda hapa jukwaani kulaumu wachezaji, coaches, na viongozi kwamba hawafai. Hawa mashabiki ndio walimwita Ntibazokiza mzee, mhujumu team, leo wanashangilia! Hawa mashabiki ndio walishinikiza uongozi umfukuze Chama kuwa hana kiwango. Hawa mashabiki ndio...
  3. Nyasirori

    Jipatie saa nzuri kwa bei nzuri

    Mawasiliano yako
  4. Nyasirori

    Mechi saba za NBC PL zahairishwa kupisha mechi ya kirafiki ya Kimataifa

    Hapa kuna timu zinabebwa ili zicheze hizi mechi zikiwa zimeshasajili
  5. Nyasirori

    Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

    Hapa tungekuwa nchi iliyo serious, jamaa alikuwa na kesi ya kujibu
  6. Nyasirori

    Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

    Hapa tungekuwa kwenye nchi zilizo serious, Majay alikuwa na kesi ya kujibu.
  7. Nyasirori

    Laiti tungejua Yanga haitabeba Kombe ilipaswa Ndege mpya ya Mizigo iwapitie Algeria

    Hivi waliokufa kiume walikuja kama maiti, Mizigo au abiria
  8. Nyasirori

    Alichokiandika Ahmedy Ally (msemaji wa Simba)

    Waliwasha hata moto wakapigwa faini ya uchawi na CAF
  9. Nyasirori

    Kumbe CAF super league wanachukua hadi timu mbovu

    Ushiriki hapa kwa baadhi ya timu hakuna cha ubora wala ndugu yake, bali ni mipango tu
  10. Nyasirori

    Ukondoo wa Watanzania Unawafanya Watawala Kufanya Uchafu Wowote Wanaoutaka

    Ukikaa na raia wa Mali leo hii, wanaifurahia sana serikali iliyoko madarakani. Hakuna wizi wa pesa za umma wala miradi kukwama. Ingawa si vizuri, lakini natamani hata sisi tungepata serikali ya aina hiyo. Watumishi wetu wa umma hawana wasi wasi kabisa na ripoti ya CAG maana wameizoea na wanajua...
  11. Nyasirori

    Hongera Simba kwa kumpa Mgunda timu kama Kocha Mkuu, apewe mshahara mnono na siyo kutumiwa kama njia ya kubana matumizi

    Mbona umemshambulia hivyo? Hv kwani hamkukodi kama tulivyoaminishwa?
  12. Nyasirori

    Vipers siyo poa, kamng'oa Mazembe

    😄😄😄😄😄😄
  13. Nyasirori

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Okorere bhuya mura waitu.
  14. Nyasirori

    Naomba niwaumize Yanga kwa kusema ukweli, Sudan hamuwezi kutoboa!

    Kwani tatizo nini kama MO29 inasonga na Yanga ikabaki? Jamani mbona kila siku mnaanzisha nyuzi za Yanga kufail tu?
  15. Nyasirori

    Kwako Juma Aweso na Wizara yako ya Maji

    Hii ni moja ya wizara iliyofail sana. Jamani huwa najiuliza mbina wakati wa Magufuli haya hayakuwepo?
  16. Nyasirori

    VIPERS WALITARAJIA WANAKUJA KUCHEZA NA SIMBA TANZANIA NA SIO YANGA!

    Waganda wanaijua vizuri sana Yanga. Miaka ya nyuma walikuwa wanasafirikutoka kwao kuja kuishabikia Yanga inacheza. Kuwa na historia hiyo
  17. Nyasirori

    Laana ya Usaliti ni Mbaya sana. Wote waliopewa vyeo baada ya Kusaliti CHADEMA Watapukutishwa kama vumbi

    Katambi kwani ni msaliti au ni mtu aliyemaliza mission yake
  18. Nyasirori

    Nimekukubali Gentamycine, Matola 'mchawi'

    Hata wachezaji wa Biashara wanalalamika kupewa kocha wa kigeni, kwa hali ya kisoka waliyo nayo. Wanatamani wangepewa kocha wa kibongo wangebaki kwenye ligi. Hivyo nafikiri kuna namna makocha wazawa wanafanya
Back
Top Bottom