Search results

  1. Binti1

    Je, ni sahihi kufanya mapenzi ukweni pale mnapokuwa mmeenda kutembea?

    Huyu mkarimu kweli.Katupa chai na ugeni wake tutegemee chai nyingi zaidi
  2. Binti1

    Kuna mwenye undani wa ROSE & NICK SHABOKA?

    Na ngozi anajichubua Rose tulosoma nae Mlimani hakua mweupe wa hivyo na mkorogo alikua anauza labda kama ameacha saivi.
  3. Binti1

    ‘Siwezi kulea mama mwingine, wakati wa kwangu nilishazika’. Kauli ya mke wa Jamaa!

    Mbona kauli ya kikatili hivyo? Aisee kuondokewa na mama alipaswa ampende na kumspoil mama mkwe maana ndo mama aliebaki angalau angempa faraja
  4. Binti1

    Nimeachwa tena

    Hajakuoa na hajakulipia mahari mnaishi wote....wazazi wamelifumbia tu macho ??? Hamjaanza kuzinguana leo....anafikia hatua ya kukulaza nje unaona sawa??? Na kuna sehemu umeandika ushawahi enda sherehe ukarudi saa moja jioni akakupiga..... Kwa haraka haraka nadhani wewe ndio tatizo. Kuna namna...
  5. Binti1

    Nimeachwa tena

    Alikupigia simu umpelekee funguo ...kwa maana kwamba yeye hakua nazo. Lakini uliporudi ukakuta amejifungia ndani? Au alivunja kitasa akatengeneza usiku huo huo? Mimi ndio sijaelewa au wewe ndio haujaeleweka?
  6. Binti1

    What will I Do?

    He doesn't love you. No one is ever too busy for someone they love....put that in your head and move on gracefully.
  7. Binti1

    Geita: Mwanafunzi aliyepotea akutwa amefariki dunia pembeni ya mto huku jicho likiwa limetobolewa na nyayo kusagwa

    Ooooh mtoto mzuri what a painful and brutal way to die.Mungu awape faraja ya kudumu wazazi na ndugu zake. Waliofanya ukatili tunawakabidhi pia kwa Mungu ashughulike nao.
  8. Binti1

    Kwanini jambo hili ni nadra kulisikia kwa walimu, ila kwa hawa sijui kwanini!

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka jamani.
  9. Binti1

    Sema kweli majimaji baada ya kutawaza msalani unayafanyaje ili utoke mkavu au unavaa nguo hivyo hivyo?

    Miaka 20 ijayo tutalazimika kuwabeba mabinti zetu kuwapeleka sehemu za makumbusho kuwaonyesha mwanaume kamili alikua anafananaje
  10. Binti1

    Je, mnakubaliana na Mwamposa?

    Ana hadi keki aiseeeee [emoji28][emoji28][emoji28]
  11. Binti1

    Nilivyoumbuka kwenye swimming pool

    Nimecheka sana.Good writing skills [emoji1419]
  12. Binti1

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Title ya Movie? Ipo Netflix?
  13. Binti1

    Je, mitumba ni nguo zilizochangwa ili kusaidia wasiojiweza?

    Mbona hata nje kwenyewe kuna maduka ya mtumba? Ushawahi kusikia dollar store?
  14. Binti1

    Mtoto wangu anasumbuliwa na majipu kichwani

    Mwanangu akiwa mdogo alitokwa pia na mapele mwili mzima. Miezi minne huyo wako bila shaka hajaanza kula inawezekana ni hali ya hewa, mafuta au sabuni. Wa kwangu nilimuogesha na sabuni ya AZA baada ya kushauriwa na dokta ma vilipungua na kuisha kabisa nq havikurudi. Sijawahi kumpa dawa. Hizo...
  15. Binti1

    Jamaa mnaonaje ugumu wa kulea watoto?

    Waheshimuni sana kina mama, ulezi sio kazi ndogo.
  16. Binti1

    TANZIA Dkt. Casper Haule wa Hospitali ya Taifa Muhimbili afariki dunia

    Pole sana kwa familia na wote walioguswa na msiba, Mungu awape nguvu na faraja kwa kipindi kigumu wanachopitia. Kibinadamu sio rahisi kupokea na kuamini ila njia za Mungu hazichunguziki...tutawaweka kwenye maombi.
  17. Binti1

    Sehemu ya kuanikia nguo huwa inasahaulika katika ramani na ujenzi wa nyumba

    MZJ au Kifungilo? Nimevuta picha our schools were so organized and in order.
Back
Top Bottom