Ahsante sana chifu, pia pamoja na kifuatilia naomba nipe mwangaza jinsi ya kupata hizi lishe unazozimwaga hapa nizisome zaidi..
Haya mambo nayafurahia sana
TBC ina maktaba kubwa zaidi ya sauti kwa afrika mashariki, na kusini kama sikosei,
Historia ya mzee moris nyunyusa ilielezewa katika kipindi cha Star Special cha TBC TAIFA kinachoruka kila jumamosi kuanzia saa kumi na robo jioni, nakumbuka hadi mwanae morris alikuwepo kwenye kipindi...
Hili nalo unaliweka kisiasa, wallah hatutoendelea kwa mwenendo huu,
Suala la msingi la kujiuliza kitengo cha maafa kilichopo chini ya waziri mkuu kimeanzishwa lini? Ile bajeti inayotengewa iko wapi? Je imetumikaje hapa? Tunapoongelea maisha ya watanzania wenzetu weka siasa pembeni...
Serikali...
Hivi tuna upungufu wa walimu wangapi wa masomo ya sayansi?
Mpaka mwakani watakuwa wamepatikana tena kukidhi mahitaji ya tamko la mheshimiwa waziri?
Mie naona imefika wakati sasa elimu yetu ifumuliwe yote, elimu yetu imekuwa yakuwekewa viraka viraka tu.
Liundwe jopo maalum la kuleta mfumo mpya...
Leo halikugusi kwa sababu mwamvuli wa lumumba wakukinga ila hii ni kansa na inaendelea kusambaa itakukuta tu, na siku utakayo nyanyua kinywa chako kusema muende barabarani mtakuwa mmechelewa sana
Mnachoshindwa elewa hakuna uvyama kwenye masuala ya kitaifa katiba ni ya taifa si ya chama.. Kama...
Habari,
Elimu ni bahari, na popote pale waweza pata elimu,
kwa kuzingatia hilo naleta kwenu wana jamvi, ombi la kufafanuliwa kwa undani juu ya lenses za Digital Cameras kama NIKON au CANON na matumizi yake kibiashara.
Ni kawaida kabisa kila mtu kuweka pesa ya akiba benki, mfano: mtu anaweka milioni 2 kwa kudunduliza kisha anasema hazigusi mpaka pale atakapo pata dharura au kuna kitu anahitaji kufanya siku zijazo, anachoshindwa tambua kuwa katika akaunti ya akiba ile pesa haitojizalisha zaidi ya kupungua, ila...
Habari wana jamvi.
"Mzungu ana akili kuliko muafrika",
"muafrika hawezi, hana uwezo wa kuwa mbunifu",
"Muafrika daima ataongozwa sababu hana akili",
"Weusi ni laana"
Hizo ni baadhi ya kauli za watu wakijaribu elezea jinsi gani kuwa sisi waafrika tupo nyuma kwa kila kitu na tutaendelea...
Naomba iwe kweli na hicho kifungu kitolewe.
Ila kwa ufahamu wangu, mtu aliyetenda kosa jana hawez hukumiwa kwa sheria iliyoundwa leo..
Ila ni good move itawanyoosha wanafuata baada yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.