Search results

  1. XAMUEL DON KATAR

    Tuliowahi kuchukua mikopo tukafanya ndivyo sivyo

    2013...naingia chuo..nakutana na boom....pesa nyingi ambayo sikuwahi kiishika kabla ya hapo....kwa mara ya kwanza akaunti yangu ikasoma 800,000/=....ukiongeza na vijisenti nilivyokuwa natafuta baada ya kumaliza form six akaunti ikasoma kama 1.2mil.....daaaaa.....nikaona sio mbaya nikianza...
  2. XAMUEL DON KATAR

    Nimetibiwa na daktari Mlevi

    Wakuu amani iwe nanyi.... Namshukuru MUNGU hali yangu sio mbaya japo nilikuwa naumwa tangu Jana...kutokana na hali yangu ilivyokuwa Leo niliamua kitembelea hospital fulan hapa Morogoro mjini ili niweze kirekebisha afya yangu..kilichonishangaza ni kumkuta dactari muhusika kwenye chumba jicho...
  3. XAMUEL DON KATAR

    Serikali yatoa majina ya waliochaguliwa kidato cha tano mwaka wa masomo 2016/2017

    Guys kuna mdogo wangu kachaguliwa HWE arusha tech. Ni kozi ya ufundi but nataka kujua inahusu nn hasa na kirefu chake ni nn
  4. XAMUEL DON KATAR

    Series (Special thread)

    Naomba niwe added kwenye series group tafadhali..0655367710
  5. XAMUEL DON KATAR

    Kwa waliooa: Hivi pale sebuleni kwako una siti maalumu au unakaa popote tu

    everything, everywhere, everytime. It reflects order, discipline, consistence, and confidence. As a man, you're born with it
  6. XAMUEL DON KATAR

    Kwa wale waliochaguliwa SUA tuonane hapa

    t z ok kama hutaky...watakuja wenzio...
  7. XAMUEL DON KATAR

    Natafuta msaidizi wa ndani

    kama upo serious nipigie tuongee 0777409423...sio muhusika bt kuna ndugu yangu alikuwa anahitaji kazi za ndani..ana miaka 18 exactly kaishia form 2..uzoefu anao coz aliwah kuwa dada wa ndani huko moshi...uaminifu nakuhakikishia ni 100%...mimi nipo morogoro nasoma...so ni vizuri tukawaciliana ili...
  8. XAMUEL DON KATAR

    Kwa wale waliochaguliwa SUA tuonane hapa

    nipo tayar kukubeba lakini kwa shart moja...utalipa accomodation fee kwa semista zote mbili..got t,?
  9. XAMUEL DON KATAR

    Balozi Juma Mwapachu ajivua uanachama wa CCM, hajaamua kujiunga na chama kingine

    na hizi ni rasha rasha TU...watu mnaokaa huko ccm kwa WOGA...woga MNAMUOGOPA NANI?? Mnaogopa DIKTETA? Anakwenda D.C. kila siku kudanganya kwamba kuna demokrasia Tanzania. Kama katika Chama chake mwenyewe ameshindwa kukiendesha kwa demokrasia ataweza kuruhusu Demokrasia kwa vyama vingine? i am...
  10. XAMUEL DON KATAR

    Nipo njia panda sijajua ni chague nini?

    we sio kabwela....ni geneus fulani ivi...unajua mkuu....pokea likes 40000000000444
  11. XAMUEL DON KATAR

    TCU na Kozi za Udakitari

    that is why she is always special to me...
  12. XAMUEL DON KATAR

    TCU na Kozi za Udakitari

    hivi huwezi kusonga mbele bila M.D? is M.D everything to u mpaka uwape wazazi mzigo mwingine tena?...(incase kama hawana uwezo wa kutosha)...can u try to divert ur mind to other professionals?...anyway kwangu mie nahisi t z better uende C.O kwanza if ur mind cant leave m.d kuliko kwenda hivyo...
  13. XAMUEL DON KATAR

    TCU na Kozi za Udakitari

    kilaza mwingine...idiot
  14. XAMUEL DON KATAR

    TCU na Kozi za Udakitari

    So sory but wewe uliyeandika hapa nahisi ndo kilaza tena mpumbavu (samahani)...kama tayari upo chuo au unategemea kwenda nahisi bado hujakua..nani aliyekwambia wasiosoma medicine hawana uwezo?...au wanaosoma medicine ndo wana akili zaidi?...idiot...maisha hayapo ivo and keep in ur mind huyo...
  15. XAMUEL DON KATAR

    Project planing managment-PPM

    duuu...nimecheka xaana
Back
Top Bottom