Search results

  1. CLES B

    Choo cha kulipia Tegeta sokoni kimeniharibia siku

    Ongezea hapo stend mpya tena ya juzjuzi ya Mwanza - Nyamhongolo, ni kinyaa.
  2. CLES B

    Vivuko vya Azam pale feri Dar es salaam kuna dalili za Ufisadi

    Nahangaika na mbeba boga Fala wa kukurupuka, mi naongelea kivuko cha busisi Kigongo Mwanza na pale daraja linalojengwa ni Daraja la Magufuli liko Mwanza. wewe uko kurasini,ndo nikasema kuna uhuni wa uliopindukia kuliko hata hapo Kigamboni, watu wanahangaika kuhonga mgambo wa Suma JKT...
  3. CLES B

    Vivuko vya Azam pale feri Dar es salaam kuna dalili za Ufisadi

    Daraja halijakamilika, bado lipo kwenye ujenzi na hayo malipo uliyasikia wapi au unatumia hisia zako tu kuleta maneno ya jeuri wakati watu wanateseka .Maamae kabisa
  4. CLES B

    Vivuko vya Azam pale feri Dar es salaam kuna dalili za Ufisadi

    Kabisa, watu wanahonga sana pale ili aweze kupata nafasi ya kuvusha gari, kusubiri kwenye foleni zaidi ya masaa 8 ni kitu cha kawaida sana kama una Kigari chako.
  5. CLES B

    Simba SC Tanzania yamtambulisha kocha mpya Robertinho

    Umeona eehe, wanakuja kuuwa vipaji vya wazawa na kujichotea mihela ya wajinga
  6. CLES B

    Vivuko vya Azam pale feri Dar es salaam kuna dalili za Ufisadi

    Karibu pia Mwanza ujionee, kivuko cha Busisi Kigongo, ni heri hayo ya Musa, huku kuna firauni.
  7. CLES B

    Nawaza sana, John Bocco anachezeshwa Simba na kuitwa Taifa stars kwa kiwango kipi?

    Yaani hakuna mtu aliyeinyima simba ushindi mwingi kama Mugalu,halafu akawa kipenzi cha Pablo,Pablo ,Motorola na benchi love la ufundi wapishe,scouting team yote ifumuliwe
  8. CLES B

    Geita: Mke wa mfanyakazi wa GGM anyongwa

    kweli wewe ni chizi com
  9. CLES B

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Kwema mkuu,kama utaweza nitumie picha za rear differeantial uliyopo nayo kwa namba whatsap 0767111675,pia uko wapi?maana mie niko Geita.
  10. CLES B

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Mkuu nahitaji complete rear differential ya Pajero io (4G93) pamoja na Cross member Kwa miguu ya mbele,nipe bei
  11. CLES B

    Dawa ya aleji

    Seriuos still? sikuwa hewani kwa siku,pole,waeendeleaje?
  12. CLES B

    Dawa ya aleji

    yes ,zinapatikana.
  13. CLES B

    Mlioacha kazi za kuajiriwa na kujiajiri wenyewe nahitaji msaada wenu

    mbona unakurupuka,hii threaad ya siku nyingi sanaaa
  14. CLES B

    Anayefahamu vizuri hii degree ya microbiology na chemistry anijuze

    Jamii forum ingekuwa na asilimia kubwa ya watu constructive and generous kama Mwifa Said & remedy 50,ingekuwa na msaada sana kwa wengi.Big up Brodaaa
  15. CLES B

    Mlioacha kazi za kuajiriwa na kujiajiri wenyewe nahitaji msaada wenu

    mkuu hii kitu ya kitambo saaaanaaaaaaaaa
  16. CLES B

    Siamini kama uvutaji wa sigara unasababisha Kifua Kikuu

    Mkuu soma kwa utulivu upate maana, ni kweli unachokisema ila kuonekana kwa uzito wa athari hizo pia inategemea mtu na mtu na vilevile kupata athari kutokana na kisababishi (causing factors) fulani kuna "factors" nyingi tu ,ikiwemo uimara wa mwili wa mtu mwenyewe na hata kiwango (dose) cha...
  17. CLES B

    Siamini kama uvutaji wa sigara unasababisha Kifua Kikuu

    i "EMPHYSEMA" una uhusiano mkubwa na uvutaji wa sigara , bangi ,Hewa yenye kemikali pamoja na mavumbi. Ungonjwa huu huathiri vifuko vya hewa kwenye mapafu "alveoli / air sacs" ,vifuko hivi hupasuka na kutengeneza eneo/maeneo makumbwa yanayokuwa na hewa kwenye mapafu badala ya vifuko vidogo...
  18. CLES B

    Katika Ukoo wetu Shangazi zangu wengi Hawaolewi,Hii ni Mikosi au?

    We ni kabila gani? kuna kabila fulani kanda ya ziwa wanakula mbu na watoto wa sato (fulu), wanawake wa ukanda huo (si wote isipokuwa asilimia kubwa ni tatizo) wana sifa ya viburi mtindo mmoja,wajuaji kwa kwenda mbele hawajui kupika ni michemsho tu maneno mengi wakati wanamiliki fulu na udaga...
Back
Top Bottom