Search results

  1. N

    LG TV Inauzwa Bei Poa

    Salaam wadau...nauza TV aina ya lg nilikua natumia ofisini sasa ninahama.Ni LG ya silver inch 50.haina ratio lolote ila remote nilimisplace.Bei ni laki 670.Kwa mawasiliano 0689900000
  2. N

    Secretary anahitajika

    Wadau Ofisi ya sheria ndio inaanza kazi inahitaji secretary wa ofisi. Ofisi ni ya sheria na ipo Dar.Ajue kuchapa na basic computer knowledge na apllications pamoja na office set set up na usafi wake. Kwa maelezo zaidi tuchekiane kwa namba 0659300000. Asanteni.
  3. N

    Galaxy Note5 nauza

    Mkuu laki 8 vipii
  4. N

    Natafuta kanga wa kufuga

    Salaam...mimi ninao wakubwa ila wako Moro.Naweza kukuletea mpaka hapa Dar.Nauza elf 25 kila mmoja
  5. N

    Mfanyakazi Anahitajika

    Shamba lipo Morogoro...salary 150 kuanzia.Nyumba na chakula plus medical care juu yetu
  6. N

    Mfanyakazi Anahitajika

    Salaam wadau...ninatafuta Mfanyakazi wa Shamba la Mifugo.Lamsingi awe na elimu ya Mifugo hata certificate pia na uzoefu hasa wa kuku na magonjwa yao na Nguruwe pia.Ntashukuru kama kuna mtu anajua mtu huyo. Mawasiliano ni 0763300000.Asanteni
  7. N

    Toaster, Deep fryer, Sandwich maker and irons for sale

    Hiyo deep fryer ni ya ujazo gani ndugu?
  8. N

    Kiboko ya Ujambazi kama Kweli -Spy Camera Hellicopter

    Inauzwa wapi hii mkuu
  9. N

    Regina Lowassa ni mwanamama wa mfano, mke bora

    Yes...Ni Mama bora na anafaa kuwa first lady..Strong,fearless and Daring
  10. N

    Leo Ijumaa, Agosti 7 nitazungumzia siasa zinazoendelea nchini channel 10 saa 4 usiku, karibuni

    Polepole pls save the little reputation you still have...You are no less a mercenary..acha hii kitu
  11. N

    Mgombea urais: Huyu ndiye anayeungwa mkono na chama cha CCM

    Sio kweli...Balozi hajui makatibu hata wa mikoa sasa hiyo CCM unayoiongelea sijui ni ipi...labda CCM B
  12. N

    January Makamba, Ubunge Umekushinda. Utawezaje Urais?

    January anatafuta umaarufu ambao tayari anao...yaani ameshafika optimal point sasa hizi heka heka hata sijui za nini
  13. N

    Hii ndo tatu bora ya wagombea wa CCM

    Wrong analysis...ili hao wafike Mkutano mkuu inategemea NEC watakuepo na watu gani...Labda useme hao 3 watafika NEC not otherway around
  14. N

    Makongoro Nyerere: Mkinichagua, nitaanza kushughulika na kukiimarisha chama

    Makongoro hana experience ya kufanya awe bora....agombee Kwanza ubunge wa JMT
  15. N

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa: Lowassa hakatwi jina

    Mnaokereka na Edward kaleni malimaoooo
  16. N

    Nauza washing machine mpya

    Sh ngapi mkuu
  17. N

    Kuku wa kienyeji pure wanapatikana sasa kwa bei nzuri, weka oda sasa

    Nahitaji mitetea 15 kwa elf 10 kila mmoja
  18. N

    Makongoro ni jasiri kuliko watia nia wote...

    Makongoro ni the most hope less of all...hata Mpina afadhali
Back
Top Bottom