Search results

  1. Manga ML

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kabisa akaletwe kavicha kule kwao kwisha haribika itakua kashuka bei
  2. Manga ML

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hakuna asiejua kama aliondoka kwa sababu yako. Hakuna asiejua kama umefanyia kazi fikla zake ndo zimekupa ubora huu wa sasa
  3. Manga ML

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Na hili ndo linalo muondoa maana mawazo yake hayakufanya kazi na baada ya kufata ushauri mambo yameanza kuwa sawa kajishtukia Kona atimke tu.
  4. Manga ML

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hata uongozi umelijua hilo ndo baada ya kutangaza kuondoka wakaona wamfate ili afanye nao kazi wakiamini ubora wake
  5. Manga ML

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kipara anaweza hamishia huko mashambulizi yake pia huenda asianze Natamani awepo mtu wakumnyima Raha Rodri
  6. Manga ML

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Natumai itakua mawazi tu ila hawezi kuongeza muda Mipango inayo indelea nje ya uwanja halimhusu Klopp tena amesha sema nguvu ya ziada hana nitashangaa sana akibaki. Natamani mabadiliko na muda ndo huu.
  7. Manga ML

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Amecheza mechi zake za karibuni kwa mpangilio Sanaa nimeona mechi ya united alivo wapelekea moto na jana kampumzisha mtu 6 kwa ajili ya hii mechi kazi tunayo. Kipara hatanii
  8. Manga ML

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hatimae Musialosky kaongezwa na yupo mwaka wa mwisho huu itakua mitihani wake wa mwisho huu kama anataka kuongezwa au aachwe mazima
  9. Manga ML

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Huyu mzee huenda alikua hataki shauli za wengine mana ilikua hata tukishinda ushindi mnono bado alikua hapangi vijana anawaganda kina Milna wake bilashaka kachoka kweli. Huyu dogo sijui ni fabi ajae au Gerrard ajae?
  10. Manga ML

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Si bule benfika itakua wamemtupia majini
  11. Manga ML

    Cute B, Nakutafuta

    Mlipotezana au wewe ulipotea?
  12. Manga ML

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Jamaa anajua ila anakimavi asa goli Gani lile la kukosa?
  13. Manga ML

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Tunayo tamani ushindi usio na jasho tutaomba apone taaaratiiibu awape nafasi wanaojituma
  14. Manga ML

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kwambaa TAA ndo alikua tatizo nahisi Klopp ameanza kuwatii washauli wake apate kuondoka vizuri ha ha haaa
  15. Manga ML

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hakika Mimi ni Alonso tu natamani hata Leo atangazwe
  16. Manga ML

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Anachukua hela za bule huyu Wala sio wakumtaja tena kikosini
  17. Manga ML

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Alonso ameonyesha ubora kwa Sasa hao wengine ni mpaka atukatae yeye
  18. Manga ML

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mimi nnacho amini tutakua Tim ya makombe Tim ni mzunguluko wa watu kumtegemea 1 tu silipendi Alivo ondoka Buvak Tim iliyumba mpaka alivyo kuja Lijernder ikakaa sawa
  19. Manga ML

    Usijaribu kununua gari ya mwanamke, utajuta

    Wanaita umeikaanga dah
  20. Manga ML

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Yani unawazo tutarudi huko? Ikiwa hivyo ni Bora kuliko kubaki nae hafu tuishie kutapika tu tupo kaa vifaranga Kila siku labda msimu huu Ni maoni tu lakini
Back
Top Bottom