Search results

  1. M

    Udom na siasa za udini

    hivi UDINI ni nini hasa, tusiwe washabiki pasipotakiwa ushabiki, ebu mtoa mada tupe mtazamo wako juu ya huo UDINI unaomaanisha hapa, isije kuwa panapoonekana waislam wengi ndio udini lakini kinyume chake si udini, ninachofahamu ni kuwa UDINI katika uchaguzi wa wanafunzi UDOM ulionekana kwa zile...
  2. M

    Zitto kugombea urais 2015?

    tutayasikia mengi na ndio kwanza 2011, ikifika 2014 nadhani mambo yotea yatakuwa hadharani wananchi waamue wenyewe! ila ukweli upo palepale hakuna asiyetamani kesho awe juu zaidi ya jana na leo!
  3. M

    UDOM Kwawaka moto; college of informatics and virtual education IMEFUNGWA

    hahahahaaa yaani, kwa mtindo walioanza nao college of info itakuwa ni KUFUNGA TU CHUO CHOTE kila mmoja arudi kwa barua yake, inanikumbusha miakaa ileee ya UDSM,
  4. M

    Wanafunzi 27 wafukuzwa udom..

    mkuu froida, tafuta ukweli kabla ya kuandika, unahakika na hayo uliyaandika?, kinachodaiwa ni laptop na SI computer lab, computer lab ipo ila wanahitaji laptop, kwanza ufahamu faculty requirement haitolewi na chuo, inatoka bodi ya mikopo na kwenda moja kwa moja kwenye akaunti za wanafunzi...
  5. M

    UDOM Kwawaka moto; college of informatics and virtual education IMEFUNGWA

    sheria zaanza kutumika UDOM, college of informatics and virtual education imefungwa rasmi baaada ya wanafunzi wake kuendelea na mgomo kwa zaidi ya siku 3 mfululizo, na hivi sasa wanafunzi wanahaha kutafuta jinsi ya kuondoka ndani ya chuo hicho maana wamepewa masaa matatu mwisho saa kumi ya...
  6. M

    Blogu ya Michuzi na CDM

    Tanzania huru na watanzania huru! kila mmoja anauhuru wakuongea au kuandika analoliona linamfaa, michuzi ametumia haki yake ya msingi,
  7. M

    Wanafunzi 27 wafukuzwa udom..

    "faculty requirement ni terminology tu" ni mkusanyiko wa vitu au vifaa ambavyo mwanafuzi anavihitaji kwa kutegemea na fani aliyonayo, kwa upande wa hawa vijana wao wanadai laptop kama ni moja ya faculty requirement, kwa maana ya kwamba wanahisi laptop ni special kwao na ni lazima wawe nayo, na...
  8. M

    Chadema ya gonga mwamba udom,jitihada za kuitisha mgomo na maandamano yashindikana!

    jamaa wana kazi kweli ya kuzunguka vyuoni kuhamasiha migomo nadhani safari hii wataishia patupu hagomi mtu si wanafunzi wala walimu, tumewashtukia na agenda zao binafsi! wanataka migomo iwe ndio njia njia ya kuingilia ikulu, hagomi mtu tena, hata mgomo wa mwanzo wa social science jamaa alikuja...
  9. M

    Babu wa Loliondo "avuliwa nguo"

    mie bado nakusanya data, nikiridhika nitatoa majibu hapa, so far a bunch of people from my place wameenda na wamerudi, hadi sasa najua walioenda mwanzo kabisa 3 wa sukari hali zao zimekuwa mbaya zaidi, mmoja karudi juzi aliyekuwa ameparalize anarukaruka akisema kuwa ni nafuu kwa maana alikuwa...
  10. M

    Dk Slaa asema Mufti hakufanya utafiti

    mtapost sana na najua reply zote zitakuwa ni juu ya post hii, wala haisumbui, ila ukweli ndio huo mtake msitake najua mtaniandama sana offpoint, udini nk, lakini ni ukweli usiopingika, message delivered
  11. M

    Wahadhiri waeneza siasa za chuki vyuoni

    kujadili siasa kama part ya somo ni tofauti na hichi kinachozungumziwa hapa, ni ukweli usiofichika kuwa wahadhiri wamejiingiza mno katika siasa "ufuasi wa vyama vya siasa" kiasi kwamba hata majukumu ya kazi yao yanakuwa nyuma siasa kwanza kazi baadae, wanavunja sheria za kazi, nadhani ni muafaka...
  12. M

    Dk Slaa asema Mufti hakufanya utafiti

    chadema= JF= ukristo na ndio maana hamuachi kutukana na kubeza lolote linalofanywa na waislam, mmezidi chuki zenu kwa taarifa tu hii nchi sio yenu pekee yenu ni yetu sote na kila mtu ana haki ya kuongea, mnashindwa kabisa kuficha yaliyomo katika nafsi zenu chuki, chuki chuki, tukisema chadema...
  13. M

    Unawafahamu warangi?

    vamaka kumbaare mumware huu?, nikimare kabisa haya mamaka ni kuyareka vii! mukokoyo wache kumutubirra! vasina ramana tuku saa jingi, vosumbula sana vahinja va kirangi, koo vasitirwe vakareta masimu yavo yasina mana tuku, kuboha twaboha kweri na tokiheshimu lakini mamaka kira siku yamware...
  14. M

    No control over Religious radio stations over hate speeches

    LIlikuwepo kabla ya JK, na litaendelea kuwepo hata baada ya JK kwa uwezo wa allah S.w mwingi wa rehema anayeipa nguvu dini yake! naona linawaumiza kichwa, tunashukuru kwa kulipandisha chati na kuliongezea idadi ya wasomaji
  15. M

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    ANALYSIS hii uifanye kwa vyombo vyote vya habari vya kidini utaona kila chombo kinatishia amani, kwa kuwa itikadi yako si yangu na yangu si yako, kwahiyo kama umeyasikia na kuaya-analize hayo ni kwa kuwa yapo kinyume na itikadi yako achana nayo, fungua na sikiliza yale yanayokuhusu ili ufurahike...
  16. M

    Shabani mlacha aondolewe udom

    wakati utafika MLACHA atatoka kama alivyoingia, naye analijua hilo, wala hategemei kuwa ataishi katika post hiyo milele, atakuja PFA mwingine na yeye mlacha atabaki kuwa mlacha, na waosha vinywa watatafuta mengine ya kuongea! kwa nchi ya tanzania ambayo kila mtu anakwamisha uwajibika wa mwenzie...
  17. M

    Jamani hizi pose za Pinda huwa za ukweli au unafiki

    hahahaaa saa GOLD mtoto wa mkulima!! ama kweli danganya toto hazitoisha kwa wadanganyika
  18. M

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    bora uelewe hivyohivyo kuwa waislam hawajaenda au hawaendi shule! hao wakristo walioenda shule wako wapi au ndio ufisadi waliosomea!
  19. M

    No control over Religious radio stations over hate speeches

    huo ndio uhuru wa kuongea mkuu, yapo magazeti yanayoandika majungu, yapo yanaandika uislam kila kukicha, kama unawaona hawakufai chagua hayo achana na hilo ANNUR, wenzio twalipenda, na twalielewa!HATUDANGANYIKI KAMWE, tutalidumisha na kuhakikisha linaendelea! HIZO CRAP ZAKO NDIO POINT KWETU
Back
Top Bottom