Search results

  1. Mbuna

    Msaada kwa hili linalonitesa

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina mke mmoja ambaye ni mjamzito, Tatizo langu maisha yangu yamekuwa na mikosi au kivingine mazingaumbwe, kila napofanikiwa kidogo napata matatizo makubwa sana kama kutokewa na nguvu za giza ndotoni au hata nikiwa kwenye pilikapilika. Juzi kati Rafiki...
  2. Mbuna

    Wazee kwa vijana tubadilike

    Inauma sana kura yako unapoipoteza kwa ajili ya Kanga, fulana au kofia....Ewe rafiki yangu uliye na wazazi nyumbani wakati ni huu wa kuwabadilisha kifikra kwani hivyo vitu haviwezi kukusaidia miaka mitano ila kura yako inaweza leta mabadiliko ya kizazi hadi kizazi
  3. Mbuna

    Bunge kesho kama kawaida

    Kwa mujibu wa Mbunge Zitto Kabwe kwenye akaunti yake ya twitter ni kuwa Bunge linaendelea kesho saa tatu asubuhi....
  4. Mbuna

    Hii ya wamachinga kunyanyaswa na manispaa ya jiji ni haki?

    Nimepita sehemu mbalimbali za jiji la Dar es saalam na kujionea mateso wanayopata wamachinga. Niliweza kuongea na wafanyabiashara wadogo wadogo wawili watatu, kwa kweli machozi yalinitoka kwa jinsi mgambo wa jiji walivyoharibu mali zao na nyingine kuwatapeli kabisa, mbaya zaidi wafanyabiashara...
  5. Mbuna

    Naweza kukopeshwa mkopo benki

    kwa sasa nipo field mbeya nasoma tanga chuo kkuu cha eckernforde! nina kiprot kama heka 1 je naweza enda bank na kukopa ili nifungue biashara? hati milik nnayo
  6. Mbuna

    Je naweza kukopeshwa benki

    kwa sasa nipo field mbeya nasoma tanga chuo kkuu cha eckernforde! nina kiprot kama heka 1 je naweza enda bank na kukopa ili nifungue biashara? hati milik nnayo
  7. Mbuna

    Msaada kwa anayejua jinsi ya kuchanganya chakula cha kuku wa nyama

    Ndugu wanajamvi nimekuja kwenu naombeni msaada wa jinsi ya kuchanganya chakula cha kuku wa nyama kwani napata shida sana kutoka kwa wauzaji kutokana na bei zao kuwa juu mara kwa mara.
  8. Mbuna

    Dogo ana uzalendo wa kweli na timu ya taifa

    Nimeshudia dogo wisman mwenye miaka 23 aliyetoka mbeya kwa miguu hadi hapa jijini dsm tokea siku ya jumatano kwa ajili ya kwenda kutazama mechi ya taifa stars, kama ni uzalendo dogo kazidi kwani kwa nilivyomshuhudia huwezi amini kama ndio yeye katokea dar hadi hapa
  9. Mbuna

    Maisha siyo mchezo

    Maisha si ya kukurupukia ukayaona madogo kama wachezaji wa ARSENAL,ukataka kuyapata kwa kupendelewa kama MAN U,usitake kuyapata kwa nguvu kama wachezaji wa CHELSEA,usiyatafute kwa kushtukiza kama mashambulizi ya REAL MADRID,usiyatafute kwa kutumia gharama kubwa bila mafanikio kama MAN...
  10. Mbuna

    Nyumba inauzwa

    Nyumba ipo Kinondoni Manyanya ina hati kila kitu, ipo sehemu mzuri kwa biashara kwa hiyo unaweza kubomoa na kutengeneza ghorofa ambapo ukaweka hoteli, benk, bar nk. Bei Tsh 270ml
  11. Mbuna

    Rafiki yangu anatembea na demu aliyekuwa malaya kijijini ila nashindwa kumweleza

    Kuna rafiki yangu tunapendana sana tokea tukiwa wadogo mpaka hivi sasa yaani ndio rafiki wa ukweli, ila mwaka jana tuliporudi likizo nyumbani kwetu vijijini baada ya kula kula sikukuu ya krismasi na mwakampya tulirudi zetu mjini ila kuhusu mahusiano nilikuwa najua anatoka na Classment wetu na...
  12. Mbuna

    Hatimaye nimejiunga na mtandao mkubwa wa jamii forums

    Nimefurahi sana leo kuweza kujiunga jamii forums kwani ni siku nyingi sana nilitamani kuwa member wa jamii forum na leo ndoto yangu imetimia
Back
Top Bottom