Search results

  1. Phrasal Verbs

    Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

    tulicheza michezo 2. na ulinifunga kwakua network niliko inasumbua
  2. Phrasal Verbs

    Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

    nani ambaye hajakufunga
  3. Phrasal Verbs

    Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

    wengi hatulijui, wengi tumezoea kucheza lambele tupu
  4. Phrasal Verbs

    Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

    natumia simu ya batani (kitochi 4g) tigo. Huku niliko tigo aipatikani kwahiyo natumia laini ya halotel ambayo network inasoma E (edge au 2g) Mimi pia naona kama wapinzani wangu ndo wanafikilia sana lakini kumbe ni network ya vijijini na simu ambayo siyo tachi. kwahiyo uniwie radhi mkuu...
  5. Phrasal Verbs

    Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

    network ni shida huku niliko. Ila kiukweli upo fiti
  6. Phrasal Verbs

    Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

    utakuta table operator analala na dk yake moja. unatumia id gani?
  7. Phrasal Verbs

    Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

    njoo nikukague
  8. Phrasal Verbs

    Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

    njoo ucheze na mimi id yangu phrasalverbs
  9. Phrasal Verbs

    Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

    ukiwa unaangalia game za wengine player one anakuwa ni waupande gani (wa juu au wachini)?
  10. Phrasal Verbs

    Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

    playok. ni platform mzuri kwa sisi wanamchezo wa draft. waliowengi mule wanaujua kwelikweli huu mchezo ila wengine ni janjajanja tu. makosa ya kiufundi ya platform hii ni kile kitendo cha kumpa ushindi table operator kwakuwa muda aliouseti yeye ukiisha. utakuta mtu anaweka dk 1 mchezo upokati...
  11. Phrasal Verbs

    Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

    tangia nianze kucheza nimeruhusu kufungwa mara 1 tu
  12. Phrasal Verbs

    Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

    phrasalverbs. wenzako nawafunga mpaka wananikimbia
  13. Phrasal Verbs

    Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

    kama kuna anayejiweza aje playok nimkague. id phrasalverbs
  14. Phrasal Verbs

    Chipset Zip za MTK ni bora kuliko za SD?

    Cha asubuhi We google uone majibu yake. Mwaka huu sd imepitwa na mtk
  15. Phrasal Verbs

    Chipset Zip za MTK ni bora kuliko za SD?

    Kuna hii inaitwa mediatek dimensity 9000 ni chip yenye ubora zaidi ya chip zote za qualcomm snapdragon (ukijumuisha sd 8 gen 1). Hii chip imezidiwa kidogo na apple a15 bionic tu.
  16. Phrasal Verbs

    Snapdragon 8 Gen 1

    Naona hii imepitwa na mediatek
  17. Phrasal Verbs

    Kampuni ya MediaTek imetoa chip mpya

    Naona iko juu ya sd 1 gen 8
Back
Top Bottom