Mmesoma mkataba wa Hiyo Bandari ya Bagamoyo au mnapayuka tu hapa kama machizi?
kuna vipengele vya huo mkataba ni vya hovyo kabisa....
kimoja kinasema kuwa..." Bandari ya Dar. haitaendelezwa wala kuboreshwa wakati Bandari ya Bagamoyo ikiwa inaoperate"...
sasa vipengele kama hivo mnajua maana...
Hata msemeje, JK, hakufaa kuwa Rais, ukiniuliza mimi JK. kafanya nini ndani ya miaka 10 yake nitakuonesha UDOM tu na Rock City Mall ya Mwanza, sioni kitu kingine...
JK. alifanya vitu vyepesi mno, na muda mwingi akautumia ughaibuni, acheni ujinga...
Magufuli ndiye Rais, na namkubali kupita...
Pumbavu zenu, hata the new york times lingeandika, hatutishwi, potelea mbali, bado nipo bega kwa bega na Mh. Rais, hata kama tutashindwa vita hii ya kiuchumi sawa tu, cha msingi moyo wangu upo pamoja na nchi yangu Tanzania.
Tanzania bila ubabe hakuna maendeleo, namkubali sana JPM, tulizoea kubembelezana na kuoneana haya, enzi hizo kwishinei
Ndio maana sikuwahi kumkubali JK tangu 2005 hadi sasa.
Naona Tanzania mpya ikija kwa kasi, ni wenye akili timamu tu ndio tunaliona hiloo
Kwa hiyo unalinganisha hivyo vi-bilioni 4 vya TV na Trilioni 425 za ACACIA!!!????
mbona hujiulizi kuwa IPP media anadaiwa Bilioni 16 na TRA na AZAM anadaiwa Bilioni 40?
Nashauri pia kuwa TISS na vyombo vya dola viwe macho kuanzia sasa,
Idara ya habari maelezo iwaite wawakilishi wa vyombo vya nje waliopo nchini na wawakumbushe kufanya kazi kwa weledi na kwamba hatutasita kuwatimua nchini au kuwafungia kufanya shughuli zao nchini.
Pia, Wale watakaokuwa...
Watanzania wote pamoja na media zote huu ndio wakati wa kuungana kama Taifa.
atakayekwenda kinyume na Uzalendo apigwe risasi tu,
Vile vile, napendekeza TRA wajiandae kwenda kufunga mageti, ofisi na mgodi wote wa ACACIA
Safi sana, wanatishia tu, baada ya muda watarudi wenyewe kuomba kufanya investment, uzuri, Rais Magufuli anayo miaka 8 zaidi madarakani hivyo ni kipindi kirefu sana, hawawezi kukaa muda wote huo, na ukumbuke kuwa China naye anataka kuwekeza pamoja na Russia, hivyo kwa kipindi kifupi sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.