Search results

  1. N

    Mchoraji wa picha hii ya Raisi Samia Suluhu Hassan apewe alama ngapi?

    100% Excellent! Tupe number yake, tumpe kazi huyu kijana. Ndaga
  2. N

    Rais wetu Samia acha hotuba za kujitetea juu ya jinsia yako, wewe ni Rais siyo Rais mwanamke

    Kwani SSH anaendeleaa Kuzaa, si kashafikia ukomo, over 45! jamani.
  3. N

    Rais wetu Samia acha hotuba za kujitetea juu ya jinsia yako, wewe ni Rais siyo Rais mwanamke

    Safi Kabisa ! Yeye achape kazi na ataproof wrong at the end of her tenure. Hii anayoisemasema anajishusha mwenyewe. SSH, My President ikiwa utapitia hapa leo, Tafadhali usirudie zile kauli za kujishusha na kujilinganisha, Fanya kazi na Kazi itakuinua yenyewe. Ndaga lelo, Kyala Nnyaafu.
  4. N

    Tanzia: Mchunaji Morris Cerullo wa Marekani, afariki dunia akiwa na miaka 88

    Naam..Never compromised with prosperity Gospel!
  5. N

    David Kafulila: Natofautiana na Zitto kuhusu ripoti za CAG na mwenendo wa uchumi

    Ameonyesha anasoma! Hapapasipapasi!
  6. N

    Je, ni busara kujenga nyumba kwa milioni 150 kisha kukusanya kodi laki 6 kwa mwezi?

    Ngwanakilala, Nikushukuru mtoa Mada, Uchambuzi mzuri, Kutokuwa na taarifa na uelewa wa nini ufanye na wapi ufanye imeathiri wengi, Nina imani hii tafakuri uliyoianzisha itatuletea wabobezi wa mambo ya Business Planning, Finance Management na Risk management ili angalau watu wajue akiwa na mtaji...
  7. N

    Je, wajua sababu ya wazungu wa Afrika Kusini kupewa mashamba Tanzania?

    Naam, Ni kweli maana Fredrick De Clerk ni kati ya wanafunzi waliosoma Iyunga Secondary School ( Zamani), ambayo ilikuwa shule pekee ambayo watoto wa Kizungu kabla ya Uhuru walisoma pale, Ukiangalia na miundombinu iliyokuwepo pale shuleni utaona upekee wake...
  8. N

    Eti usipotoa fungu la 10 ni mwizi? Why?

    (Hes.18:25-26) …Ni Amri kwa Walawi (Watumishi wa Madhabahu au Kanisani) kwamba …Zaka watakayopokea toka kwa waumini wao nao..watoe Zaka yake….
  9. N

    Eti usipotoa fungu la 10 ni mwizi? Why?

    Mlawi kwa sasa ni wale wanaotumika Kanisani, ukichukulia hawana kazi nyingine ya kufanya zaidi ya kutumika Kanisani, hao wanastahili wote kupewa sadaka ya ZAKA..
  10. N

    Eti usipotoa fungu la 10 ni mwizi? Why?

    Siyo feki ila anayehubiri anaweza kuwa feki usijumuishe hivyo, Utakuwa unakwenda kinyume na Biblia, Sema kuna Makanjanja wa Neno la Mungu, hao wasituondolee ukweli wa Maandiko..
  11. N

    Eti usipotoa fungu la 10 ni mwizi? Why?

    Wakati wa Torati zaka ilikuwa Sheria, Wakati wa Agano Jipya kutoa ni Uchaji...ila haizuiii kutumia sheria ya Torati maana haina shida, Kinachosumbua wengi ni nani anastahili kupewa Zaka, Jibu liko wazi katika Biblia, Ni mhitaji mfano: Yatima, wajane, Mgeni katika malango yako ambaye amefika bila...
  12. N

    Eti usipotoa fungu la 10 ni mwizi? Why?

    Zaka ni 150,000 peleka kwa Yatima, Wajane, Wageni wajao pasipo taarifa, Kanisani kwako,na Mchungaji wako. Peleka kwa hao utabarikiwa tu, Ni uchaji wako siyo sheria!! Unaweza kutoa zaidi ya hapo ukipenda kutoa..
  13. N

    Wizi wa Bank ya CRDB Part II

    CRDB, Afisa Mahusiano wa CRDB/ Customer Manager, Hakikisha unachukua hizo hoja na kuziwasilisha kwenye vikao vya Management, myafanyie kazi na kuonyesha kujali hasa mnapopewa dukuduku kama hizi, hata kama zingine siyo sawa lakini kiujumla kuna wachangiaji wameonyesha kuumizwa na makato yenu...
  14. N

    Mtoto wa kiume wa mwl. Christopher Mwakasege afariki dunia hospitali ya Agha Khan

    James Comey, Great...What a wonderful citing... Paulo alikufa kifo cha Kinyama...na alimtumikia Mungu kwa Kiwango Kikubwa sana, Inasadikika, He is a Powerful Peron after Jesus, Lakini walimkata Kichwa hawa akina Nero..huko Roma... Mbere...Unaona hiyo nyongeza ya James Comey...Kwahiyo si kwamba...
  15. N

    Mtoto wa kiume wa mwl. Christopher Mwakasege afariki dunia hospitali ya Agha Khan

    Nimecheka kwa namna Moyo wako unavyotafuta sababu za Kukata tamaa, umeziorodhesha na zina ukweli wa kutokea na zina mashiko..Lakini Mungu bado alikuwepo wakati ndugu zetu hao wanakufa kwa mateso, haimuondolea Omnipresent yake... Kikubwa Usikate tamaa, Mungu yupo kukusaidia, Amini tu... Ndaga Tata>
Back
Top Bottom