Search results

  1. T

    Darasa kwa Kubenea na Wabunge wengine

    Makonda ... awe Kiranja Mkuu Wa Kukimbiza Mwenge wa Uhuru toka DSM hadi Njombe. Kazi ya Ukuu Wa Wilaya haimfai.
  2. T

    Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    How many threads of this types are we supposed to have .. ..!!! Moderators please respond to this ... !!
  3. T

    Rais Magufuli atawaathiri kisaikolojia watendaji wake asipobadilika!

    Ni Ujasiri wa Ubinadamu na Upendo wa Taifa letu peke yake unaweza kumsukuma mtu kuja na hoja kama hizi. Huu ndio Utanzania na Uzalendo kamili. Mungu awabariki kwa hoja zenu pale atakapokuwa anaibariki Tanzania mpya, imara na iliyonyooka china ya uongozi uliotukuka kikazi wa JPM.
  4. T

    Rais Magufuli atawaathiri kisaikolojia watendaji wake asipobadilika!

    Mheshimiwa unakosea sana. Tanzania na mifumo yake yote ya Uongozi ni kama "spoiled child". Kwa sasa haijiwezi lazima ipitie nguvu na mamlaka fulani kuipasha na kuinyoosha. The only initial way ya kuanza kufanya corrections kwake ni masahihisho yeliyobebwa na NGUVU NA MALKA yenye nia nzuri...
  5. T

    Hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili yapokea vitanda na magodoro

    Soma hapa https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/976044-hospitali-kuu-ya-taifa-muhimbili-yapokea-vitanda-na-magodoro.html
  6. T

    Hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili yapokea vitanda na magodoro

    Uzi ueshafika mbali sana huu https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/976044-hospitali-kuu-ya-taifa-muhimbili-yapokea-vitanda-na-magodoro.html
  7. T

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    FUTA Msalaba kanisani. Futa Mwezi msikiti. hayo yakikamilika futa mwenge.:lock1:
  8. T

    Hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili yapokea vitanda na magodoro

    Moderator tafadhali futilia mabali thread hii ..
  9. T

    Hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili yapokea vitanda na magodoro

    Kitucha kujifunza hapa sio hicho kila mtu anachokitolea maelezo. SOMO ni kuwa Taifa hili Lina uwezo mkubwa wa kujitegemea na kufanya mambo makubwa sana ya kimaendeleo bila ya msaada wowote toka nje.
  10. T

    Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

    Sikubaliani na namna JK anavofanya mambo mengi ndani na nje ya chama lakini nasema; Huyo Kagame afunge mdomo wake na akae kimya. Keep busy with your country .. Wachana na Sisi You Psychic Vampire.
  11. T

    Mateka wa ISIS wagoma kujiunga na uislamu na waita jina la Yesu huku wakichinjwa

    Wewe ndio umeongea jambo la msingi. Its useless to compromise even go negotiate with a core terrorist like ISIS ... ! Chagua kijasiri kabisa Kifo ndani ya Yesu kwani utakuwa hujafa ndani ya kifo hicho. Kifo isn't that real inategemeana na settings zako za kiroho.
  12. T

    Mbunge bibi miaka 60, aolewa na kijana wa miaka 26

    Hii taaerifa muhimu sana. Dogo ni mgonjwa wa kisaikolojia. Yatima huyu. Mapenzi ya Mama aliyoyakosa utotoni ... anafanya ..compensation .. ukubwani ... Stop the drama akatibiwe. AKATIBIWE ....
  13. T

    Program Note: Operesheni Funguka... Oktoba 5. Mabadiliko Hayabinafsishwi!

    Dada P unaona kuwa hata wewe hujachanganya watu kweli? Kwanini tuachane na Prezident?:glasses-nerdy:
  14. T

    Program Note: Operesheni Funguka... Oktoba 5. Mabadiliko Hayabinafsishwi!

    Very sorry ; UKAWA are shining now and thereafter:redfaces: BUT CCM are wining when all are sett!!
  15. T

    Maswali na majibu kuhusu Ndege inavyofanya kazi

    iN THAT CASE .. i lovE yoU .. Lakini iishie online .:A S 11:
  16. T

    Maswali na majibu kuhusu Ndege inavyofanya kazi

    Ni kweli kuwa inaonekana hivo lakini sio HAKIKA ... !
  17. T

    Ushuhuda wa ukweli kuhusu meditation

    Nipe matokeo ...
  18. T

    Ushuhuda wa ukweli kuhusu meditation

    Fanya hii itatatua matatizo yako mengi kama si yote Antidote For All - Free 7 Minute Guided Meditation
  19. T

    Kufunguliwa na kuangaziwa nuru ya kweli (Spirit Science)

    Toa thread yako ya hovyo hapa. Mtu anakubaka wiki nzima kapoteza Uungu na katawaliwa na Shetani . Unamlinganidha na Mtu mwenye Uungu na maadili ya kibinadamu anakupigania na kukuokoa ... Unawaona wote sawa. Unamuona Mungu na Shetani wote sawa. Kama wewe sio Shetani Wewe ni nani? Jishtukie...
Back
Top Bottom