Search results

  1. J

    UDSM hakuna dangulo la makahaba

    Jamani kwa mara ya kwanza naomba niweke mada. Kuna mwana jf m1 anaitwa BASIASI siku ya tar 8 july 2013 alitoa post inayohusu BEI ZA MAKAHABA KUPANDA DAR na akataja moja ya dangulo la makahaba lipo UDSM HALL 3, kiukweli mimi ni mwanafunzi na ninaishi hapa huu mwaka wa tatu sijawahi ona iko kitu...
  2. J

    Walijiuzulu au walifukuzwa!

    swala la kujiuzulu linakuja pasipo shinikizo la mtu kwa hiari ila MB kagasheki amejiuzuru kwa shinikizo la kikazo cha dharura kabla ya PM kutangaza uamuzi wa raisi kimsingi alitaka sifa walifukuzwa na Chama si kujiuzuru
  3. J

    Madawa ya Kulevya: Matumla na Kaniki wakamatwa!

    tangu walipokuwa wakipigana ndondi za ridhaa hadi walipohamia kwenye ndondi za kulipwa. Ni familia ya mzee Ally Matumla, inayoundwa na watoto zaidi ya 10, wakiwemo wawili wa kike, lakini ni wachache walioweza kuchomoza vyema katika mchezo huo, wakifuata nyayo za kaka yao, Rashid Matumla...
  4. J

    Madawa ya Kulevya: Matumla na Kaniki wakamatwa!

    acheni fujo huyu jamaa sio MKWANDA anaitwa MBWANA MATUMLA tunaishi nae mtaani na sasas hayupo takribani siku 16 kwao ni bondia nahisi wamekosea kuandika vizuri mahofisa wa Ethiopia, familia ya kuna matumla haina Mkwanda
  5. J

    "It wasnt me!" - A true story!

    cha maana cjakiona
  6. J

    Ni yupi MKE anayefaa: Mfanyakazi au asiye na kazi (golikipa)?

    elimika jamaa maisha yamebadilika si kama zamani ukitaka kuoa chagua mwanamke mwenye maendeleo salary ni moja ya dalili za maendeleo
Back
Top Bottom