Search results

  1. Matty96

    Marafiki wa kusafiri nao (Travelling Partners)

    Nimeiona hii thread leo na imenipa jambo jipya kichwanj.. Acha nianze kuweka akiba next year nianze kula route
  2. Matty96

    Siku uliyoamua kununua kahaba uliwaza nini na ulijisikiaje baada ya uamuzi huo?

    Huu uzi umenivuta aisee.. Nna experience nyingi sana za kunnua malaya.. Ngoja nipange uandishi afu nije nielezee mara zote nilizonnua kipi kilinivuta na experience yangu nzima na malaya. Ila kiufupi tu mara ya kwanza nannua malaya ilkuwa just out of curiosity! NITARUDI Sent using Jamii Forums...
  3. Matty96

    Soma hapa kabla hujaagiza gari, huenda ikakufaa

    Mawasiliano yao tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Matty96

    Ipi nzuri kwenye rough road kati ya gari aina ya Mitsubishi Outlinder na Subaru Forester za mwaka 2009

    Kwa suala la stability I can't say kwa sababu siijui vizuri mitsubishi.. Ila kwa Durability, Long safari pamoja na kuuza huko mbeleni Forester inachukua nafasi ya juu. Japo Forester yenye turbo na cc 2500 ina kula zaidi kuliko mitsubishi ambayo pia ina cc almost 2500 pia. Ila I would...
  5. Matty96

    Naomba ushauri katika kuagiza gari. Je, nitumie mitandao mikubwa au niende kwa dealers

    Mkuu naweza kukufata DM kama hutojali? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Matty96

    Car4Sale BMW X3 E83 X-DRIVE

    Still available? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Matty96

    Watu wana hela sana!!!

    Na mnapima watu kuwa na hela kwa kunnua ticket ya laki! Kwa usiku mzima!! Kweli nchi maskini sana bado Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Matty96

    Kitu gani unakipenda sana kwa mpenzi wako

    Hanichoki in every situation Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Matty96

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mkuu naomba unishauri kati ya BMW 3 series 318 au 320 zote za 2011 bora ipi? Na zote kwa pamoja ukilinganisha na AUDI A4 ya 2010? Kwa mazingira yetu ntaishi nayo na service zake vipi? Pia vipi kuhusu gari kutoka Singapore unaweza kushauri mtu kununua kutokea huko? Naomba uzoefu wako. Sent...
  10. Matty96

    Magari kutoka Singapore

    Gharama ya kufanya inspection hapa bongo ni kiasi gani kwa sedan car? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Matty96

    Naomba kufahamu wakala mzuri wa kuagiza gari kutoka Nje

    Nikiagiza gari kutoka Singapore kuna cost ya ukaguzi huku nchini tena? Ni kiasi gani kama ipo? KIMOMWEMOTORS, Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Matty96

    Magari kutoka Singapore

    Msaada kwa anayefahamu utaratibu mzuri wa kuingiza magari kutoka Singapore. Maana nilifahamishwa kwamba yenyewe yakiingia nchini yanakuwa hayana certificate of inspection na hivyo inabidi kupeleka NIT likakaguliwe. Kwa anayejua costs za ukaguzi NIT na taratibu zingine na kama ni lazima kwa gari...
  13. Matty96

    Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Crown ya kuanzia 2008.. New shape ya mkononi isiyovuka 17m inapatikana Boss? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Matty96

    Msaada wa Haraka Juu ya Subaru Legacy

    Nadhani Battery itakuwa ni tatizo.. basi tukutane kwa Mariam Biriani[emoji23]
  15. Matty96

    Msaada wa Haraka Juu ya Subaru Legacy

    Asante kwa ushauri.. itabidi nitafute battery nyingine hii hali ikijirudia
  16. Matty96

    Msaada wa Haraka Juu ya Subaru Legacy

    Ni dry ndio mkuu haitumii maji
  17. Matty96

    Msaada wa Haraka Juu ya Subaru Legacy

    Nmeiboost tu imekubali ila bado sijajua sababu ya battery ku drain
  18. Matty96

    Msaada wa Haraka Juu ya Subaru Legacy

    Wakubwa nmefanikisha kuwasha.. naona battery ilkuwa ni tatizo ila sijajua kwanini maana amna kitu niliacha on kwenye gari
  19. Matty96

    Msaada wa Haraka Juu ya Subaru Legacy

    Hapa hali ndo imekuwa mbaya zaidi wakuu.. saiv ndo haiwaki kabisa na imefifia taa za dashboard zote hazina mwanga hata button ya push to start haiwaki
Back
Top Bottom