Hivi haya matumizi ya mabomu na risasi mbona yamekuwa rejareja kiasi hiki. Afu watu wanashangilia humu ndani! Yana madhara yake jamani haya matumizi ya nguvu kupindukia!
Tatizo watanzania mnapenda majibu rahisi kwa maswali magumu.
Kwani hayo maji mtera yameanza leo kukauka? Sasa ilishindikana nini kutafuta suluhisho la kudumu muda wote huo? Kila siku dharura?
Huo mkataba mnaushabikia mnajua una nini?
Jamani hii nchi inachosha!
Ila cha moto tutakiona!
Nilivyosikia maelezo kutoka jeshini, ni kwamba baada ya askari kuona gala namba 5 linaungua wakataarifiana wakatako nje ya kambi. Baada ya kumalizika tukio kuingia ndani ndo wakagungua magala mengine yote 23 yaliungua nayo.
My Take: Hawa sio watu wa kulinda nchi yetu hata siku moja. Instead ya...
Hivi kwanini Dar es Salaam imezungukwa na kambi nyingi kiasi hiki na huku ina wakazi wengi sana ambao wengi wao wanaishi na hizi kambi? Ukisema uwahamishe wakazi kutoka karibu na kambi naona Dar itakuwa military city. For real do we really need all these bases? Mi naona zenyewe ndo ziondoke.
Waafrika mnashangaza sana. Hizo dini zenyewe mnazo gombania mmeletewa na wageni. Leo hii ndo mnataka zitutenganishe.
Huku tunakoenda siko. Kuna watu wanatoa maneno yanasikitisha sana.
Tumieni busara!
I am surprised that you guys are surprised with his behavior.
Kipindi cha kwanza kuna muda tuliwekwa kwenye auto pilot for a long time, sasa kipindi hiki cha lala salama i was sure this guy will be worse than before.
Mliambiwa msichague maafa.
Sijui kwanini watu mnalalamika honestly, ni...
Mhhhh! I am simply out of words! Hivi Ni Chadema walio imply kuna udhalimu au watanzania wenyewe walijionea? Kazi kweli kweli kwenye hili jukwaa la siasa! Nachoka sana na hizi siasa za Bongo especially humu ndani! God bless us all with Knowledge!
Kila kitu kina nafasi yake! Mi naona Mnyika hapa anataka kupalilia culture ya kujitolea! Kama Watanzania tungekuwa tunachangia kwenye maendeleo badala ya HARUSI aisee tungekuwa mbali!
Kwenye contracts, two parties decide what happens in case of disputes. Now the use of ICC indicate that TANESCO and DOWANS agreed to use it. And by the way sometimes arbitration decisions maybe final and binding, it all depends on what they agreed in their contract.
Sasa kama hiyo contract...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.