Search results

  1. N

    SMZ yazidi kuubomoa Muungano yataka bara walipe kodi ya ardhi

    Muungano unatia kichefuchefu.....kwa nini Kila nchi isende kivyake??? Wananchi wengi wameishaonyesha wazi kukinaishwa na Muungano......ni wakati sasa kila m2 afe kivyake....kila m2 achukue kilicho chake....
  2. N

    Kakobe mtumishi wa mungu au tapeli;waumini kuandikisha malizao ,mishahara,

    Mtaumizwa sana.KAKOBE et. al, wamegeuza dini kuwa NGO na vifungu vya biblia vimegeuka silaha za kuangamiza akili za kufikiri kwa baadhi ya Watanzania (wawaaminio) na hivyo kuwakamua pesa zao na kuwageuza maskini. Kisa eti wanapewa matumaini eti wanakuwa matajiri wa roho...... Wizi...
  3. N

    Wasabato masalia walamba mwaka mmoja jela

    Wanyampala wa jera walikuwa wanawasubiri kwa hamu wafike huko ili wajichukulie....kwani wanaamini kwamba hao Wasbato bado wako fresh...hawajavurugwa.....
  4. N

    Hatimaye Subhash Patel amvaa Reginald Mengi

    Mie hasira zinanipanda sana kuona hawa mafisadi papa wa kiasia wanakoroma ndani ya nchi yetu....yaaani..wee acha tu....Hawa jamaa hata Idd Amini aliona kwamba wanadhoofisha uchumi wa nchi yake na kuamua kuwafukuzia mbali....tatizo lao wakichuma nchini kwa ufisadi ..wanahamishia mali zao nje ya...
  5. N

    Uchaguzi Busanda: Majigambo, Uteuzi na Kampeni kuelekea uchaguzi

    Mtoto anapatika kwa mbegu (shahawa) za mwanamke na mwanaume. Ndio maana imewekwa sheria kwamba iwapo mbegu hizo zina uraia tofauti, mtoto (tunda la mbegu hizo) anatakiwa atangaze rasmi kuchagua kwa dominated na mbegu za mama au baba hasa pale kishafikisha umri wa akili timamu wa miaka 18...
  6. N

    Mwitikio wa Serikali na Wengine juu ya Mengi kutaja mafisadi!

    Mengi amefikisha ujumbe. Amefanya kile ambacho hata Viongozi wa nchi ameshindwa kukifanya, kuwataja mafisadi papa kwa majina. Hao wengine wanaosha vinywa tu. Inafahamika kwamba RA amegharamia wabunge wengi wa CCM kuingia bungeni..hivyo hao wote wako ndani ya himaya yake, wamezibwa midomo...
  7. N

    msaada huyu naye ana mapenzi au...

    Huyo brazameni mharibifu...siku nikikutana nae lazima nimtwike ndoo za kutosha...anataka kumbanjua mke wa m2...yeye akibanjuliwa mke wake atafurahi????....
  8. N

    USD 1200 kwa kila Mzanzibari!

    Ni kweli kwamba kiuchumi Wazanzibar wanafaidi Muungano kuliko Wabara. Kila bajeti ya serikali...lazima fungu kubwa litengwe kwa ajili ya kuendesha serikali ya Tanzania visiwani. Tunachofaidi sisi wabara in Usalama tu. Tunalipa hela nyingi sana kwa ajili ya kununua usalama na amani kwa Tanzania...
  9. N

    Natafuta Rafiki, Mchumba

    Wasiliana na Ms. Rambaramba (078725****). Ana specification zote unazohitaji hata na ziada. Ni mvumilivu sana wa shida, kiasi kwamba kwa mume wa kwanza alivumilia vipigo hadi akang'olewa meno 27. Hivi sasa ana meno 5 tu mdomoni. Hivyo ukimwoa hutakuwa na bajeti ya kununua nyama. Warning: Ni...
  10. N

    Mwitikio wa Serikali na Wengine juu ya Mengi kutaja mafisadi!

    Mawazo ya lipumba ni chakavu....nashangaa hata wana CUF wanamuamini nini.....Lipumba kwa nafasi yake ilibidi awe mstari wa mbele kulaani wanyonya uchumi wetu..a.k.a mafisadi...lakini yeye amekuwa kiongozi wa majukwaani..anafrahi kushikana mikono na viongozi mbalimbali wanaotembelea nchi yetu....
  11. N

    Nashauri wote msome hii Thread, especially wanaume.

    This is a very shocking story but aimed at conveying the message to equally the same for both men and women. It seems that Zawadi went through horrible and cruel moments...but I still think if there is anyone nearby her, he/she need to advise her to change that vegeance path she have decided to...
  12. N

    Yusuf Manji amshitaki Reginald Mengi, adai fidia Sh1/-

    Manji amekuwa hakimu kutoa hukumu hiyo??? Au ukienda mahakamani kushitaki unaweza kuamua ni hukumu ipi itolewe??? Najua unaweza kudai fidia ukiithamanisha a utu wako...lakini suala la kuombwa radhi iwe radionio.....kwenye TV au ukumbi wa disco....hilo haliko mikononi mwa mshitaki....ni vizuri...
  13. N

    Fast Tracking EAC Political Federation - a Liability?

    Personally I don't favor the so called EAC animal. It's better for Tanzania to step aside and let the rest 4 counrties (, Uganda, Rwanda & Burundi)Kenya rush in the so called EAC. I also don't agree with the notion that We Tanzanians are poor compared to other countries in EAC. Tanzania as a...
  14. N

    Mawakili Kutetea Mafisadi na Uzalendo

    Wote ni walewale. Hakuna wa kumnyoshea kidole mwenzake.
Back
Top Bottom