Search results

  1. L

    Panya road hatari maarufu Mungu Moshi waibuka halmashauri ya Mlimba-Morogoro

    Maisha na mali ya wananchi wa halmashauri ya Mlimba kata ya Mngeta na Mchombe yako hatarini kutokana na kuimbuka kwa kundi hatari la panya road maarufu kwa jina la Mungu moshi yaani bangi ndiyo Mungu wao. Vijana hawa kati ya miaka 15 mpaka 25 wanajihusisha na uporaji kwa kutumia mapanga, visu na...
  2. L

    Mngeta, Mlimba: Wananchi walioshindwa kununua mita za maji kutozwa 10,000 kwa mwezi kuanzia Julai, 2021

    Kumekuwa na ukandamizaji, unyanyasaji na upigaji mkubwa sana wa pesa katika kata za mchombe na Mngeta kupitia mradi wa maji Lukicha! Pesa ya mfadhili pamoja na 10m alotoa Mh. Lwakate -marehemu imetumika kujenga katangi kadogo hata 5m hazifiki! Mbali ya upigaji huu mkubwa wa ujenzi wa tangi la...
  3. L

    Uchaguzi 2020 Wasimamizi wakuu wa vituo vingi vya kupigia kura ni walimu. Je, mwalimu ndiye atakayemnyima fomu ya matokeo ya uchaguzi wakala wa upinzani?

    Kweli Mungu anatupenda sana Watanzania. Sisi tunaolipwa mshahara mdogo zaidi ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupiga kura, Sisi tunaolazimishwa kuchangia mwenge kwa kukatwa kwenye mishahara yetu ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura. Sisi tunaolazimishwa kuhudhuria mikutano ya kampeni ndiyo...
  4. L

    Matumizi mabaya ya akili kuwaacha wananchi wafe/wakinamama wajifungue njiani wakienda kwa miguu hospitali then uwasombe kwa gari wakati wa kampeni

    Siwezi sahau siku niliposimamishwa njiani na mama aliyevaa flana ya kijani akiwa na mwanae wakike aliyekaribia kujifungua. Kwanza nilimpita, lakini nilipofika mbele kidogo huruma ilinijia nikaamua kurudi kuwachukua na kawapeleka mpaka hospitalini. Baada ya kuwashusha yule mama alisema asante...
  5. L

    Uchaguzi 2020 Nani alitegemea mikutano ya kampeni ya 2020 ingekuwa mitamu na imeegemea upande mmoja kuliko hata 2015?

    Utamu wa kampeni za mwaka huu mawe yanarushwa upande mmoja tu tofauti na 2015. Mfano leo kalipua liinternational airpot la chotola. Tofauti na 2015, EL alitupa kigugumizi lilipokuja suala la ufisadi. Lakini 2020 TL ni very smart, very clean! Hizi sera sijui comedy za maendeleo hayana chama hata...
  6. L

    Uchaguzi 2020 Twende na Tundu Lissu October 28

    1. Wafanyakazi wote wa umma hata mashirika binafsi twende na Tundu 2. Wote waliolazimisha kurejesha mkopo wa HSLB 15% badala ya 8% ilokuwepo kwenye mkataba Oct .28 Twende na Tundu Lissu 3. Wafanyakazi wote ambao wakifukuzwa kazi kwa madai ya vyeti fake hawakulipwa pesa zao za mifuko ya hifadhi...
  7. L

    Flyovers, SGR na uboreshaji wa miundombinu awamu ya 5 Tz ni matokeo ya kubadilisha matumizi ya pesa sio kukua kwa uchumi

    Kufanya uchaguzi kwa pesa ya ndani, kujenga flyovers, SGR na uboreshaji wa miundombinu unaofanywa na awamu ya 5 ni matokeo ya kubadili matumizi pesa/kipato tu sio kukua kwa uchumi. Mfano, pesa zilizokuwa zinatumika kulipa mishahara kwa watumishi wa umma. Sasa wanastaafu, wengine wanakufa hakuna...
  8. L

    Kweli nimeamin Wanachama, mashabiki na wapenzi wa Timu ya Yanga linapokuja swala la Timu ya Yanga wote wanakuwa na akili sawa!!

    Bila kujali elimu zao, nafasi zao kama waziri', muhandisi, kamishna, mkurugenzi au mwandishi wa habari wote level yao ya uelewa inakuwa chini ya STD 7!! Imagine mwandishi eti anahoji mbona Morrison alikubali kwenye audio clip badala ya kuhoji Mkataba ni OG au Fake! Imagine mtu mwenye akili...
  9. L

    Siasa yetu imekuwa nyepesi sana, hata kuku tu anakuwa mjadala mpaka ngazi ya kitaifa!

    Inawezekana hii ni mojawapo ya sababu ya kujitokeza mamia ya watia nia kwenye kura za maoni kwenye kiti cha mgombea urais 2015, urais Z'bar 2020 na ubunge 2020, sio kukua kwa demokrasia kama inavyodaiwa na viongozi mbali mbali wa CCM. Je, tunafikiri viongozi watangulizi walikuwa hawapewi...
  10. L

    Hizi ndizo sababu kuu za mafuriko ya watia nia CCM

    Mwaka 2019 rafiki yangu wa karibu alinishauri ifikapo 2020 nigombee ubunge. Baada ya kukataa ushauri wake alisema ndani ya CCM hususana serikali ya awamu ya 5 hata ukishindwa ubunge unaweza fikiriwa nafasi nyingine za uteuzi kama ukurugenzi, ukuu wa mkoa, wilaya na makatibu tawala mikoa na...
  11. L

    Uchaguzi 2020 Huu sio wakati wa upinzani kulialia mnaonewa, wananchi wanahitaji kuhakikishiwa jinsi gani upinzani utakavyolinda kura zao zisiibiwe Octoba 2020

    Maji ukiyavulia ngua sharti uyaoge. Huu sio wakati wa upinzani kulialia eti mnaonewa, mnazuiwakufanya mikutano hata ya ndani, eti hakuna demokrasia!! Huu ni wakati wa mapambano sio kulialia. Salamu ziwafikie Zitto K, Mbowe, Lema, Sugu, Heche na Mdee kutaja kwa uchache. Wananchi wanaosapoti...
  12. L

    Kukamatwa na kuhojiwa kwa tuhuma za rushwa watia nia wa CCM, sehemu mbalimbali nchini kunaashiria nini miaka 5 ya serikali ya awamu ya 5?

    Kila siku kupitia vyombo vya habari tunasikia watia nia wa CCM sehemu mbali mbali za nchi yetu amawanahojiwa na TAKUKURU au kukamatwa na polisi kwa TUHUMA za RUSHWA. Je, hii inamaana gani kwa utawala wa awamu ya 5?
  13. L

    Pamoja na lockdown ya Corona, walikuwa wanaota nyumbu na Ngorongoro Crater Tanzania

    Wazungu aka Mabeberu wana wivu sana, halafu wanataka kutuaminisha eti harakaharaka haina baraka na kutangulia sio kufika, kama sio wivu nini? Eti nimesikia miongoni mwa nchi 54 zilizoruhusiwa kuingia Ulaya Tanzania haimo. Huu ni wivu tu! Hawa sio wale waliokuwa wanaota nyumbu na Ngorongoro...
  14. L

    Watanzania huu ni upole au ujinga? Kiongozi anachukuliwa meza kuu, mbele yenu mnapiga makofi!

    Watu zaidi ya 100 wapo ndani kiongozi wao anachukuliwa kutoka meza kuu wao wanapiga makofi kama vile anapelekwa kupewa cheo kumbe rumande Eti Mungu anawaona, iko siku yataisha tu, yana mwisho hayo, hawataingia Mbinguni. Hii ndiyo misemo ya watanzania siku hizi mara wanaponyanyaswa na mfumo Imla...
  15. L

    Kama taarifa ya janga la korona haina umuhimu Tanzania kwanini vyombo vyetu vya habari viendelee kutoa taarifa za mataifa mengine?

    Baadhi ya vyombo vya habari kama ITV na UTV hapa nchini kila baada ya taarifa ya habari hutoa summary ya mwenendo wa maambukizi ya korona duniani. Je kuna faida au madhara gani kwa wananchi kusikia taarifa ya mwenendo wa Korona kwa mataifa ya nje tu bila kujua kinachoendelea nchini? Je...
  16. L

    Pamoja na jitihada zote ikiwemo ya lockdown jirani zetu Kenya, Uganda, Rwanda maambukizi ya Corona yanapanda iweje kwetu yashuke kutoka 509 mpaka 20?

    Pamoja na jitihada zote ikiwemo ya lockdown jirani zetu Kenya, Uganda, Rwanda maambukizi ya Corona yanapanda iweje hapa kwetu yashuke kutoka 509 mpaka 20? Hivi kweli kupunguza hofu au kuupuuza huu ugonjwa na kukubali kuishi nao ndiko kumefanya wagonjwa wapone haraka na maambukizi yakome haraka...
  17. L

    Hizi speech za Mbowe "UTAIPENDA" kama hutazikubali kwa kinywa lazima utazikubali kimoyomoya.

    Kama angekuwa Rais wa nchi jirani lazima ungetamani angekuwa Rais wa nchi yako. Kama ni mwenyekiti wa chama kingine lazima ungetamani awe mwenyekiti wa chama chako. Kama angekuwa mme wa jirani au rafiki lazima ungetamani awe mme wako. Kama angekuwa kaka wa jirani au rafiki lazima ungetamani awe...
  18. L

    Imagine karne ya 21 kiongozi anatumia neno Mabeberu kama silaha. Anajua kweli ubeberu upo hata kwenye biashara ya mchicha hapa nchini?

    Maana nyepesi ubeberu au beberu kama inavyotumika kwa muktadha wa siasa ni ADUI au UADUI. Je, tujiulize hapa kwetu tz hatuna mifumo ya kibeberu makazini, kwa wakulima au kwenye biashara? Kimsingi ukifuatilia hata kwenye biashara ya mchicha ambao huwatunawaona wakinamama wakipitisha mchicha...
  19. L

    Kuzuia raia kujadili mambo ya msingi kwenye social groups ndiyo chanzo kikuu cha watanzania wengi kupenda udaku.

    Imagine hivi sasa magroup yote ya WhatsApp au FB n.k ya Mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi, wakuu wa mikoa au makabwela kama sie hatuwezi jadili janga la korona kwa uwazi na uhuru kama nchi nyingine. Kwa kawaida watu hujadili issues na issue kwa sasa ni Korona. Kama watanzania hawaruhusiwi...
  20. L

    Kinga ni bora kuliko tiba, vifaa vya korona vipimwe ufanisi wake kabla ya kununuliwa na kutumika.

    Wananchi waliamini serikali ndiyo iliyonunua vifaa vya kupima korona. Ni ajabu serikali hiyo hiyo kupeleka fenesi kwa siri kupima ufanisi wa kifaa kilichokinunua serikali hiyo hiyo. Then kujisifu kwa wananchi wake kuwa imebaini kifaa hakina ufanisi. Huu ni ufisadi kama ufisadi mwingine...
Back
Top Bottom