Search results

  1. 1gb

    Mama wa pacha waliotenganishwa asimulia alivyoambiwa amezaa laana, adai baba mtu alimtelekeza

    Mambo ya siasa yanachanganya sana. Sasa yule katibu wa CCM alipeleka taarfa gani na alienda kukagua nini. Huyu Makubi ni Professor na Katibu mkuu wa wizard ya Afya, Kapeleka salamu za Mama yake aliyemteua ni sawa, sasa na Najiuliza yule alipeleka salamu za tweeter? Wana siasa kwa kiki... Yaan...
  2. 1gb

    Napataje NIDA kwa haraka?

    Nenda 7 7 maonyesho,Tafuta banda la Nida. Ukilipata umekwisha. Unachotakiwa kufanya,Piga picha za passport size,nenda serikali za mtaa wakupe barua ya utambulisho,kisha nenda stationary waambie wakupe form ya nida(,Kama hana,ana download kwny Website husika.) Ukiipata hiyo jaza taarfa zako kwa...
  3. 1gb

    Mnafanya kosa kubwa kufanya hivi katika ndoa na kwingineko. Hii haikuwa imepangwa kuwa hivi. Tuna force tu na haya ndo matokeo yake

    Yes umeongeza penyewe kabisa. Kila kitu kisipo fuata kanuni,unavunja protocol. Kuvunja protocol ni kosa la kujitakia.
  4. 1gb

    Mnafanya kosa kubwa kufanya hivi katika ndoa na kwingineko. Hii haikuwa imepangwa kuwa hivi. Tuna force tu na haya ndo matokeo yake

    Hii imekaa spiritual Zaidi. Unapomgeuza juu chini. Yaani mke awe juu mume chini(hasa kwa wana ndoa tu) Ki roho unakuwa una kabidhi mamlaka kwa mwanamke. Matokeo hayawezi kutokea kufumba na kufumbua ila baadae huko mbeleni,Mwanamke atakuwa na nguvu kubwa ya kukudhibiti kimaamuzi kuliko kawaida...
  5. 1gb

    Nchi masikini inawezaje kuwa na Ikulu mbili?

    Kuna some Pimbi wengi bado wanaishi kwenye maneno ya Tanzania ni nchi maskini. Bwasheee ukitajiwa Rasilimali za nchi hii utajificha chooni kwa aibu. Nchi inatafunwa na wachache huko wanajiita wana siasa. Na hao kwa kujificha kwny mwamvuli wa kutafuna pesa za nchi wanaambia wananchi. "NCHI NI...
  6. 1gb

    Tetesi: Wamasai waliogoma kuhama Loliondo kutuhumiwa kwa uhamiaji haramu

    Hivi huwa mnafikiriaga kwa kutumia akili gani kuwaza, Hivi unaingiliaje kati, jambo ambalo ww umelitengeneza liwe hivyo lilivyo? Ni sawa na kumroga mwenyewe mwanao kisha ndugu wakushauri umpeleke kwa sangoma amponye. Ungekuwa ww kuweza? Hapo cha maana cha kufanya ni mabadiliko ya kiuongozi na...
  7. 1gb

    Mwanaume, ushawahi kulia kwa ugumu wa maisha?

    MUNGU HACHELEWI WALA HAWAHI ni Tafsri ya vifungu hivi vya maandiko. “Maana njozi hii bado ni kwa wakati ulioamriwa, inafanya haraka ili kuufikilia mwisho wake, wala haitasema uongo; ijapokawia, ingojee; kwa kuwa haina budi kuja, haitakawia.” — Habakuki 2:3 “Maana mimi ni Bwana; mimi nitanena...
  8. 1gb

    Taarifa kwa Umma: Ajali ya Treni ya Abiria - Malolo, Tabora

    Tuweke Record ndogo hapa kwaajili ya kumbukumbu. Tarehe 22Machi 2020. Watumishi watano wa Shirika la Reli Tanzania TRC walifariki kwa ajali ya treni ya uokoaji iliyogongana na Kiberenge Na. HDT-3 katika eneo lililopo kati ya Stesheni ya Mwakinyumbi na Gendagenda katika reli inayotoka Ruvu...
  9. 1gb

    Tujikumbushe ajali ya Treni 2002, Dodoma

    https://www.malunde.com/2022/06/AJ.html?m=1
  10. 1gb

    Tujikumbushe ajali ya Treni 2002, Dodoma

    Vuta subira mkuu bado mawasiliano ni ya shida walioko huko ndani ndani mtandao unasumbua. Uokozi unaendelea.
  11. 1gb

    Tujikumbushe ajali ya Treni 2002, Dodoma

    Naskia kimenuka tena Tabora leo, Behewa 8 ziko down. Tunasubiri waandishi kuanza ku report.
  12. 1gb

    Binadamu anaishi Illusion life, siyo Maisha halisi

    Baadae sasa ukija njoo utuambie mwenye program ni nani sasa.
  13. 1gb

    Mamlaka husika inakuwaje mnaruhusu Bajaji kutembea na kubeba abiria barabara ya Kimataifa ya Morogoro?

    Sasa wanaopita wa ndani na nje ya nchi wanakusaidia nn ww mvuvi wa Rufiji. Yaani tuache kutumia barabara zilizojengwa kwa kodi zetu ,tujifiche kisa wa kimataifa wanapita? Ngorongoro wanahamishwa vurugu kila kona kisa wakimataifa. Sasa wenye nchi washughulike wapi sasa ikiwa kila mahali...
  14. 1gb

    Tanzania yapata Mkopo wa Dola Mil 278 kutoka Benki ya Dunia

    https://www.jamiiforums.com/threads/benki-ya-dunia-tanzania-hatarini-kukumbwa-na-stress-za-madeni.1961230/
  15. 1gb

    Amkata mumewe korodani ya kushoto akiwa usingizini

    Katika kipindi hiki cha Mwisho wa Dunia,Ndoa Si salama tena. Hata uwe mwangalifu vipi bado utachuma janga tu ndoani.
  16. 1gb

    Kwa hili LATRA wanamhujumu Rais Samia Suluhu

    Kam lalamikie Mama Yako,Bro. Hivi kipindi hiki tata bado kuna watu wanajipendekeza. Ivi mmerogwa na nani?
  17. 1gb

    Namna ya kuchukua pesa zilizoachwa na Marehemu Tigopesa, Mpesa n.k. Kama huna password yake

    Aliye tia zindiko hii nchi,alimaliza kila kitu,alifunga mpk akili ,ya vizazi na vizazi. Malalamiko ya Mtz ni ya kutisha lkn utekelezaji... Zeroooo
  18. 1gb

    Chakula cha mchana kwa wanafunzi; Sababu isiyotajwa kwenye taaluma mbovu ya mtoto

    Tukimaliza Suala la chakula cha watoto, Tuje suala la posh ya nauli kwa walimu. Hawana posh kabisa wanafundisha kwa stress sana,kiwango cha ufundishaji kinakuwa chini mno,maana madeni ya kwa mangi,mikopo,wanasomesha na wao kodi ya nyumba tcheee full stressed.
  19. 1gb

    Nimeomba mkopo CRDB, kabla ya kupewa wameanza kunikata hela kila mwezi. CRDB shida nini?

    Hawa ndo wasomi wetu,hawajuj umuhimu wa Mahakama,hawajui haki zao,hawajui uonevu. Wao ni kulalamika tu. Mwananchi,mkulima,mfanyakazi,msomi wote ni kulalamika tu.
  20. 1gb

    Afande Veronica yupo barabarani kukusanya hela au kufilisi Raia?

    Kuna member humu alishawahi leta kisa kama hicho,muda kidogo umepita. Alikuwa morroco kama sikosei zebra,yupo mbele kabisa akasimama kusubiri watu kuvuka,wakavuka wakaisha akajiridhisha kuondoa gari. Lkn pembeni kuna kijana alikuwa kasimama anaongea na simu alionekana ni mtu mwenye mambo yake...
Back
Top Bottom