Search results

  1. Ruge Opinion

    Gari ya kwanza Private kusajiliwa Tanzania

    Yes. Kila mji ilikuwa na mfumo wake: MZ = Mwanza BK = Bukoba IR = Iringa .....
  2. Ruge Opinion

    People from USA & Europe are a big hope to many families in Tanzania when you visit, so welcome in Tanzania and to our families

    You must be dumb. Just one incident has led you to generalise on the whole race?
  3. Ruge Opinion

    #COVID19 THE GUARDIAN: Madaktari Tanzania hawaruhusiwi kupima COVID-19 wala hata kutamka mgonjwa ana COVID-19

    May be you rejected him but you could not eject him. He is still around.
  4. Ruge Opinion

    Kingereza ni changamoto kwa JF members, nyuzi za English hazisogelewi

    Utakosa mengi. Kiingereza ndiyo lugha ya maarifa. Kama inakupiga chenga mengi yatakupiga chenga.
  5. Ruge Opinion

    #COVID19 THE GUARDIAN: Madaktari Tanzania hawaruhusiwi kupima COVID-19 wala hata kutamka mgonjwa ana COVID-19

    'A country deserves the ruler that it gets'. Meaning who rules the country is a reflection of the kind of people he rules.
  6. Ruge Opinion

    Walimu tulioajiriwa mwezi uliopita tumetelekezwa vituoni

    Atafungaje na anakwambia hana hela ya kula? Afunge kuvuta hewa?
  7. Ruge Opinion

    Tanzania mercantile exchange: jambo zuri sana limeanzishwa

    Wewe ndiyo mwenye bangi kichwani unayerukia mambo usiyoyaelewa. Kuna njia nyingi za ku-consolidate mzigo ili kuweza ku-operate kwenye commodity exchange. Mifano: ushirika, mazao ghalani, private company, n.k. Hivyo kuwa na wakulima wadogo siyo kikwazo cha kuwa na commodity exchange. Ila hili...
  8. Ruge Opinion

    Tanzania mercantile exchange: jambo zuri sana limeanzishwa

    Kuna njia nyingi za ku-consolidate mzigo ili kuweza ku-operate kwenye commodity exchange
  9. Ruge Opinion

    Tanzania mercantile exchange: jambo zuri sana limeanzishwa

    Hili siyo soko la kuuza kiroba kimoja au kilo mia. Ni soko la mzigo mkubwa. Hivyo muuzaji na mnunuzi wote wanatakiwa kuwa na mtaji wa kutosha. Vile vile soko hili lina risk. Bei mliyofungia mkataba inaweza kumfaidisha mmoja na kumuumiza mwingine wakati wa kutekeleza mkataba. Lakini zipo mbinu...
  10. Ruge Opinion

    Watanzania kuna kitu wanataka kumwambia Tundu Lissu

    Lazima ipatikane. Hitaipata ukiwa umelala kitandani. Itapatikana kwa jasho na damu.
  11. Ruge Opinion

    Huu ni wakati muafaka wa kukifuta Chama cha Demokrasia na Maendeleo

    Wacha kukariri. Siyo kila mkusanyiko ni maandamano. Hiyo ni tafsiri potofu ya jeshi la polisi.
  12. Ruge Opinion

    Huu ni wakati muafaka wa kukifuta Chama cha Demokrasia na Maendeleo

    Sanduku lipi? Tume ya Uchaguzi iliyopo haina uwezo wala nia ya kutayarisha uchaguzi huru na wa haki. Ni uporaji tu kama wa serikali za mitaa. Atapatikana Rais lakini si kupitia kura za wananchi.
  13. Ruge Opinion

    Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Siku zote hizi leo ndio unampa taarifa? Kweli wewe kisogo chako kiko mbele ya uso.
  14. Ruge Opinion

    Shirika la Afya (WHO): Athari za Corona na vifo Afrika ni ndogo kuliko sehemu nyingine

    Tatizo ni uelewa wako. Umeungaunga maoni ya watu tofauti na kuyafanya kama maoni ya kundi moja lenye dhamiri moja. Huo ni uzushi. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Ruge Opinion

    OPERATION CORONAVIRUS PANDEMIC: 16 Reasons for the Deployment of this Devastating Bioweapon in 2020

    Kama kuna kutawaliwa kiakili nadhani tunatawaliwa kwa njia rahisi sana. Kwa mfano, kupitia ULOKOLE wa kisasa ambao umewafanya vijana kufikiri ufumbuzi wa kila jambo unapatikana kupitia maombi, mafuta ya upako, n.k. Hii pseudo-religious capture ni form of mind control ambayo mtu akiishashikwa ni...
  16. Ruge Opinion

    We need Associate Auditors

    This is a serious advert. People out there: Get in touch.
  17. Ruge Opinion

    Someni hii taarifa, wale ambao mna tabia ya kuwashabikia Wazungu na kuwatetea msipobadilisha msimamo wenu, basi mmelogwa

    Sooner or later ni watu hao hao ndio watakuja kuendesha nchi yetu. Au wameshaanza kuiendesha?
Back
Top Bottom