Search results

  1. JMF

    Mikopo ya Pesa X, Cash X au Singularity Microfinance ni kausha damu

    Moja kwa moja kwenye mada, Mwezi June nilipokea sms kuwa kuna jamaayangu kaniweka kama mtu wake wa karibu na amekopa pesa ameshindwa kurejesha. Nilishtuka sana, nikapiga kujua ni milioni ngapi kumbe ni elfu 25,000. Baadae jamaa nikamuuliza akacheka, akanieleza ni mikopo ya online ila...
  2. JMF

    Mkeka wakwenda oral NAOT na HESLB tayari

    Baadhi ya accounts tayari. Tupeane tena mbinu kumpiga Kibanga
  3. JMF

    Udahili kozi za Kilimo na Ualimu (arts) zingesitishwa kwanza

    Sijui kwa takwimu ni idadi gani ya wahitimu wa kozi tajwa hapo juu ambao wameingizwa kwenye soko la ajira toka vyuo vikuu kuanzia mwaka 2015. Idadi ya walimu wa sanaa 74 walioajiriwa kupitia tamisemi haihitaji kuwa na elimu ya takwimu kujua kuwa taaluma hiyo siyo kipaumbele tena kwa sasa. Ni...
  4. JMF

    Waziri mwenye dhamana, ingilia kati AJIRAPORTAL

    Ajiraportal imekua kilio kikubwa kwa vijana wengi wanaotumia mfumo huo kuomba kazi. Kuna changamoto zinazojitokeza na pindi mtu anapohitaji utatuzi wa kimfumo, hakuna msaada. Namba za simu zilizowekwa na ajiraportal kuhudumia wateja ni aidha hazihimili wingi wa watu wanaotumia mfumo huo kwa sasa...
  5. JMF

    Ukweli mchungu kazi za sensa

    Waombaji ni ~700k Wanaohitajika ni ~ 205k Idadi ya halmashauri ~185 Ukigawa hapo ni kama 1k kwa kila halmashauri Watu hao wataweza kufanya hiyo kazi kwa takribani kata 4000 nchini kwa ufanisi? Ninachoona kuna possibility ya kuchukua nusu ya watu na tena wasitosheleze. NB: Prediction ya sensa...
  6. JMF

    Naombeni ushauri biashara ya kuchana na kusafisha mbao

    Salaam wana JF, Naombeni ushauri wa biashara ya kuchana, kusafisha na kuchoronga mbao kwa hapa Dar. Kuna eneo langu lipo center nzuri ya makazi mapya na kutokana na kukosekana kwa kiwanda karibu au mashine za kuchana(kuzalisha) mbao, kusafisha na ku choronga, nikapata wazo la kuanzisha mradi...
  7. JMF

    Benki ya kilimo inakwamishwa na benki washirika kama CRDB, NMB etc

    Benki ya kilimo ilianzishwa kwa lengo la kukuza sekta ya kilimo nchini kupitia uwezeshaji na mikopo. Lengo lilikua zuri kwani malengo hasa ilikuwa kuwafikia hadi wakulima wadogo. Leo hii bank hiyo imerudisha jukumu hilo kwa bank binafsi na za biashara ambazo ukiritimba wao ndio uliopelekea...
  8. JMF

    Ukitoa Afya na Elimu, sekta nyingine hazina uhaba wa watumishi?

    Juzi juzi serikali ilitangaza itaajiri maelfu ya watu ndani ya mwaka huu wa fedha 2021/2022. Mara baada ya serikali kutoa kibali cha ajira, sekta ya afya na elimu walichangamkia nafasi hiyo kupunguza uhaba wa watumishi kwenye kada zao kwakuweka tangazo kupitia tamisemi. Mwaka wa fedha unaenda...
  9. JMF

    Bei ya SanLG 150 reja reja na jumla kwa Dar ni ngapi?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Nahitaji kujua toka kwa wafanyabiashara wa pikipiki au watu walionunua pikipiki tajwa siku za karibuni kwa Dar bei ni ngapi? Pia namba kufahamishwa ni idadi gani mteja anawezakununua akauziwa kwa bei ya jumla ili nae akauze mikoani? NB: Zimeadimika sana...
  10. JMF

    Unahitajika mkopo kwa dhamana ya kiwanja Dar

    Nduguyangu amekwama kutoa mzigo wake bandarini. Anahitaji mkopo wa dharura wa 4m kwa riba watakayokubalian na mkopeshaji. Dhamana aliyonayo ni kiwanja. Kina ukubwa wa 450 SQM, ni cha biasharara/makazi. Alikinunua mwaka 2013 serikalini kwa 4m na kina hati. Kwa anayewezakumsaidia naomba...
  11. JMF

    Ex-wangu nakukumbuka sana, natamani urudi

    Nilikuchezea sana miaka ile uliponitembelea. Sikukuchukulia serious. Niliamini tungekaa pamoja hadi kifo, kumbe ulikuwa unapita tuu. Sikujua ilivyo vigumu kukupata. Umeniachia kumbu kumbu nzuri na nyingine uliondoka nazo. Kwasasa ni machungu tuu nikikumbuka nilivyokuchukulia wa kawaida...
  12. JMF

    Fundi kapokonywa AC yangu na mdai wake

    Salaam wana JF, Naombeni mnifafanulie nijue kisheria limekaaje hii jambo. AC ya ofisini ilikuwa imeharibika, jamaayangu akanipa namba za fundi mmoja ambae alidai ni mzuri na alishawahi kumtengenezea yake vizuri. Nikampigia akaja, akaicheki na kusema inabidi iende ofisini kwake akaitengenezee...
  13. JMF

    Nifanyeje plywood isiharibiwe na mvua?

    Salaam wana JF, Nimetumia plywood kama kuta za banda la kuhifadhia bidhaa zisipigwe na jua. Kunyeshewa mvua za wiki mbili tuu imebadilika rangi na kuwa nyeusu. Nikashauriwa, nikapaka rangi ya mafuta upande ambao haukuwa umenyeshewa ila haikamati. Nifanyeje wakuu?
  14. JMF

    Naombeni ushauri kuhusu CCTV camera

    Salaam wana JF. Naombeni uzoefu kwa mliowahi kutumia au mnaotumia CCTV camera iwe nyumbani, sehemu ya biashara au ofisini. Ni camera ipi inafaa kwa sehemu kama bar ambapo usiku kuna mwanga hafifu? Bei zake zipo vipi? Binafsi nahitaji camera ambayo itasevu picha kwenye pc au memory card yake.
  15. JMF

    Mita ya umeme inaweza kuhama?

    Salaam wana JF, Kuna fremu ya biashara nilikua nimepanga sehemu na kwa wakati huo hapakua na umeme. Nikaamua kulipia tanesco nikafungiwa umeme wangu. Kwasasa nimehama ile fremu na nimehamia maeneo hayo hayo kwenye fremu yangu binafsi niliyojenga, hivyo naomba kujua kama naruhusiwa kuhamisha mita...
  16. JMF

    Serikali iangalie upya mfumo wa kuajiri

    Umofia kwenu wana JF, 1. Kwa siku za karibuni kumekua na utaratibu mpya ambao ajira nyingi za serikali na taasisi zake zinahitaji kigezo cha cheti cha JKT. Hii imepelekea vijana wengi kukosa sifa za kulitumikia taifa kisa tuu hawakupitia JKT aidha kwa hiari yao wenyewe au kwakukosa nafasi za...
  17. JMF

    Msaada kuhusu ramani ya mipango miji

    Salaam wana jukwaa, Kuna eneo(kiwanja) nahitaji kununua sehemu. Ila ni kama kuna utata kuwa ni kwaajili ya makazi au biashara au yamkini ni eneo la serikali kwasababu kipo karibu na eneo la soko. Hivyo nikaona ni bora nitafute taarifa za eneo husika nisijekuingia mkenge. Nawezaje kupata...
  18. JMF

    Mdhamini anaweza kufungwa mtuhumiwa akitoroka?

    Hello wana JF, Naombeni ufafanuzi wa kisheria juu ya swala hili: Endapo mtu amemdhamini mtu polisi ambae anashikiliwa kwa kesi ya utapeli au wizi wa kuaminika halafu akatoweka na asipatikane kwa zaidi ya miezi 6, 1) Mdhamini anaweza kuhukumiwa kwa kosa lake? 2) Je, naye anaweza kupewa dhamana...
  19. JMF

    Ushauri kati ya paving blocks au kokoto

    Wakuu salaam kwenu. Naomba kujuzwa gharama na ubora kati ya paving blocks au kokoto kwenye eneo la biashara lenye mita za mraba 40. Kama ni kokoto ni za aina gani na kama ni paving block ni zipi. Pia naomba kusikia experience toka kwa wadau wanaotumia kimoja wapi kati ya hizo kwenye maeneo...
  20. JMF

    Msaada: Nitumie nini kama kuta za choo?

    Salaam wanajukwaa. Nahitaji ushauri na uzoefu juu ya jambo hili. Nahitaji kujenga choo kidogo cha kisasa pasipo kutumia tofali kwenye kuta. Chemba ipo tayari na sink zipo tayari, kinachoniwazisha ni kitu gani (material) ninayoweza kutumia kama kuta ambayo inasafishika kirahisi kama ilivyo tiles...
Back
Top Bottom