Search results

  1. Freyzem

    Yanga kuingiza mashabiki uwanjani Bure ni ushamba, hamjifunzi madhara yake?

    Leo nimeshuhudia vitu vya ajabu sana pale Lupaso! Siyo kwamba nilienda kucheki mechi hapana, nina mishe zangu nafanyia maeneo yale, hivyo matukio mengi ya mechi hasa wikiendi nayashuhudia! Nimeshuhudia mashabiki wakiruka ukuta, wengine wakianguka na kuumia, wengine wakippteza vitu Kama fedha...
  2. Freyzem

    Ni kweli kuna tatizo katika mfumo wa Kadi za Bima ya Afya ya NHIF? Tunashindwa kupata huduma na kulazimika kulipia kwa pesa tasilimu

    Hatimae leo yamenifika kwakweli! Nimefika hospital moja ya binafsi baada ya kujisikia sivyo ndivyo huku nikisumbuliwa na maumivu ya kifua na homa ambayo iliniibukia ghafla nikiwa katika shughuli zangu za kila siku. Cha kushangaza baada ya kuikabidhi bima yangu kwa mtoa huruma alinijulisha kuwa...
  3. Freyzem

    Polisi kuyapiga marufuku maandamano ya chadema!!

    Kufuatia Chadema kutangaza kufanya maandamano ya amani Jan 24, 2023 jijini Dar es salaam , hadi kufikia hivi Sasa Polisi ambao ndio wanaopaswa kuhakikisha maandamano hayo yanafanyika Kwa amani hawajatoa tamko lolote la kuruhusu ama kupinga maandamano hayo, japo tayari Chadema ilishawapa taarifa...
  4. Freyzem

    Kamati ya hamasa ya Taifa Stars ipo wapi? Hao akina Joti na Mwijaku wamehamasisha nini?

    Yaani hii nchi Ina vitu vinachekesha kweli kweli! Mwanzoni mwa mwezi huu wa January wizara ya michezo na ilitangaza kamati ya hamasa Kwa ajili ya kuhamasisha mashabiki kuishangilia taifa stars. Watu mbalimbali akiwemo Joti, Mwijaku, Baba levo, Eng Hersi n.k waliteuliwa lakini Cha kushangaza...
  5. Freyzem

    TANZIA Pumzika kwa amani Lt. Gen Benjamini Msuya

    Hatimae yametimia! Apumzike kwa amani! Huyu ni Lt General Benjamini Msuya! Alikuwa kinara wakati wa vita ya Kagera! Aliongoza utekaji wa Jiji la kampala na kuwa Meya wa Kampala, na pia kama Rais wa Uganda kwa muda wa siku tatu akiwa na cheo cha Lt. kanali! Ni miongoni mwa watu ambao Taifa...
  6. Freyzem

    Hivi fursa ya kufanya siasa na mikutano ya vyama vya siasa inatolewa na CCM?

    Kwa kweli hii nchi ina mambo ambayo ni magumu sana kuyaelewa! Katiba ipo ila ni kama imehodhiwa na baadhi ya watu! Ni kama haki za masuala hasa ya kisiasa kwamba zimehodhiwa na chama tawala! Hili bila shaka wengi ni kama hawalioni, ama wamejisahau kulihusu! Vyama vya upinzani hasa chadema...
  7. Freyzem

    Klabu ya Yanga inaongozwa ovyo ovyo sana!

    Kufuatia taarifa iliyotolewa na TFF inaonyesha Club ya Yanga haiafanya usajili wa wachezaji kwa msimu wa 2023/24. Mashabiki wasiojitambua wametetea club ya Yanga kwa kutoa hoja dhaifu eti muda bado upo, mara sijui strategy na blah blah kibao! Wengine sijui watasajili wale walioiva n.k...
  8. Freyzem

    BBC swahili, Dira ya Dunia imepoteza mvuto!

    Kwa wafuatiliaji wa Bbc swahili dira ya dunia, kupitia matangazo yanayorushwa saa tatu usiku kuanzia jumatatu hadi ijumaa kupitia Star tv watakubaliana nami kuwa urushaji wa taarifa umekosa mvuto! Tokea Charles Hilary aondoke, huku akifuata Zuhura Yunus na hatimae Salim Kikeke, Mariam Omary...
  9. Freyzem

    Ajali za barabarani na msimu wa mavuno kwa wakulima!

    Wakulima hivi sasa wanachekelea tu, wanavuna kwani mvua zilikuwa za kutosha tu! Waliopanda mahindi, alizeti, mpunga, pamba, maharage n.k hawana cha kujutia. Mavuno haya bila shaka yataendelea hadi mwezi wa tisa ndipo mashamba yataanza tena kuandaliwa na kupanda na ifikapo mwezi wa tatu hadi wa...
  10. Freyzem

    Tunachezewa sana, Serikali irudishe tozo zetu

    Bunge lilipitisha tozo batili kwenye miamala kwa kisingizio cha serikali kujionezea mapato ili kuboresha miundombinu na kujenga madarasa! Happ awali ile miezi kama miwili baada ya tozo kuanza tulielezwa ni kiasi gani kimepatikana na kilienda wapi, lakini baada ya hapo kukawa na usiri mkubwa wa...
  11. Freyzem

    Majibu ya haraka: Tofauti ya Makubaliano na Mkataba ni ipi?

    ===== Spika Tulia kwa nyakati tofauti: "Vifungu kwenye Mkataba wa DP World havina shinda." *** "Tumepitisha Makubaliano, sio Mkataba."
  12. Freyzem

    Kufuatia Ali Kamwe kutoa maneno ya udhalilishaji dhidi ya Kocha Mgunda TFF inapaswa kumfungia na kumtoza faini ya Tsh 1,000,000/=

    Hili wala halihitaji kupigiwa kelele na wachambuzi! Cha msingi Tff ifanye kazi yake ipasavyo kwa kuzingatia kanuni zake! Kanuni zinaeleza wazi kiongozi yeyote wa club akitoa lugha za kudhalilisha anapaswa afungiwe kwa kipindi ksichopungua miezi mitatu(inaweza kuwa hata miaka kadhaa) na faini...
  13. Freyzem

    Kufuatia ajali ya Lift Millenioum Tower nimekumbuka yaliyotokea Hall 5 UDSM

    Yes! Kufuatia ajali ya Lift iliyotokea Millenium tower imenifanya nikumbuke miaka kadhaa iliyopita yaliyokuwa yanatokea kwenye Lift ya yale mabweni ya udsm hasa Hall 5! Kwa waliopita hapo watakubaliana kuwa lift ilikuwa ni tatizo sugu! Nakumbuka siku moja tumeipanda mara ikakwama katikati ya...
  14. Freyzem

    Inashangaza suala la Kariakoo hadi hivi sasa hajatumbuliwa mtu!

    Kufuatia huu mgomo uliotokea Kariakoo, na namna wafanyabiashara walivyolalamika hadi kufikia hivi sasa ilitakiwa mtu awe ameachia ofisi! Kumhamisha Makalla Dar es Salaam na kumleta Chalamila siyo suluhisho la kero za wafanyabiashara! Wafanyabiashara kutoka Congo wamehamia Uganda! Linajengwa...
  15. Freyzem

    Salim Kikeke aaga rasmi BBC

    Mtangazaji nguli wa habari Salim Kikeke ambaye alizoelea umaarufu mkubwa kwa style yake ya utangazaji ameondoka rasmi BBC baada ya kufanya kazi na chombo hicho cha habari kwa zaidi ya miaka kumi. Hakika Kikeke aliifanya vyema kazi yake vyema sana, na kiukweli hatasaulika kwa umahiri wake...
  16. Freyzem

    Stekamba Dunia akanusha kufariki dunia

    Kufuatia ajali ya ndege iliyotokea Bukoba hivi karibuni, iliripotiwa kuwa mwanajf Stekamba Dunia alifariki katika ajali hiyo. https://www.jamiiforums.com/threads/stekamba-dunia-member-wa-jf-ni-mmoja-wa-marehemu-wa-ajali-ya-ndege-bukoba.2038668/page-3#post-44299475 Lakini kuna clip inayomuonesha...
  17. Freyzem

    Mauzo ya Jezi Mpya Ya Simba 2022/2023 yatavunja rekodi.

    Ikiwa imebaki muda mfupi kwa Simba Day kufanyika, jezi mpya bado haijatangazwa rasmi! Wapo wanaobeza na kuona kwamba kuna makosa yaliyofanyika! Ukweli ni kwamba hili limekaa kimkakati zaidi! Jezi mpya itatolewa kabla ya Simba day wakati wowote kuanzia hivi sasa, na itatikisa katika mauzo yake...
  18. Freyzem

    Paul Makonda kurejea kwa kishindo kwenye uongozi.

    Hii si ndoto, huyu ndugu Paul Makonda ambaye alijulikana hapo kabla kama Daud Albert Bashite anarudishwa na mamlaka ya uteuzi kwenye uongozi muda si mrefu! Kitendo cha kufumbiwa macho kwa madudu yake, kwa kukingiwa kifua na hata kwenye kesi iliyofunguliwa dhidi yake kuwekewa pingamizi haikuwa...
  19. Freyzem

    Ukweli mchungu kesi ya Freeman Mbowe na wenzake watatu

    Ni kitu ambacho wafuasi wa CHADEMA na Mwenyekiti Mbowe wasingependa kukisikia ama kuona kikitokea lakini hakuna namna ni wazi Mbowe kwenye kesi yake hatasalimika. Ikumbukwe wakati anakamatwa kuna askari alimwambia kuwa kipindi hiki hatachomoka kwenye hii kesi, hakusema hivyo kwa kukosea...
  20. Freyzem

    Ufafanuzi tafadhali: Je, hii ni ngozi halisi ya chui?

    Wajuzi wa mambo tafadhali, hebu kwa wanaoelewa na kujua watufafanulie na kutujuza hili jambo! Katika ufunguzi wa tamasha la utamaduni Rais Samia Suluhu alivishwa vazi la kabila la wachaga lenye rangi za chui na Chief(Mangi) Marealle ambaye nae pia alikuwa amevaa vazi la aina hiyo! Sasa je yale...
Back
Top Bottom