Search results

  1. U

    CHADEMA wekeni bayana Uhusiano/Mikataba na China kwenye manifesto ya 2015

    Katika demokrasia kamili vyama vya siasa vinashinda kwa policy zake,ambazo zinawekwa kwenye manifesto na wananchi wanachagua wabunge/rais au PMs kutoka na policy hizo ambazo chama kinatakiwa kudeliver kikishinda uchaguzi. Kwa bongo,hii haipo kwa sababu wananchi wetu wengi vijijini sio...
  2. U

    Professa Gabriel wa wizara ya michezo ana elimu ya kughushi?

    Uki argue na fool nawe utakuwa fool vile vile.Mchunguzi elewa hili.
  3. U

    Wachina wakamatwa na Shehena ya Meno ya Tembo Bandarini Dar

    Wewe Unasupport serikali hii dhalimu,haifuati rule of law,imewakumbatia wachina,bila shaka unajua hata huko UK, wanaouza fake DVD ni Wachina. Hakuna taifa lingine. Shimbo amepelekwa China kukamilisha uovu wa serikali hii,juzi juzi tu baada ya yeye kufika China eti tumenunua fighter jets,10%...
  4. U

    Kweli Tumeshtushwa na Shule ya Machala Yenye Mwalimu 1 Aliyefaulisha Wanafunzi Wote?

    Rais wenu anatibiwa USA! Waziri Mkuu medical check up UK Waziri wa Fedha South Africa! Gharama hizo zinaweza kujenga shule mahili na kuweka madawati. Ndio maana wenzetu wanatuita MONKEYS,wanashindwa kuelewa kwa nini tunashindwa kusolve basic problems!
  5. U

    Dr. Ulimboka is smart and good Now..

    nyie ndio mnaitwa dickhead! Rais wako amekwenda USA kutibiwa!Gharama shs ngapi? Waziri wa Fedha tulisikia yuko South Africa kwa matibabu. Hizo gharama zote nani analipa?mlipa kodi,ambae anatibiwa Muhimbili,hospitali ya Wanyonge
  6. U

    Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

    Walimkamua kinyesi baharini na kumtosa!
  7. U

    Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

    Yale yale ! Hii dini ni hatari katika karne hii ya 21.Inataka kuturudisha kwenye karne ya 6! Wanaochoma makanisa ni nani? Al Shabab na Al Qaeda kwenu ni wakristu? Naona mnataka Taleban style life hapa Tanzania.
  8. U

    Le mutuz akijirusha na teenagers ndani ya after xul bash

    Mohd niliona hiyo! Hajarudi mpaka leo!
  9. U

    Na Hii Ndio Maana Ya Kuzomewa Kwa Zuma na Dr. Slaa Kigoma

    We mtu mwenye saizi 92 ya kiuno,unajaribu kupotosha wasomaji,lakini huwezi kufool watu waliosafiri na kuendelea kusoma international news. Kuzomewa kwa Zuma ni kama ifuatavyo: 1.Poor leadership 2.Corruption ya black elites ,sijui unajua BEE(Black Economic Empowerement) policies? Sasa hivi...
  10. U

    Professa Gabriel wa wizara ya michezo ana elimu ya kughushi?

    Ha ha IFM na Mzumbe?Kwa ni Makerere au Harvard? Nchimbi,Makanga walisoma wapi?
  11. U

    Mandela hastahili heshima ya juu hivi kupita makubwa yaliyofanywa na akina Nyerere

    Mandela alielewa siasa za kidunia,na sio za kinchi.Alijua mchango wa makaburu kwenye nchi hiyo. Tunakumbuka mafuriko makubwa ya Msumbiji,ni jeshi moja tu lilikuwa imara na kutoa helicopter za kijeshi for rescue purposes. Tukumbuke Zambia ilikuwa na kambi za ANC,hata makaburu nafikiri...
  12. U

    White House: Obama- Castro handshake not ‘pre-planned’

    Nimesema tuna mediocre humu,watu hawa research kabla ya kuandika.
  13. U

    Professa Gabriel wa wizara ya michezo ana elimu ya kughushi?

    Hivi Mzumbe kuna nini huko?Naijua Finland vizuri,never heard Preson!
  14. U

    Obama na mkewe watia aibu SA

    Hii forum inakaribisha hata watu mediocre,ambao hawasomi news,hawa research kabla ya kuandika! To be fair wanareflect uwezo wa elimu yetu
  15. U

    Mandela hastahili heshima ya juu hivi kupita makubwa yaliyofanywa na akina Nyerere

    Unajua Mugabe ,through jeshi lake aliua watu wa kabila la Ndebele yapata 20000? "The Gukurahundi (Shona: "the early rain which washes away the chaff before the spring rains"[1]) was the brutal suppression of Zimbabwean civilians, mostly supporters of Joshua Nkomo, by Zimbabwe's 5th Brigade in...
  16. U

    Mandela hastahili heshima ya juu hivi kupita makubwa yaliyofanywa na akina Nyerere

    Eti amekuzwa na Wazungu,what a stupidity? Uliza mtu yoyote toka South Africa mweusi atakwambia ni nini
  17. U

    Mandela hastahili heshima ya juu hivi kupita makubwa yaliyofanywa na akina Nyerere

    Mugabe hamna lolote,zaidi ya watu wake 2 millioni wamekimbilia wapi?SOUTH AFRICA !!! Skiliza eulogy ya Obama alivyosema!Mugabe ni failure simple as that.Mashamba aliyoyachukua kwa Wazungu,mengi amewapa watu wake wa karibu.Sasa nchi yake kuna njaa,mashamba aliyoyachukua mengi ni vichaka. Yeye...
  18. U

    Mandela hastahili heshima ya juu hivi kupita makubwa yaliyofanywa na akina Nyerere

    Nyerere alikuwa dikteta?27 years nafikiri? Nyerere alitunyima uhuru wa magazeti,uhuru wa kusafiri,uhuru wa kuangalia TV Nyerere alitu fanya maskini ,paka leo hatuweza kuinuka Nyerere alidhoofisha elimu yetu,can you imagine eti darasa la saba kuwa Mwalimu wa msingi,au darasa la saba kuwa eti mganga?
  19. U

    Mandela hastahili heshima ya juu hivi kupita makubwa yaliyofanywa na akina Nyerere

    Mtoa mada ,umesoma Long Walk to Freedom? Unajua Umkotho wa Sizwe?Unajua makamanda wake wote?Umeona hotuba za Mandela kabla ya kufungwa? Unakiri mchango wetu ni mkubwa kuliko Cuba,USSR,China,Zambia etc?
  20. U

    Utiriri wa Phds Tanzania

    Wivu wa Phds?you are jocking,what a waste of time. Women beauty? Bill Gate (Microsoft)au The late Steve Jobs(Apple) wangekuwa Tanzania ungewadharau sana kwa kuwa walikuwa College drops out
Back
Top Bottom