Search results

  1. Sooth

    DOKEZO Prof. Esther William Dungumaro na Ubadhirifu wa Fedha MUCE

    Profesa Esther William Dungumaro ni Mkuu (Principal) wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Mkwawa (MUCE). Kwa namna anavyoendesha chuo hiki cha umma, inaleta mashaka juu ya uadilifu wa uongozi wake katika masuala ya fedha. Taasisi za umma zinaendeshwa kwa mpango kazi wa kila mwaka na bajeti ya kila kazi...
  2. Sooth

    Ndege mpya au stahili za wafanyakazi?

    Tarehe 19 September 2019 serikali imeingia mkataba wa kununua ndege 2 zaidi aina ya Airbus A220-300 ambazo gharama yake haipungui 91.5milion kwa kila moja, jumla million 183usd. Hizi ni zaidi ya billion 360 za kitanzania. Kwakuwa tuna raslimali pesa chache, je hiki ndo kilipaswa kuwa kipaumbele...
  3. Sooth

    Vibali vya Ujenzi Mbeya Mjini

    Kuna urasimu mkubwa katika kupata kibali cha ujenzi katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya. Kuna mfanyakazi anadai rushwa na kibali hatoi hata pale hiyo rushwa inapotolewa. Katika dunia ya leo, haiwezekani kibali kisitolewe zaidi ya miezi 3 baada ya mteja kulipia tozo stahili. Hili linapunguza...
  4. Sooth

    Uchumaji wa Mboga

    1. Mboga za aina nyingi, zipo tayari kuchumwa Za maboga ndizo nyingi, nazi sharti kukunwa Kuna za bila shilingi, hazihitaji kupondwa Majani yaliyonyooka, magumu kuchumwa mboga 2.Sokoni zinapatikana, kila mtu kujipatia Bei zinajulikana, rahisi hutaumia Muhimu ni kupatana, ili...
  5. Sooth

    Changamoto za CCM 2015

    Tuipende,tuichukie lakini ukweli unabaki kuwa CCM ndio chama tawala.Kwa mantiki hiyo kila Mtanzania,including sie tusiokuwa wananchama wa chama chochote kile cha siasa tunalazimika kuwa na interest na hali ya mambo ndani ya chama hicho.Afterall,tofauti zetu za kiitikadi hazimaanishi uadui kama...
  6. Sooth

    Nimechoka na vya ofisini na ruzuku..

    1. Kauli zao asali, bado kushika utamu, Kama kifaru wakali, wakishashika hatamu Taanguka chini chali, wakati wao karamu, Nimechoka na vya ofisini na ruzuku, nasubiri vya porini 2.Tamaa yao ni raha, si kwa umma utumishi, Raia hana furaha, wao ofisi ubishi, Maskini ana karaha...
  7. Sooth

    Wabunge kwenda Malaysia kuikagua IRIS

    Ktk picha hii (kwa hisani ya Mjengwa), wabunge wa bunge la JMT wakipata kifungua kinywa leo asubuhi, uwanja wa ndege JKNIA DSM baada ya kutoka Malaysia kuichunguza na kubaini uwezo wa kampuni iliyopewa dhamana ya kutengeneza vitambulisho ya nchini malaysia-IRIS. Wanadai kampuni ina uwezo mzuri...
  8. Sooth

    JK na Wajumbe wa Nyumba Kumi Ubungo Plaza

    JK ktk mkutano na wajumbe wa nyumba 10-Ubungo plaza.
  9. Sooth

    Yekeyeke ya Mory Kante

    Wimbo wa yekeyeke uliwahi kuwa maarufu sana mwishoni mwa miaka ya 80, kipindi hicho mie bado kijana mdogo. Kwa wanaoukumbuka wimbo huu, napenda ku-share taarifa zifauatazo: Mwimbaji: Jina la mwimbaji wa wimbo huo ni Mory Kante, mzaliwa wa Guinea. Alizaliwa(29 Machi 1950) ktk familia ya...
  10. Sooth

    "Kuagana"

    Baada ya kuongea na rafiki zangu kadhaa, nimegundua kwamba ''Kuagana" imekuwa fasheni siku hizi.....Labda nawahukumu bure.... Ndoa ni kitu tukufu, misahafu ni shahidi, Yataka moyo mkunjufu, hakuna mlio wa bundi, Zawadi kama mikufu, tuzo njema kwa ushindi, Kuagana na wa zamani, siku hizi...
  11. Sooth

    Crew Member wa Orijino Komedi (TBC1) Amefariki Dunia

    Habari kwa ufupi radio TBC FM saa 10:00 alfajili leo: Crew member (sio mwigizaji) wa kundi la vichekesho la orijino komedi ya TBC1 amefariki dunia kwa ajali ya pikipiki iliyotokea maeneo ya Kimara baada ya kugongwa na basi la Hood. Jina Mohamedi Muya!!? (am not so sure kuhusiana na jina)
  12. Sooth

    Social Networks: A Useful Place to Gather Intelligence Information

    NOTE: This post is intended for novice users. Experts are welcome to contribute. Social Networks kama facebook ,tweeter, JF, n.k zimejenga uhuru mkubwa wa kujieleza. Bahati mbaya kuna wengine wanautumia vibaya uhuru huo kwa uhalifu na kutusi watumiaji wengine. Serikali nyingi duniani zimegundua...
  13. Sooth

    This Week In Perspective: 47yrs of Tanzania Union

    They are talking about 47 yrs of the Union.
  14. Sooth

    Jiko

    Ninapokuwa nimetulia, huwa napenda kuandika kidogo.... JIKO Yapo aina nyingi, bei yazidiana, Ya tofauti shilingi, pia kulitumia, Kuna ya ujuzi mwingi, na ule wa kawaida, Jiko lako aina gani? Kuna la kuni, hili la asilia, Lavuma vijijini, wengi limetulea, Hadi usukumani, kina mama...
  15. Sooth

    Tujenge Utamaduni wa Kuwajibika na Kutenda Haki

    Mnapokuwa kwenye mtumbwi na mmoja wenu akawa anatoboa mtumbwi, mkimwacha aendelee, wote mtazama majini. Mliokuwa mnaangalia na aliyekuwa anatoboa. Uwajibikaji mahali pa kazi ni duni hasa ktk taasisi za serikali. Kuna sababu nyingi kama kipato kisichokidhi mahitaji, kukosekana kwa vitendea kazi...
  16. Sooth

    Utoro wa wabunge ktk vikao vya bunge

    Wabunge 128 kati ya 350 (sawa na 36.57%) hawajahudhuria kikao cha bunge leo kinachoendelea Dodoma. Kura iliyopigwa leo kuhusiana na kifungu fulani cha sheria kimethibitisha hili. Najua kuna ambao wameshindwa kuhudhuria kwa sababu mbalimbali za msingi (k.m. ugonjwa, n.k), lakini bado idadi hii ni...
Back
Top Bottom