Search results

  1. Panga la Yesu

    Naomba kujuzwa utaratibu wa kupata kibali cha kufanya biashara ya mazao ya msituni yaani MBAO na MKAA

    Naomba Unisaidie tafadhali mimi nina mti yangu ipo Kilimanjaro na ninahitaji hzo kuni nizilete Arusha Utaratibu unakuwaje?
  2. Panga la Yesu

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    KWa mtazamo wangu na Experience niliyo nayo kwenye utumiaji wa Simu za Mkononi ninapata shaka inayoniaminisha kuwa wezi wa mtandaoni wanashirikiana na watu wa Simu, siamini kuwa hawa provider wanahitaji kufanya kazi kubwa kumpata mwizi wa mtandaoni hasa wakiashaambia number ya mtu aliye tapeli...
  3. Panga la Yesu

    Huduma ya channel kwenye startimes, Startimes watoa angalizo

    Ndg Star Times, Minipo Arusha Maeneo ya Mianzini – Ikiurei naitwa Pius NInatumia Kingamuzi no 02035295385 Natak kujua mbona ninapoangalia inaniambia no Signal au not Subsribed, sipati hata TBC je shida nini? Nisadie tafadhali
  4. Panga la Yesu

    Hotel ya Iliboru Safari Lodge Arusha yateketea kwa Moto ,watalii wajeruhiwa vibaya

    FOR IMMEDIATE RELEASE: Ilboru Safari Lodge Arusha Tuesday, 12 March 2019 RE: INCIDENT AT ILBORU SAFARI LODGE We would like to advise our tour operators and the general public about an incident this morning at Ilboru Safari Lodge. Please be assured that the lodge is open and functioning as of...
  5. Panga la Yesu

    Pinda afuta amri ya Waziri Magufuli

    #Kiduni nafikiri ni vema ukafahamu kuwa Team Lowassa Iikuwa Nchi nzima na hilo unalifahamu, hivyo sitegemai kuwa Lowassa alikuwa kipenzi wa kila mtu na hakuna mantiki kuwa rais akitoka kwenu basi lazima kuwe na maendeleo. Huo ni mtazamo tu wa watu wasiofikiri. Watu wa Arusha tunataka RAis Bora...
  6. Panga la Yesu

    Meya Arusha awavimbia CHADEMA na kusema hang'oki kwenye kiti chake.

    Kwa taarifa yako Arusha hakuna ukabila ila WATU HASA WANASIASA WANAJARIBU KUONYESHA HIVYO, ARUSHA NIMCHANGANYIKO WA MAKABILA YOTE NA TUNAISHI PAMOJA SANA KINACHOTUTOFAUTISHA NI ZILE ITIKADI ZA SIASA LAKINI TUNASHIRIKIANA KWA MAMBO YOTE YA KIJAMIII. WANASIASA WACHENI KUTUPANDIKIZA HISIA ZENU...
  7. Panga la Yesu

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    Kwanini wasitudi tunakiri udhindi na Amani na Amani itakuwepo
  8. Panga la Yesu

    Polisi wa Arusha walalamika kutengwa na jamii

    Tena hawa Poly CCM hawatakiwi kujenga katika maeneo yetu wakajenge kwenye quoters za Polisi. Mimi sipendi kuwasikia kabisa na tena na sema wakikaidi kuondoka na wapigwe kabisa! Kama hawafuati maelekezo wapigwe tu!!!!!!!
  9. Panga la Yesu

    Jaji Lubuva: Tukio la Arusha ni 'fujo tu zilizotokea katika mkutano wa CDM!'

    ----! Wewe ulikuwa arusha na unathibitisha vipi kwamba cdm wamelikoroga? Wakati bomu linalipuliwa wewe unahakikika kwamba kulikuwa na fujo? Pumbavu kabisa!
  10. Panga la Yesu

    Mtake msitake, CHADEMA kuweni makini na Marando

    HIVI WEWE NI MSANII WA JF AU WA NINI? naona hapa kuna usanii hakika ila siuelewi elewi vile!
  11. Panga la Yesu

    Mtake msitake, CHADEMA kuweni makini na Marando

    HIVI WEWE NI MSANII WA JF AU WA NINI? naona hapa kuna usanii hakika ila siuelewi elewi vile!
  12. Panga la Yesu

    Yaliyojiri: Lema afikishwa Mahakamani kwa makosa ya Uchochezi, aachiwa kwa dhamana!

    Fujo zipi? Kuwatuliza wanafunzi ni fujo? weka vizuri tafadhali
  13. Panga la Yesu

    Dr Slaa aporomosha matusi kuhusu suala la njama la kumuua Zitto

    Huwezi niambia kuwa Mshitakiwa naweza kuunyima kutoa taarifa polisi, hii inanipa wasi wasi sana, eleza vizuri hapo
  14. Panga la Yesu

    Edward lowassa ndani ya ukumbi wa triple 'a' jijini Arusha.

    Nafikiri hii ilikuwa kule Ngaramtoni ya Juu
  15. Panga la Yesu

    Mwigulu Nchemba: Ninayo VIDEO ya Viongozi CHADEMA wakipanga mikakati ya mauaji nchini...

    MImi namwamini sana Mwigulu Nchemba tena ni Jemedari wetu wa CCM na hakika lazima sasa hivi atakuwa ameshatoa taarifa zake kwa Polisi, kwa sababu anuhakika nazo, nanyingine ametupa vibwagizwa kwenye mtandao, vivyo chadema kaeni mkao wa kufa 2013, chezea nchemba wewe! Rwekatare amekamatwa sasa...
  16. Panga la Yesu

    Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

    Mungu Ibariki Tanzania Mungu ibariki Chadema!
  17. Panga la Yesu

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    I like this Pepoooooooooooooooooooooooooooooooooooz!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  18. Panga la Yesu

    'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

    Umemsahau na Shehe Pond na Wafuasi wake
Back
Top Bottom