Search results

  1. M

    SPSS SOFTWARE

    Wadau habari zenu, ninashida ya ku download software tajwa hapo juu naombeni msaada wenu kuinunua sina pesa naitaji kuipata lakini
  2. M

    Maumivu makali siku za hedhi

    Wana jamii heri ya mwaka mpya, inakuaje mtu anapata maumivu makali sana siku za hedhi hata baada ya kumaliza siku zake?
  3. M

    TV LG inch 32

    Wadau TV yangu inatoa sauti lakini hakuna video, nimejaribu kibadilisha wire labda ni mbovu tatizo bado, channel ya Tv naisikia lakini sioni, tatizo inaweza kuwa nini?
  4. M

    Hivi na halali kumuita Lowasa fisadi?

    Nimekuwa nafatilia siasa za CCM na UKAWA lakini ninaona CCM wakimtuhumu Lowasa ni fisadi, ninaomba kuuliza, 1.je ni chombo kipi kina mamlaka ya kusema kiongozi fulani ni fisadi? 2.kama mtu anayesemwa fisadi hajashtakiwa je sio kosa kisheria kumuita mtu fisadi? 3. Kwa mfano mtu akiandika JK...
  5. M

    From CHADEMA to No chama

    Wanajamii kitendo cha UKAWA kumkubali Lowasa kuwa mgombea wa Uraisi binafsi kimenifanya ni achane na Ukawa na kubaki sina chama na kadi yao nimechoma moto kwani najua lowasa ni fisadi na mwizi toka zamani na ilo Dk. SLAA mara kwa mara analisema, kitendo cha mbowe na mtei kukubali lowasa...
  6. M

    Msaada kwenye uandishi wa majina

    Shule nimemaliza na majina mawili mfano yani ALLY JUMA ndio ipo kwenye vyeti ila kila napoambiwa kujaza jina la tatu uwa naliweka katikati ili JUMA iendelee kuwepo mwisho yani; ALLY KASSIM JUMA, ila nimeenda sehemu wananiambia jina la tatu lazima liwe mwishoni yani ALLY JUMA KASSIM, Je...
  7. M

    Msaada: Shule nimemaliza na majina mawili, nimeenda sehemu nimeambiwa nijaze matatu, nifanyeje?

    Shule nimemaliza na majina mawili mfano yani ALLY JUMA ndio ipo kwenye vyeti ila kila napoambiwa kujaza jina la tatu uwa naliweka katikati ili JUMA iendelee kuwepo mwisho yani; ALLY KASSIM JUMA, ila nimeenda sehemu wananiambia jina la tatu lazima liwe mwishoni yani ALLY JUMA KASSIM. Je...
  8. M

    Polisi vs raia kipindi cha sikukuu hii

    Nyie askari polisi kipindi iki cha sikukuu mnatakiwa kulinda raia na sio kuwa fanyia vurugu, mnanikera sana mnakutana na watu wanarudi zao club wanaonesha vitambulisho ila mna wapiga tu kama wezi, jifunzeni basi kama wenzenu ulaya kama mtu amekubali kwenda kituoni sio mnamfikisha miguu na jicho...
  9. M

    Nahitaji kujua historia ya muziki wa zamani

    Habari zenu wana JF Mi ni kijana lakini ni mpenzi sana wa music wa kizamani ila bahati mbaya sijui historia zao basi naomba mwenye kujua historia au wapi ntapata historia za wanamuziki au band hizi za zamani ntafurahi sana. 1. Serengeti Band 2. Kilimanjaro Band 3. Less wanyika 5. Msondo...
  10. M

    Nyasi za bandia zimekwama bandarini

    FIFA utoa kila mwaka $500k kwa Tanzania na wakufunzi wa makocha/marefa. Safari hii wametoa pamoja na nyasi za bandia cha ajabu nyasi eti zimekwama bandarini kwa ushuru eheee ivi tumerogwa? Yani tunashindwa kujisaidia sisi wenyewe kwa kuondoa VAT? Yani vitu vya maana na vinavyogusa jamii...
  11. M

    Ushauri jamani naisi mimeshindwa

    Nipo kwenye ndoa miaka 5 sasa ila mke wangu yupo Bukoba kikazi nami nipo Dar kikazi kwa miaka 3 sasa nimekuwa naonana na wife mara moja kwa mwaka yani kipindi cha likizo tu tena mwezi wa 12 siku 28 tu, sasa naisi kama nimeshindwa kuishi ivi inakuwa kama sijaoa kwa kweli, mambo yote yapo vizuri...
  12. M

    Ushauri unaitajika nipo njia panda: Ndugu wawili wanataka kuchumbia nyumba moja!

    Rafiki yangu ana mpenzi wake ameshamtambulisha kwa wazazi na kumvisha pete, changamoto aliyonayo ni kwamba mchumba wake ana mdogo wake wa kike ambaye imejulikana anatoka kimapenzi na mdogo wa jamaa yangu na wapo katika uhusiano mzito na mdogo mtu anataka naye kujitambulisha, je hii hii ni sawa...
  13. M

    Ada shule za kata

    Kwanini izi fees na michango ya shule Zetu za kata haziko standard? Mnatuambia fees Tshs.20,000/= ila michango inawekwa mpaka inafika karibu laki mbili mfano, leo nimelipa fees kama ifatavyo 1.Tuition fee-Tshs.20,000 2.Umeme-Tshs. 10,000 3.Maji-Tshs.5,000 4.ukarabati-5,000 5.NECTA-50,000...
  14. M

    Viongozi Mizigo 2014

    Ebu tuwataje viongozi mizigo Nchini awe mwana Siasa, Taasisi binafsi au Serikali, mimi binafsi kiongozi mzigo naye muona ni Mh.Lukuvi uyu hana sifa za kuwa kiongozi hata wa serikali za mitaa
  15. M

    Tofauti ya mishahara kazini

    Ivi kwanini serikali ni moja ila mishahara inatofautiana sana? Kwa mfano TANAPA na TRA ndo mashirika ya umma yanayolipa vizuri ikifuatiwa na BOT, TPA, NSSF, TCAA, NHC na Wizara ya madini ila sehemu zingine zote zilizo baki especial wizara kama ya elimu na manispaa yani wafanya kazi wanafuria...
  16. M

    Ushauri kwa wale waliooa tu

    Wadau mimi ni kijana nimeoa miaka 2 iliyopita lakini kipindi hiki cha mwaka mmoja wife yupo mbali na mimi na kuna uwezekano akakaa zaidi ya mwaka kulingana na kazi zake anazofanya na mimi makazi yangu yapo mbeya, miaka yote hii miwili nimevumilia sana kuchepuka na kweli nimefanikiwa ila sasa ivi...
  17. M

    Mwanamke kupata ujauzito

    Je ni muda gani mwanamke aliyejifungua salama anaweza kupata ujauzito tena?
  18. M

    Kwa wanawake wanaonyonyesha mtoto mchanga

    Dawa sahihi ya malaria kwa mama anayenyonyesha ni ipi?
  19. M

    Gari la taka manispaa ya kinondoni

    Wadau kila mwezi nalipia Tsh. 2,000/= kwa uongozi wa mtaa ya usafi lakini risiti napata imeandikwa Tsh. 1,000/= na risiti inaandikwa kiasi icho ni kwa ajiri ya ada ya usafi, nimewafuata wakasema manispaa wana risiti za 1000, 5000 na zingine lakini hawana ya 2000 je ni sahihi? Kuna udanganyifu...
  20. M

    Nyumba inawaka moto kibangu

    Zima moto wameitwa mapema wanakuja nyumba imeisha
Back
Top Bottom