Search results

  1. O

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Wanaowaza kuvunjwa kwa Muungano wana ubinafsi.Kuvunja Muungano si suluhisho au tiba ya matatizo aidha yaliyoko Zanzibar au Tanzania Bara. Dawa na tiba kwangu ni kujadiliana kwa uwazi juu ya matatizo yaliyopo ya muungano na kuyarekebisha au kusahihisha. Kumbukeni kabla ya wageni - wakoloni...
  2. O

    Huku Ndio Kusherehekea Muungano??

    Baba Desi, Muungano ndio huo kama ulikuwa haujui! Lakini cha msingi siyo watoto kulowa maji au kutokulowa maji, cha msingi ni Je, wanauthamini Muungano wenyewe?Wanaufahamu au tunawapeleka puta bila kuwaeleza umuhimu na thamani ya Muungano. Ahsante kwa kujali watoto wa Kitanzania.
Back
Top Bottom